Search results

 1. U

  Kamilius Membe, tunaomba Usubiri 2025

  Tafakari yangu ni hii: uchaguzi wa mwakao huu unachangamoto kubwa mno na ushindi siyo dhahili. Hapa kama Membe mnamtaka agombee 2025 msije mkamuharibia maana uchaguzi huo utakuwa ni rahisi sana kushinda. CCM haitakuwa na mwenyewe wkati huo. Hivyo karata lazima zichangwe vizuri.
 2. U

  Wapi naweza kupata Cow ear tags

  Unajua nimetembelea mifugo yangu sasa kuna ndama wamezaliwa identification inakuwa shida mno nataka kila akizaliwa namuwekea namba. hii itanirahisishia kuweka kumbukumbu sahihi hata kwenye database yangu. hata akifa wakipiga simu nijue ni namba ngapi amekufa.
 3. U

  Wapi naweza kupata Cow ear tags

  Ahsante mzee wa shamba
 4. U

  Wapi naweza kupata Cow ear tags

  Ndugu zangu kama kuna mtu anajua wapi hapa Dar napata tags za kuweka ktk masikio ya ngómbe for identification na kile kifaa chemyewe cha kuwekea hiyo tag ktk sikio. natanguliza shukrani tena.
 5. U

  Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

  Lusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu. Kwa wale ambao wanauzoefu wa migodi ya Tanzania please msing'ang'anie humo Geita, Kahama, buly... tafuteni kutoka kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kama expat tuiletee nchi fedha za kigeni. Watanzania wanaheshima kubwa Congo DR, Zambia, Senegal...
 6. U

  Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

  Ni yale yale na uchumi ni uleule na nadhani sasa hivi imashaanza kupaa tena iko around 10-13. Zaire walipunguza zero 3 ikawa ktk single digit lakini sasa hivi tena 1USD=1200CF
 7. U

  Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

  Hayo in ya kawaida kufanyika, Zambia wamefanya kutoka 50000 mpaka 50, Ghana waliwahi fanya, Zaire iliwahi fanya na iko mbioni kufanya tena,...
 8. U

  Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

  Mimi kama Mtumishi, Kwa Muheshimiwa Rais John Pombe Magufuli, haya ndiyo niliyofunuliwa na nikuombe unitegee sikio. Ulitangazie Taifa zima kuwa katika hali ya maombi ya nchi nzima na Maombi haya yawe ya wiki moja na ya watu wote wenye mapenzi mema na nchi yao na yawe ya kufunga walau saa 12...
 9. U

  Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

  Tanzania yangu ilifika hatua mbaya sana, Rais yuko 100% sahihi kulingana na mmoja wao kati ya waliosimamishwa anayejenga gorofa kule bonyokwa na haliendani na kipato cha mtumishi wa serikali
 10. U

  Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

  Watu watajawa na furaha, watapendana, watatambuliwa kwa upendo wao kimataifa, watapenda na kujivunia utaifa wao, watategemewa africa na duniani kwa kuleta amani na haya ndiyo matokeo yake:- 1) Viwanda vya magari, mitambo, mashine mbalimali vitabuniwa na watanzania na kutengenezwa kupitia...
 11. U

  Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

  3) Elimu ya ujasiliamali itatolewa kwa wingi zaidi kuanzia vijijini hadi mjini, runinga zitarusha program maalumu kwa wajasiliamali na utumishi bora wa serikali, miziki na maigizo yasiyo na tija itapewa masaa machache kabisa ktk kila runinga irushayo matangazo Tanzania. 4) Uanzishwaji wa viwanda...
 12. U

  Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

  2) Baada ya haya uyaonayo atatokea Rais atakayeifanikisha nchi ya Tanzania kuwekwa ktk ramani ya dunia hii ki-uchumi, ki-siasa na ki-michezo Niiuliza: Ni wakati gani haya yatatokea? Si muda mrefu, Nikauliza tena: mwaka gani? Hakuna haja ya kujua mwaka! Nami nikaendelea kudadisi: Je mimi...
 13. U

  Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

  Mimi Yohana mfungwa wa Kristo nilipokuwa ktk kuomba niliona yafuatayo kuhusu nchi yangu Tanzania; 1) Haya uyaonayo leo ktk siasa ya tanzania ni kivuli na mhimu sana kwa mambo makuu yajayo; maandamano na malumbano yanaamusha na kufundisha jamii iliyokosa elimu kwa ajili ya mambo yajayo..... acha...
 14. U

  Naomba msaada shule ya private science a lavel

  Kidato cha ngapi mzee? Ada siku hzi kwa kweli ni tatizo kubwa dar na shule zinazofaulisha saaana bila ya 3.5m mtoto hajasoma vinginevyo ni kwa akina Kayumba. Inaumiza sana.
 15. U

  Babu wa America (history related)

  Chukua muda kusoma hii habari ingawa in ndefu (vumilia) halafu utoe maoni inafanana vipi na ile ya Babu wa Loliondo AU inatofautiana vipi George Washington Carver (1864-1943), was an agricultural chemist of international fame who revolutionized the economy of the south by introducing hundreds...
 16. U

  East Africa Community Common currency: The Greek way?

  Ndugu zanguni Watanzania kuunganisha nchi ni wito wa wakubwa wa dunia hii (western). Sababu kubwa ni soko la bidhaa zao (rejea moja ya sababu ya ukoloni kuja si soko), wanataka mkiunganisha nchi kama kampuni ilikuwa inafanya shughuli zake Tanzania mfano Barrick isiwe na kazi ya kuanza...
 17. U

  Govt retains 40pc stake in Zain, gets t $11m

  Mheshimiwa, $10.7bn ni kwa Zain Africa siyo Tanzania pekee, hii in-include Zain Zambia, Kenya, Uganda, Gabon, DRC, Congo, n.k Pia Waziri anasema dili halijaafikiwa bado.
 18. U

  Gari

  Hii ni made in Tanzania, umaskini tunaukuza sisi wenyewe kwa kutojali mali za umma
Top Bottom