Search results

  1. M

    Hivi majipu kutoka usoni nini tiba yake

    wataalamu kuna rafiki yangu ana umri wa miaka 22 , uso wake ni wa mafuta anasumbuliwa na majipu usoni huwa yanatokea mara kwa mara hivi nini tiba yake.naombeni kujua amepima HIV hana ivi tatizo linasababishwa na nini ni muda mrefu amekuwa akisumbuliwa.
  2. M

    Kila mwanamke ninayemgusa ananikataa

    Jamani wanajamiiforums nisaidieni ,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ,ni muda mrefu sasa yapata miaka mitano kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa nishaurini nifanyeje watalaamu umri nao unasogea na naitaji mwanamke wa kuwa mke wa baadaye,yaani inafika wakati nakata tamaa kabisa...
Top Bottom