Search results

 1. PrN-kazi

  Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

  Alafuuu!!, hivi maamuzi yalitolewa na Tume uwa yanawafikia walengwa baada ya muda gani????. Kuna sintofahamu, nakutana na wahanga mitaani wakiwa wanalalamika kwamba waliambiwa kesi zao zilishatolewa uamuzi na Tume wakaambiwa wasubirie barua zao mpaka sasa inaelekea kufika miezi miwili barua...
 2. PrN-kazi

  Waziri Mchengerwa anena kuhusu watumishi wazuri

  Nimemuelewa sana huyu mwamba......kauli yake ni nzito na inabidi ichukuliwe kwa uzito wake. Watumishi wamekuwa wakinyanyasika sana......kisa weledi wao katika Utendaji.
 3. PrN-kazi

  Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

  Itapendeza, tumtakie kila la Kheri Mr. Kirama
 4. PrN-kazi

  Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

  "Time frame" iliyowekwa kwa mujibu wa Sheria na Kanuni zake ili kusikiliza rufaa na kuzitolea maamuzi imekuwa hazingatiwi sijui Tume inakwama wapi kwakweli.
 5. PrN-kazi

  Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

  Nafurahi kuona wadau wanavyojibizana kwa Hoja
 6. PrN-kazi

  Manara: Yanga wakijaza uwanja naacha kazi Simba

  Badooo....Uwanja umeshindikana kujazwaaaa
 7. PrN-kazi

  EFD Kibaha ni changamoto

  Nimeenda kwenye Duka Moja pale Mailimoja Kibaha kwa ajili ya kununua zawadi za watoto, baada kuchagua vitu nilivyokuwa nahitaji nakufanya malipo nimeshangaa kuona naomba RISITI na kunyimwa kibaya zaidi muuzaji ameanza kunitolea maneno makali akidai Serikali inawapigia kelele wakati TRA...
 8. PrN-kazi

  Manchester United(Red Devils) Special Thread

  Beki ya Man U ni changamoto.... Smalling na Luke Show hawana mchango mzuri kwenye timu.
 9. PrN-kazi

  Nyumba za kupanga ni degree tosha

  kupanga foleni asubuhi kwenda bafuni kwa ajili ya kuoga n.k, ilihali anayekuwa ametangulia kuingia hajui kama kuna wengine nje nao wanasubiria: Nyumba za kupanga ni CHANGAMOTO kwakweli.
 10. PrN-kazi

  Manchester United(Red Devils) Special Thread

  .....Man U mnaichukulia poa!!!, kitendo cha Morhino kuchomolewa pale hesabu atakayekatisha mbele yake ameumia tu.
 11. PrN-kazi

  Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

  ......ngoja kwanza Mzee afanye miundombinu iwe sawa, mambo yakishatulia mishahara itakuwa mizuri tu.
 12. PrN-kazi

  Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

  Kuna mpira nimeuona angani unakatisha kwenye mawingu uelekeo wake si uelewi kabisa.....angalia isije uka ule uliopigwa na Shishimbi ukitokea Singida.
 13. PrN-kazi

  Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

  msleo: group la whatsApp la wana msimbazi umelipata??
 14. PrN-kazi

  Nani anashikilia rekodi hizi kwenye soka la bongo?

  4 ni Shabani Nditi 3 ni Erasto Nyoni kwa mfumo wa sasa
 15. PrN-kazi

  Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

  ....nasubiri goli la 4 nianze kushangilia
Top Bottom