Search results

 1. C

  Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

  Shadow and all JF members, See my attachements above. i have tried to send you the cases both from Kisutu and High Court and from there we can decide if there is merit in the appeal to the Court of Appeal.
 2. C

  Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

  pia kwa faida yetu sote ni muhimu tukasoma na hukumu ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu ili kujiridhisha na ushahidi ulikuwepo. Mahakama ya rufaa nao watapitia hukumu hizi mbili kwa umakini mkubwa. Tafadhali tazama attachments.
 3. C

  Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

  Sidhani kama Sabi alishawahi kusoma kilichofanywa na Babu Seya. Ili kumsaidia tu ngoja nikuwekee nakala ya Hukumu ya kesi ya Babu Seya katika Mahakama Kuu ambayo ndiyo hukumu iliyokatiwa rufaa. Mkimaliza kuisoma ndiyo tuendelee na mjadala. Mimi nitajitahidi nisichangie. Nitawaaachie wenyewe...
 4. C

  Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

  Jamani najua wote mmekuwa mna shauku ya kutaka kujua kama Babu seya kaonewa au la. Baada ya kutambua kuwa wengi wenu hamna taarifa za kutosha nimeonela leo baada ya kusita mno niwaletee Rufaa ya kesi ya Babu Seya katika mahakama kuu ambayo imekatiwa rufaa. Baada ya kusoma naomba wewe mwenyewe...
 5. C

  Wanasheria Mnatungusha Watanzania

  Kama unahitaji msaada wa bure wa sheria nenda Kitua cha Haki za Binadamu (LHRC) pale kijitonyama au Kinondoni. Pia waweza kwenda Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS) ambao ofisi yao iko IPS Building Ghorofa ya 9. Huko watakusikiliza na kukupa ushauri wa kisheria na kama kesi yako ina merit...
 6. C

  Tangazo la kazi, Jina la mwajili kapuni!

  Umuhimu wa kuficha jina la agency ni ili kuondoa tabia ya watanzania ya kutumia magodfather. hivyo mtu unaaply on merit na siyo kwa mtazamo wa kindugu
 7. C

  Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo: CDCF

  Tatizo letu watanzania ni kupenda kupinga kila kitu. I for one support this. Wekeni huu muswada hapa halafu tuujadili.
 8. C

  Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo: CDCF

  Yaani ukitazama jinsi baadhi ya majimbo ya wapinzani yanvyosahauliwa wakati wa utekelezaji wa ilani ya chama tawala utashukuru kwa wao kuanzishiwa mfuko huu. Swala lililo tatizo ni namna ya kuhakikisha fedha haipotei. Anagalieni wenzetu wakenya, waganda na wajamaica wamefanya nini katika...
 9. C

  Mchungaji Lwakatare Arudisha Yatima 250 Kwao

  "Great minds discuss ideas, average minds discuss events, small minds discuss people." - Eleanor Roosevelt. This woman was very right!! How well she is using her kipaji cha ujasiriamali ndiyo unachopaswa kuiga. i can assure you kama anafanya dhambi Mola anamuona. lakini kama anatumia kipaji...
 10. C

  Part time webmaster needed: Tanganyika law society

  Vacancy PART TIME WEBMASTER The Tanganyika Law Society (TLS) is the professional, membership-based organisation for practising and non-practising lawyers in Tanzania Mainland. The TLS prime objective is to further the rule of law by managing all the affairs of its members and advising both...
 11. C

  Kazi: Tanganyika law society

  Dear all, I came accross this email from Tanganyika Law Society and i thought it was worth sharing. Wale wenye qualifications za kuwa MaCEO kazi kwenu. VACANCY CHIEF EXECUTIVE OFFICER/SECRETARY TO THE COUNCIL The Tanganyika Law Society (TLS) is the professional, membership-based...
 12. C

  Mawakili Kutetea Mafisadi na Uzalendo

  Jibaba, Mawakili hufanya kazi yao kwa kufuata misingi iliyowekwa na katiba na sheria za nchi. Kama ukisoma katiba vizuri utaona kuwa mawakili wanaruhusiwa kumtetea yeyote kwa kuwa watu wote ni sawa mbele ya sheria na hakuna aliye na haki zaidi. Ibara hiyo nainukuu hapa chini: 13. (1) Watu...
 13. C

  Mawakili ni watetezi wa wanyonge au ni waporaji wa wanyonge?

  Ukisoma Report ya chama cha mawakili ya mwaka 2008 utaona kuwa huu mchakakto unaendelea. Kutakuwa na compulsory insurance soon. Ila kwa ufahamu tu makampuni mengi ya uwakili yameshachukua hizo insurance. (Sisi lawfirm yetu tunayo). Ila kama mtu anataka kupata legal services cheaply kutoka kwa...
 14. C

  Mawakili ni watetezi wa wanyonge au ni waporaji wa wanyonge?

  Jamani mimi kama muelewa wa fani hii ya sheria naomba niseme haya yafuatayo labda nitasaidia kutoa mwanga kuhusu hii fani. Nitatumia quotes za women of substance. take action. ripoti kwa wahusika. hatua zisipochukuliwa nenda kalalamike.
 15. C

  Julius Mtatiro kushitakiwa kwa uchochezi

  Mtatiro yuko Msimbazi polisi lakin anahojiwa central police. Mahojiano yanafanyika ofisini kwa kamanda Mkumbo (Sina uhakika kama ana uhusiano na kitila). Mimi nimemuona lakini ndugu zake wamenyimwa nafasi ya kumuona.
 16. C

  Tulichosema kuhusu Kigamboni kimetimia: Tukimbilie wapi?

  ndugu mbunge, nafikiri utagundua kuwa watu hawachangii kwa sababu hujatueleza kwa undani hilo tangazo la serikali limetolewa lini na wapi. mara nyingi uamuzi kama huo huwa unatangazwa katika gazeti la serikali. ila sina uhakika kama hilo ni sahihi kwa kuwa ninafahamu kuwa vibali vya kibada...
 17. C

  RAI - Nguvu ya Hoja?

  hii ni moja kati ya habari njema kuzisikia. hata kama rai limenunuliwa na fisadi huyu alichangia sana kuliharibu!!! one wonders how can balile wa tanzania daima turn out (for money) into balile wa rai!!
 18. C

  Usiri wa Serikali-Government Gazette: Make it Public!

  mkuu inaonyesha hulifahamu gazeti la serikali ndio maana unaweza kutoa ushauri wa kuligawa bure kwa wananchi lakin nakuhakikishia hata kwa baadhi yetu ukipewa halitakusaidia sana kwa sababu information zilizoko ziko specific na kwa watu specific. wewe kama unataka kujua nini kipo kwenye...
 19. C

  Usiri wa Serikali-Government Gazette: Make it Public!

  kama unahitaji statutes si uende kwenye website ya bunge kuna very latest statutes zinawekwa pale. kuhusu government gazzette ni lazima mtu utambue kuwa lile ni kwa matumizi ya serikali na wadau wengine muhimu. ni kweli linapatikana kwa shida lakini huwa linatoka kila wiki vipande vipande.
Top Bottom