Search results

 1. N

  Naomba msaada wa kisheria kuhusu ajali ya basi kwa abiria

  Ndugu wana JF, Naomba msaada wa kisheria ambao utaniongoza mimi na wenzangu ambao tulisafiri na kupata ajali ya basi. Ajali hiyo ilisababisha vifo vya watu kadhaa akiwepo na dereva pia watu waliokuwepo dani ya basi walipata majeraha.
 2. N

  Sakata la uhamiaji haramu-TZ

  Wandugu hili sakata ni balaa yaani kama unalisikia kwenye vyombo vya habari unachukulia simpo basi sio hivyo sasa hivi hukati tiketi ta treni bila ya kuwa na kadi ya kupigia kura hii imetokea hapa makao makuu. Nawakumbusha wanaosafiri kwa shughuli zao mbalimbali wakumbuke kubeba hiyo kadi
 3. N

  Kununua umeme kwa M-Pesa

  Nimenunua umeme kwa Mpesa sikupata Unit mpaka leo, ni zaidi ya wiki sasa nafatilia jibu ninalopewa ni kuwa helayako ilirudishwa kwenye akaunti lakinin sio kweli kuweni macho
 4. N

  Tochi njia ya singida - igunga

  Wadau njia ya Singida kwenda Igunga inatisha sana kwa matochi ya trafiki, mimi binafsi naona kama huu ni mradi wa serikali na sio njia ya kuzuia ajali, kuna saidia nini zaidi ya usumbufu. Nimepita sehemu zingine speed limit ni 20kmph sasa hii ni barabara ya Taifa au uchochoroni, serikali...
 5. N

  pendekezo rais awamu ya tano

  Mimi napendekeza rais wa awamu ya tano awe naa sifa kama za KIM wa NK
 6. N

  Usafiri wa haraka mjini Dar

  Hivi hizo barabara za magari ya kwenda kasi huko dar jamani zimekamilika? Nilikuwa huko wakati wa miezi miwili iliyopita kulikuwa na vurugu sana ya ujenzi, Je mabasi yaendayo kasi mmiliki atakuwa ni nani serikali au ni watubinafsi watawekeza, na sijui yatakuwa vipi
 7. N

  Safu ya muhimu ya kuchukua uongozi wa nchi watu wangapi

  Wanajamii hivi ni watu wangapi madhubuti ambao wanatakiwa hata kama tutakuwa tunapigania chama fulani kichukue nchi wasije wakatuangusha
Top Bottom