Search results

 1. U

  Siungi Mkono muundo wa bunge Maalumu la katiba unaojumuisha wabunge la jamhuri ya Muungano!

  Ndugu wana jf, kama mjuavyo taifa letu liko katika mchakato mzima wa kujipatia katiba mpya! Ingawa kwa sasa kuna sintofahamu juu ya sheria ya mabadiliko ya katiba iliyopitishwa juzi bungeni kwa wabunge wa ccm na mzee mrema, kuna hili bunge maalumu kama inavyojulikana kuwa wajumbe wa bunge hilo...
 2. U

  Tano Bora ya wabunge wazalendo kwa taifa letu!

  Habarini wana jf, kwa hali ya mambo inayoendelea katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, ni wazi kuwa wabunge wengi wamepoteza sifa ya uwakilishi kwa wananchi katika jengo lile la bunge mjini dodoma, wabunge wengi wameonekana kuwa wasemaji wa serikali na si wa wananchi! Kufuatia hali...
 3. U

  Watumishi wa serikali wanasababisha serikali ichukiwe na Wananchi

  Wakuu habarini zenu, kuna Walimu wanaosubiri kulipwa madirishani hapa wilayani Mbinga, walimu hao hawakuingiziwa mishahara yao kwenye Akaunti zao, kwa vile ni wapya. Tangu leo asubuhi mpaka sasa wanazungushwa tu na maafisa masuhuri hapa wilayani, mara wanaambiwa wasubiri hakuna kinachoeleweka...
 4. U

  Nimeng'oa jino napata maumivu haya,tatizo ni nin?

  Ndugu wana bodi habarini, ni kama siku nne zimepita tangu ning'oe jino mdomo mwangu. Tatizo ninalopata ni kwamba kila nikila chochote napata maumivu kifuani mwangu. Naomba mnishauri je nini chanzo? Inawezekana hili jino limechangia ama mambo mengine? Karibuni wataalamu wangu!
 5. U

  Nitampataje msichana huyu???

  Wana jamvi habarini, ni hivi nimemtongoza msichana ambaye kwa namna moja ama nyingine ambaye nimempenda kiukweli, tatizo ni kwamba ameathirika kisaikolojia kwa kuwachukia wanaume kwa sababu siku za nyumwa alitendwa na boy friend wake, hata hivyo mpaka sasa mambo bado hajaeleweka, yeye anadai...
 6. U

  Nimevutiwa na mwanamke wa mbali- je nifanyeje ili nimpate?

  Habarini wana jf, katika maeneo ninayoishi nimebahatika kumuona mwanamke ambaye nilikuwa namtafuta sana toka zamani kwa vigezo vyake. Sasa nimebahatika kumuona, sasa tatizo wadau ni kwamba ana siku moja tu kukaa hapa mtaani, maana anaishi mbali sana na maeneo ninayoishi. Na ratiba yake iko busy...
 7. U

  Hongereni wananchi wa Singida Mashariki, kwa kutuletea mbunge wa taifa

  Habarini wana jf, Hakika miongoni mwa wananchi wa kuigwa na kupigiwa mfano ni wa jimbo la Singida Mashariki, wametuchagulia mbunge mzalendo, mwenye uelewa wa mambo na pia mwenye uchungu na taifa letu, huyu si mwingine bali ni ndugu Tundu lissu, binafsi nawaonea wivu sana wana Singida...
 8. U

  Mke anatafutwa ndani ya mkoa wa Ruvuma.

  Wana jf, niko serious! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, ni mwajiriwa! Naomba kwa msichana yeyote aliyetayari kuwa mke na anayepatikana ndani ya ruvuma! Sifa zake ni kama ifuatavyo: 1. Awe na umri kuanzia miaka 20-26. (2).. Awe mweupe au maji ya kunde! 3.awe mkristo 4. Awe angalau na elimu...
 9. U

  Tume ya Warioba yaingiza siasa kwenye uchaguzi wa wajumbe wa mabaraza ya katiba ya Wilaya

  Habarini wana jf. Habari za kuaminika toka maeneo mbalimbali nchini, ni kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kinachoitwa baraza la katiba la wilaya umeingiliwa na siasa kwa kuingiza kipengele cha chama cha mgombea nafasi hiyo. Kwa mfano maeneo mengi katika ngazi ya kata, wajumbe wa baraza la maendeleo...
 10. U

  Sintofahamu katika upatikanaji wa wajumbe wa baraza la katiba!

  Habarini wana jf! Taarifa za uhakika zilizopatikana toka maeneo mengi nchini hasa vijijini wananchi wengi hawajaelimisha au kujulishwa kwa uwazi juu ya nafasi zinazoombwa katika makundi mbalimbali kama ya mtu mzima,kijana.mwanamke na hata mtu mwingine. Wananchi wengi wameomba nafasi hizo...
 11. U

  Kwanini wabunge wachukizwe na MwanaHalisi?

  Waku habari zenu, Nimesikia kwenye kipindi cha Tuöngee Asubuhi, kwenye jicho letu ndani ya habari, mtangazaji kasema kuwa baadhi ya wabunge wamewatisha wahusika waliolifungia gazeti la mwanahalisi kutolifungulia, vinginevyo watadili nao wakingilifungulia watawatambua! Je tatizo ni nini? Je...
 12. U

  Kwa style hii, mwaka 2015 watanzania tupunguze wabunge wa CCM bungeni

  Ndugu wadau wa JF,kwa kile kinachoendelea kwenye bunge letu huko Dodoma, ni wazi CCM wanatumia wingi wao kupitisha sheria za kuilinda serikali kwenye masuala ya ufisadi! Leo Mh. Halima James Mdee na mbunge wa Ubungo,John Mnyika, walikabiliana vilivyo na AG, juu ya sheria ya inayomhusu CAG...
 13. U

  Serikali ya CCM isipofanya haya, italisambaratisha taifa letu!

  Wana JF nadhani ni wazima wa afya. Kutokana na matukio yanayoendelea pale bungeni mjini dodoma nimegundua yafuatayo: Kwanza wabunge wa ccm wanaheshimiwa na kiti zaidi kuliko wa upinzani. Hivyo kuna ubaguzi wa wazi kabisa pale mjengoni huhitaji kuwa na Elimu ya juu kulitambua hilo. Pili...
 14. U

  Je wafanyakazi wa serikali wapo chini ya Ccm?

  Habarini wana jf. Kupitia maelezo mengi ya viongozi wa ccm na makada wao, huiaminisha jamii kuwa kwa vile ccm ni chama tawala,na ccm ndo inaunda serikali, basi wafanyakazi wa serikali wapo chini ya ccm. Je hili lipoje? Na kama sheria zetu zina mapungufu nini kifanyike?. My take: jambo...
 15. U

  Lissu kuhutubia leo Mfaranyaki Songea

  Wakuu heri ya mwaka mpya, nimepata habari kuwa kamanda Lissu na mbunge machachari wa Singida mashariki (CHADEMA) atahutubia leo mkutano wa hadhara hapo Songea mjini katikati ya mjini kwenye viwanja vya s/m Mfaranyaki. Tunaomba wada wa jf na makamanda waliopo Songea watujuze juu ya mkutano huo...
 16. U

  CCM ilitumia vigezo gani kumpa Mwigulu Unaibu Katibu Mkuu Bara?

  Wakuu habarini na kila la heri kuukaribisha mwaka 2013! Nimetafakari sana kitendo cha CCM katika Sekretarieti mpya kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara! Nimetazama kwa makini safu nzima ya uongozi wa CCM kwenye sekretarieti yake,niseme Ukweli maana ukweli utatuweka...
 17. U

  Lissu kunguruma mshangano-songea leo!

  Wana jf, nadhani ni wazima wa afya na mungu atawajalia kuona mwaka mpya 2013! Wakuu nasikia kamanda Tundu Lissu bado yupo Songea, kusini mwa Tanzania akiwazibua masikio wananchi. Na leo inasemekana atahutubia mkutano mwingine eneo la mshangano nje kidogo mwa manispaa ya Songea! Tunaomba...
 18. U

  Kwa nini CCM wanapenda kuwanunua viongozi waliopitia CHADEMA?

  Wakuu nadhani ni wazima wa afya na mnajiandaa vyema kuuaga mwaka 2012 na kuukaribishwa mwaka 2013. Ndugu wana JF kama mjuavyo kuna matukio mengi sana ya chama kilichopanga ikulu kwa miaka 51 kuwanunua viongozi wa wapinzani wao kwa lengo la kuwavuruga. Matukio kama hayo tumeyasikia mwanza,singida...
 19. U

  Tetesi: Tundu Lissu ndani ya Songea

  Habari zenu wana JF,Na hongereni kwa kusheherekea sikukuu ya Christmass! Nimepigiwa simu na rafiki yangu aliyepo Songea,kaniambia kwamba mbunge machachari wa Singida Mashariki Tundu Lissu(CHADEMA). Alikwenda songea kwa mapumziko binafsi ya sikuu ya Chrismass. Hata hivyo wananchi wengi wamemuomba...
 20. U

  Je ni halali mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa kulipwa mshahara na serikali?

  Wanabodi heshima kwenu. Kama mnavyojua wanabodi hapa jf,wakuu wa wilaya ni wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya ccm,na pia wakuu wa mikoa ni wajumbe wa kamati ya siasa ya ccm ya mikoa. Vilevile mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais katika mkoa. Pia na mkuu wa wilaya ni mwakilisha wa rais...
Top Bottom