Search results

 1. sepema

  Naomba ushauri: Niombe mkopo benki nikajiendeleze kimasomo au niombe mkopo kwa bodi?

  Salaam kwenu, kama kichwa cha mada kinavyosomeka. Mimi ni mwajiriwa ambaye naweza kudhaminiwa namwajiri wangu kupata mkopo benki. Mwaka huu natamani nikajiendeleze kimasomo katika moja kati ya vyuo vikuu vilivyopo hapa nchini. Kutokana na kwamba sitamudu gharama za masomo nataka kuomba mkopo...
 2. sepema

  Msaada; Nina siku5 sijatumiwa conrtol number naUDOM

  Wakuu salaam. Nimeomba kujiunga na chuo kikuu Dodoma. Tangu tarehe29 hadi leo sijatumiwa cotrol number ili niendelee na mchakato. Nimepiga namba zao ila bado sijapata msaada. Kwa mweny uwezo anisaidie tafadhali.
 3. sepema

  Kodi na tozo; tumetaka uzuri tukubali tudhurike.

  Huku kwetu kijijini mzazi ambae nimkulima akigundua watoto wake niwazuri kwenye kula ugali lazima aongeze ukubwa wa shamba analolima mahindi.Shamba lazima liwe kubwa kuendana namahitaji ya chakula kwa watoto wake. Nani wakuhudumia hili shamba hadi mahindi yavunwe? Ni hao hao watoto wake...
 4. sepema

  Password zanini wakati tunaishi wawili?

  Huku kijijini Rondo nibaridi bado. Ngoja niandike haraka asinione. Hapa nyumban tunaishi wawili mimi na mke wangu. Alikuwa na tabia yakukagua sana simu yangu nikaamua kuipiga password. Mimi simu yake huwa sishiki japo alikuwa anaicha bila password. (Hapa niwe mkweli kdg, nilikuwa namvizia...
 5. sepema

  Je, nisahihi kumshitaki mume kwa dada yake kuwa ana michepuko?

  Heri ya ku sensabika kwenu. Mke kafuma tukio la Mimi kuchepuka na dada mmoja muuza duka. Katika mabishano ya hapa napale nikaamua nikubali ili mzozo uishe. Leo asubuhi nimekaa sebuleni nasubiri makarani wa sensa nashangaa simu inaita kucheki ni dada yangu anapiga. Kusudi kubwa lakupiga...
 6. sepema

  Mchuano wa majike ya bamkubwa na madume ya baba yangu.

  Mchuano huu ni wakiuchumi zaidi. Ba'mkubwa ana watoto wake wakike wa4,mwenyewe hupenda kuwaita majike,na wote wameolewa na wanamaisha Safi kwenye miji yao. Mzee huyu hana mtoto wakiume hata wa nje yandoa. Baba yangu ametuzaa madume wa5,huku wenzangu wa4 wakiwavizur kiuchumi kutokana na kazi zao...
 7. sepema

  Kwenye mkataba nimemwandika kama mrithi Ila yeye kamwandika baba yake

  Salaam kwenu, Niko kwenye ndoa mwaka wa 8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi na mwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti. Mwezi huu kukatokea agizo la kuhuisha taarifa za wafanyakazi ili ziwe za kisasa na halisia kuliko mwanzo. Zoezi hili...
 8. sepema

  Unatumia njia gani kuwateka ukweni kwako

  Ndio, kuwateka namaanisha wawe upande wako...wakukubali kuwa kweli wewe nimtu sahihi kwa mtoto wao. Mara nyingi wanawake wanawateka mama mkwe zao hasa kwa vitenge, kanga na vijizawadi vingine vya hapa na pale. Yaani pamoja nakwamba nivitu vya kiupendo Ila vinaplay nafasi ya rushwa flani hivi...
 9. sepema

  Tusaidiane kumshauri; Ameamua kuokoka mke anadai talaka

  Tuungane tena kwenye kuliangalia hili. Jamaa yangu ni chapombe,bangi na mwasherati aliyekubuhu.Mara kadhaa amekuwa analewa nakulala nje(harudi nyumbani).Tarehe zamshahara haonekani nyumban hadi juhudi zakumtafuta zifanyike. Mwezi ulopita alinieleza jambo ambalo binafsi nililichukulia Kama...
 10. sepema

  Mwanamke kuwa na watoto wachache inamuongezea tabia ya kutotulia kwenye ndoa

  Mara nyingi hamuitikii salamu Nilichogundua ni kwamba mwanamke mwenye watoto wengi anakuwa mtulivu Sana kwenye ndoa kuliko mwenye watoto wachache. Kwangu nimepima watoto wengi nikuanzia wanne kwenda juu na mwenye wachache ni watatu kushuka chini. Kuna wenye watoto wachache kutokana na matatizo...
 11. sepema

  Kanga ya mwanafunzi sebuleni imezua balaa kwenye ndoa

  Salaam kwenu Jana jioni nilitembelewa na mabinti wawili ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi. Ujio wa mabinti hawa ulitokana na kuagizwa na Kaka wa mmoja wabinti hawa waniletee bahasha iliyokuwa na documents flani ndani.Tuseme binti mmoja alikuwa kamsindikiza mwenzake. Walipokuja nilikuwa...
 12. sepema

  Ni umasikini, uchoyo wa nafsi au ubahili? Kila nikitumia pesa kwenye starehe kesho yake najutia

  Wakuu salaam Mimi nimpambanaji ambaye kwa mwezi sikosi 400k.Najua kwa wengine nipesa kidogo Ila hakuna namna,watu hatulingani kwenye kupata rizki. Kuna wakati napanga kabisa nitoke niende mahali kujipa furaha kidogo. Hii siifanyi kila siku ila walau kila week end najitahidi kufanya hivyo...
 13. sepema

  Swali kwenu mnaotetea wanawake kuchepuka kwa kisingizio Cha wanaume kutotulia

  Habari zenu Kumekuwa na mijadala mingi kwenye jamii kuhusu 50 kwa50 kwenye swala la kuchepuka Kati ya mume na mke. Wengi wanaotetea hoja hii Wanadai ikiwa mwanaume hajatulia kwenye ndoa haina faida kwa mwanamke kutulia, eti bora nayeye akajipatie lijamaa nje. Binafsi naamini kucheat ukiwa na...
 14. sepema

  Swali; Wallace Karia anaweza kumiliki timu inayoshiriki ligi kuu hapa Tanzania?

  Salaam kwenu, Kama swali linavyouliza. Inawezekana rais wa TFF kumiliki timu yaligi kuu akiwa madarakani? Kama inawezekana sitakuwa nabswali lingine, kama haiwezekani nina swali lifuatalo; Patrick Motsepe ni rais wa CAF. Mheshimiwa huyu anaimiliki klabu ya soka ya Mamellody Sundowns ya pale...
 15. sepema

  Msaada;Nina wazo la kuomba kuchimbiwa kisima Cha maji shuleni.

  Salaam kwenu wanajukwaa Mimi ni mdau wa elimu ambaye kwa nafasi yangu nakutana na changamoto za wanafunzi kila siku.Nipo moja Kati ya wilaya za mkoa wa Kilimanjaro. Nimekuja hapa JFna wazo hili nikiamini kuwa Kuna watu,vikundi ama taasisi ambazo ziko mstari wambele katika kuhakikisha watoto...
 16. sepema

  Tuliowahurumia kwa kufeli darasa la 7 na kidato cha 4 ndo wanaotuhurumia huku ukubwani

  Wakuu salaam Miaka Ile tulipofaulu mitihani ya elimu ya msingi na sekondari tulionekana watu wa maana sana kwenye jamii zetu. Waliohurumiwa zaidi walikuwa wale walioshindwa kufaulu. Baada ya kuachana nahawa ndugu zetu,sisi tulienda vyuo vya Kati na vyuo vikuu,Wenzetu wakaenda kwenye kazi...
 17. sepema

  Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

  Nawasalimu nyote Rafiki yangu yupo kikazi Dodoma tangu mwaka2013. Mwaka huo aliripoti kazi na dada mmoja mwenyeji wa Babati.Jamaa kwao ni Tanga. Hapa na pale baada ya miezi kadhaa wawili hawa wakajikuta niwapenzi. Mapenzi yalivyokolea wakaamua waoane kimjini mjini.Yaani waliishi pamoja bila...
 18. sepema

  Wabobezi wa siasa za kiafrika nisaidieni; Kwanini Kenya ina siasa za kipekee ndani ya Afrika Mashariki?

  Wakuu heshima kwenu Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifatilia siasa za nchi zetu za Afrika mashariki hususani kipindi Cha uchaguzi. Rwanda na Uganda sijashuhudia chaguzi zao hivyo naziacha Kama zilivyo kwanza. Katika nchi zinazounda jumuiya ya Afrika mashariki,ni Kenya tu ambayo ukiangalia siasa...
 19. sepema

  Ama kweli ukipenda boga, penda na ua lake!

  Wakuu Salam kwenu, Nimelazimika kuupa huu uzi kichwa hicho kutokan na story niliyopewa na mfanyakazi mwenzangu.Nirafiki yangu sana tangu alipoajiriwa kwenye taasisi hii miezi9 iliyopita. Dada huyu amenieleza kuwa alikutana na mumewe miaka kadhaa nyuma nakufanikiwa kuzaa mtoto mmoja kabla ya...
 20. sepema

  Vunja chaga, mwaga jasho la damu ila mimba inapatikana siku ambayo hamkupanga

  Wakuu salaam, Niliwahi kubishana na rafiki zangu kadhaa kuhusu siku ya mwanamke kushika mimba.Rafiki zangu hawa ni wakike kwa wakiume. Wao walikuwa wanadai kuwa mwanamke hupata mimba kwa urahisi zaidi katika kipindi ambacho yeye na mwenza wake hawakupanga. Kwa upande wangu nilikuwa nawaeleza...
Top Bottom