Search results

 1. Edo kissy

  Video ya Rayvanny na Zuchu iliandaliwa kwa bajeti ya Tsh Milioni 80

  Habari za usiku huu. Ni hivi video ya wimbo wa Rayvanny na Zuchu inayoitwa I miss you iliandaliwa kwa million 80 hadi kukamilika kwake. watu wanawekeza jaman.
 2. Edo kissy

  Tutafutane hapa jamani

  Habar wana jf. Uzi huu ni kwa ajili ya kutafutana.kinachotakiwa kufanya ni mtu aandike jina lake, umri wake, pamoja na anachotafuta halafu wanakuja pm. Naanza na mimi. Jina: Edo kissy Umri: 18 Natafuta marafiki lakini chochote chaweza tokea karibuni. Uzi tayari.
 3. Edo kissy

  Habari wana JF

  Habar wana jf. I am a new member here. Kwa majina naitwa black monster naombeni ushirikiano wenu naomba kukariaishwa. Asanteni
Top Bottom