Search results

 1. U

  Wapi naweza kupata Cow ear tags

  Ndugu zangu kama kuna mtu anajua wapi hapa Dar napata tags za kuweka ktk masikio ya ngómbe for identification na kile kifaa chemyewe cha kuwekea hiyo tag ktk sikio. natanguliza shukrani tena.
 2. U

  Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

  Mimi Yohana mfungwa wa Kristo nilipokuwa ktk kuomba niliona yafuatayo kuhusu nchi yangu Tanzania; 1) Haya uyaonayo leo ktk siasa ya tanzania ni kivuli na mhimu sana kwa mambo makuu yajayo; maandamano na malumbano yanaamusha na kufundisha jamii iliyokosa elimu kwa ajili ya mambo yajayo..... acha...
 3. U

  Babu wa America (history related)

  Chukua muda kusoma hii habari ingawa in ndefu (vumilia) halafu utoe maoni inafanana vipi na ile ya Babu wa Loliondo AU inatofautiana vipi George Washington Carver (1864-1943), was an agricultural chemist of international fame who revolutionized the economy of the south by introducing hundreds...
 4. U

  Tanzanian dig Unearths Ancient Secret

  Prof Chami work source: http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/1924318.stm
 5. U

  Kibiti: Wanafunzi wateketeza Shule, Serikali yaifunga

  Sourse: Mtanzania ya leo
 6. U

  Haya madafu yetu Tz vipi?

  Mimi najiuliza shilingi yetu ya Tanzania imekuwaje tena? Mwishoni mwa mwezi wa pili exchange rate kwa dollar ilikuwa sh1150-1170, mwishoni mwa mwezi wa tatu especially tarehe 27/03/2008 ilikuwa 1210, wiki moja baadae yaani tarehe 3/04/2008 ikawa 1165 na leo tena ni 1200. jamani fractuations kama...
 7. U

  Tuwashukuru waliotupa hifadhi ya muda

  Ndugu wana JF mimi binafsi nimefarijika mno kuona JF inarudi salama kabisa. Tulikuwa ukimbizini KLH News. Bila kusita natoa pongezi za dhati kwa M.M.Mwanakijiji na uongozi wote wa KLHN kwa kukubali kwao kutupokea ktk kipindi kigumu tulichokuwanacho. Mzee tunashukuru sana. Blila KLHN...
 8. U

  Siku JF Watakapoitisha maandamano nchi nzima

  Dunia nzima watajua kumekucha Tanzania! Ninaona jinsi watanzania kutoka kila pande za dunia watakavyomiminika kuja Tanzania na kuungana na Watanzania walio ndani ya nchi wanaoitakia mema nchi yao Tanzania. Siku hiyo kutakuwa na wingu nene lililojaa utukufu wa Mungu likimgusa kila aliyeko...
 9. U

  Tanesco-EWURA kuna nini?

  Kwanza Tanesco wamepandisha gharama za kuunganishia umeme wateja kwa zaidi ya 200% EWURA wamekataa ongezeko hilo Tanesco kasitisha huduma uunganishaji wa umeme kwa wateja akidai gharama anatotumia ni kubwa kuliko anayopata Wananchi wanalalamika ongeeko ni kubwa mno EWURA ni shirika la...
 10. U

  Atunge Sera, Atekeleze kisha Ajihoji

  Viongozi wetu wana hizi. Je tutafika? Source: Kipanya
 11. U

  Kikao cha Bunge chaanza leo

  MASWALI 210 KUJIBIWA MISWADA 16 KUWASILISHWA ZITTO STOP TENA STOP 2007-10-30 10:22:35 Na Richard Makore, Dodoma Kikao Cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa?Tanzania kinaanza leo mjini hapa ambapo miswada 16 ya sheria inatarajiwa kuwasilishwa na kujadiliwa na wabunge. Akizungumza na...
 12. U

  Mtikila Amtaka Butiku Aende Mahakamani

  *Apinga Mahakama ya Kadhi, afungua kesi *Adai inakiuka Katiba ya nchi, italeta vurugu Na Grace Michael MWENYEKITI wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amemkosoa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Bw. Joseph Butiku, kwa kumtaka Rais mstaafu Benjamin...
 13. U

  CCM Wakiniua Mnizike Kenya

  ANGALIA JINSI MUNISHI ANAVYOPAMBANA NA CCM!! "CCM Wakiniua, Mnizike Kenya." Asema Munishi. "Siyo kwamba nimebadili uraia, wala sitarajii kufanya hivyo.Mimi bado ni Mtanzania. Sikuchagua kuzaliwa Tanzania, lakini nitachagua pa kuzikwa.Serikali za CCM zimenifanya nisiwe na mahali ninapoweza...
 14. U

  Madafu Yakatangebe Dola, ni ya kudumu au?

  Jamani angalieni jinsi shilingi inavyopata nguvu haraka zidi ya foreign curency, sijui ndiyo itadumu au ni ya muda tu!! http://www.moneylinktz.com/rates.htm Au ndiyo pesa za misaada zimeanza kushuka kutoka ughaibuni tutaishi kwa misaada mpaka lini? Tahadhari: ikija kushuti sasa mpaka...
 15. U

  Ufisadi Madhara Yake Haya hapa

  Jambo F mnatisha mno!!! Tanzania imegubikwa na mtandao mpana wa ufisadi ambao hata kuuelezea inagharimu mno lakini ipo siku moja tutauondoa. Lakini hebu niseme hivi watu wasiojua madhara ya ufisadi naomba mjifunze ktk huyu! Mzee mmoja alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika mkoa wa Tabora na...
Top Bottom