Search results

 1. Rockcity native

  Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

  Nash Mc..... moja ya wachanaji wazuri sana. Sema ukimzingua anakuzingua mara 100. Alishawai kupishana kauli na Fid q pamoja na profesa Jay.
 2. Rockcity native

  Air Tanzania yapandisha nauli zake

  Mkuu Mkuu nimechek nao ATC hiyo promo class wameipa validity ya mwezi sahivi na hizo changes wamefanya leo. Kama unaendelea kubisha fanya booking ya over 31dayz ukipata pungufu ya laki 4 natoa hii thread leo leo kabla ya saa sita
 3. Rockcity native

  Air Tanzania yapandisha nauli zake

  mkuu hiyo ni X class kwa wajuzi inaitwa promo class ambayo kwa ATC validity yake ni 14dayz .... hiyo huwekwa wakati wa low season tena mara chache sana.... fanya booking ambayo safari ya kwenda na kurudi iwe over 15days uone bei zake.
 4. Rockcity native

  Air Tanzania yapandisha nauli zake

  mkuu nna uzoefu na nachoongea.... sasa kukata mzizi wa fitna fanya full booking kwako halafu share nasi uone.... tatizo unaenda kwenye website na kuona tu. fanya full booking iwe reserved halafu uje na hiyo booking reference tuione. ukipata hiyo bei nafuta hii thread.
 5. Rockcity native

  Air Tanzania yapandisha nauli zake

  Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali. Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote. Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika...
 6. Rockcity native

  Sababu kuu kwa nini timu ya taifa ya Argentina haina mtu mweusi.

  weusi wa Argentina wangeweka historia kama David trezeguet angeamua kufata asili ya babab yake na pia Pierre Aubamayeng angeamua kufata utaifa wa mama.
 7. Rockcity native

  Bado najiuliza juu ya mchezaji Benard Morrison

  Mimi mwenyewe naitafuta... ukipata nistue
 8. Rockcity native

  Luis Miqussone "new Cazorla ndani ya bongo"

  Pia nidhamu yake ipo vizuri
 9. Rockcity native

  Luis Miqussone "new Cazorla ndani ya bongo"

  Huyu jamaa anapiga miguu yote 100% Style ile ile ya Sant Cazorla midfielder maestro wa zamani wa Arsenal. Kona ikiwa kushoto yeye utatumia guu la kulia, ikiwa Kulia yeye utatumia guu la kushoto Hakika simba imepata fundi...!!
 10. Rockcity native

  Hii ndiyo game pekee ya Taifa Stars iliyokula kiingilio changu kihalali

  Mkuu hivi unajua huu UZI unahusu mashindano gani??
 11. Rockcity native

  Hii ndiyo game pekee ya Taifa Stars iliyokula kiingilio changu kihalali

  mashindano yalijumuisha timu 4. na pia mashindano yalifayika mikoa miwili Arusha na Mwanza. Arusha walihost game za awali (nusu fainali), Mwanza wakahost game ya fainali na game ya mshindi wa tatu. Starz nusu fainali ilicheza na Congo DRC na game ikaisha 2-2 wakaenda mikwaju ya penalt ambapo...
 12. Rockcity native

  Hii ndiyo game pekee ya Taifa Stars iliyokula kiingilio changu kihalali

  bingwa alikua nani ? na mashindano yalifanyika wapi
 13. Rockcity native

  Mhenga wa Sport, hapa ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini?

  hapana hakuwepo yule alishastaafu badae akaenda kenya kuwa kocha mkuu wa harambe stars
 14. Rockcity native

  Thierry Henry mchawi mweusi kutoka La Desirade, 'Visiwa vilivyosahaulikka' Carribean

  huyu ndo mchezaji wangu bora kuwahi kushuhidia hapa duniani
Top Bottom