Search results

 1. Abuu Abdurahman

  Tanzania bila uraia pacha mnaibiwa wazi wazi

  Ameandika: Bongo Zozo Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo. ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya 🇹🇿 tena. ISIPOKUWA URAIA PACHA. Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani...
 2. Abuu Abdurahman

  Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza tovuti yako binafsi/ofisi au kwaajili ya kujiingizia kipato

  Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa.. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋ ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi UTANGULIZI Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili...
 3. Abuu Abdurahman

  Form six leavers njoo tujumuike pamoja

  [emoji95]only for great thinkers[emoji95] Fikra pevu forum: Ni jukwaa linalohusu mijadala muhimu kama:- 1)Habari za kielimu: University and scholarship application etc. 2)Fursa za kijamii: Biashara, Ajira n.k 3)Habari za kijamii na technolojia.. #Mwanajukwaa anaruhusika kuchangia chochote...
 4. Abuu Abdurahman

  Tetesi: Form 6 kufanya mtihani Februari kuanzia 2019?

  Habari zenu wanajukwaa Kunahabari zimeenea hivi karibuni kuwa kuanzia 2019 form 6 watafanya mitihani yao mwezi wa pili(February) badala ya kufanya mwezi wa 5(May) kama wanavyofanya sasa... Naomba tujuzane kuhusu ukweli wa tetesi hiyo!! Natanguliza shukurani .. Karibuni kuchangia mada
 5. Abuu Abdurahman

  Tujuzane kuhusu fani ya urubani

  Habari zenu wana jamvi na poleni na machofu ya mchana kutwa... Kama kichwa cha habari kinavojieleza, naomba kujuwa kuhusu fani ya urubani gharama zake mpaka kufikia rubani wa ndege za umma katika nchi kama vile kenya, South africa, America nk (NB: lakini isiwe ndani ya Tanzania) pia kama kuna...
 6. Abuu Abdurahman

  Nisome vipi ili nifaulu vizuri mchepuo wa PCB?

  Habari wakuu, Naomba ushauri wenu jinsi ya kusoma na kufaulu vema. Nina ndoto za kusoma MD Muhimbili na najua competition ni kubwa sana na masom ni heavy hivyo nawaombeni ushauri plz
Top Bottom