Search results

 1. snowhite

  UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU HASA VYA HADITHI NA WATOTO.

  Utamaduni wa kusoma vitabu unajengwa! Na unajengwa utotoni!! MTOTO ALIYEZUNGUKWA NA MATINI ZA KUJISOMEA ANA TOFAUTI KUBWA SANA HATA NAMNA YAKE YA KUFIKIRI NA KUJIELEZA!! Mzazi /Mlezi naomba nikushirikishe FAID/SABABU ZA KUKUHAMASISHA UANZE UTARATIBU HUU NYUMBANI KWAKO. SABABU 10 KWANINI USOMAJI...
 2. snowhite

  Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

  WATOTO WANATUMIKA KINGONO! Inaumiza lakini ndio uhalisia! sio kitu kinapendeza machoni wala akili lakini ndio ukweli! Watoto wetu hawako salama! Hawako salama sio kwa watu tunaoamini sio salama. Watoto hawako salama kwa watu tunaoamini wako salama! Kuna vitu tu lazima kama jamii tuambiane na...
 3. snowhite

  Umewahi kufikiri kuhusu usalama wa watoto wako kijinsia?

  Tafiti na shuhuda nyingi zinathibitisha usalama finyu wa kijinsia unaowakabili watoto. Leo tutizame maeneo HATARI ZAIDI KWA WATOTO Haya ni MAENEO YANAYOFIKIRIWA KUWA NI SALAMA KABISA! -MAJUMBANI. Watoto huharibiwa zaidi na ndugu, kaka zao, dada zao, mabinamu, babu, baba, mama, wajomba, baba...
 4. snowhite

  MSAMAHA NA KISASI!!

  Disclaimer! Well mi SIO MTU WA KUSAMEHE LAKINI PIA SINA GUTS ZA VISASI KIHIVYO. BUT HEBU TUFIKIRI PAMOJA Issue ya GAZETI IMENIFIKIRISHA SANA!! 1.HIVI NIKISAMEHE NI LAZIMA NISEME NIMESAMEHE? 2.NISIPOSAMEHE NI LAZIMA NILIPE KISASI? 3.KINYUME CHA MSAMAHA NI KISASI? 4.AMANI BAADA YA KUKOSEWA...
 5. snowhite

  Waliyoyafanya wazazi wetu kwenye kutulea na yale tunayoyafanya sisi kwenye kulea watoto wetu

  Leo sisi ni wazazi wa watoto wetu lakini jana tulikuwa watoto wa wazazi wetu. Tutafakari jana yetu na leo yao! Kipi unaona wazazi wako walifanya kwako lakini wewe hufanyi kwa wanao au wanao hawafanyi kwako! Inakuathiri kwenye malezi /makuzi ya wanao. Inakusaidia kwenye maalezi/makuzi ya wanao...
 6. snowhite

  Mishono ya vitenge ,kwa watu wanene

  Tafadhali naomba picha za mishono ya vitenge kwa wawanawake wanene kiasi. shukran
 7. snowhite

  Wanawake na ndoto zetu za maisha

  Well sijaandika siku nyingi humu mnisamehe kama uandishi wa mada za JF siku hizi umebadilika. Nimekaa nimewaza sana kuhusu mada zilizopo aidha humu au magroup ya wassap na magroup ya Facebook na pengine hata mikutano ya wanawake wengi be it kitchen parties na mazungumzo tu ya kawaida...
 8. snowhite

  Tupike mchele kwa mapishi tofauti

  Huwa nina shida ya kukinai chakula,so nataka tushee recipes tofauti za mchele! ======= SWEET CHOC RICE Mahitaji: -Mchele kg1 -Karoti tatu -Asali vijiko vitatu -Vanilla ya maji(kijiko kidogo) ikiwa ya unga nusu kijiko -Zabibu kavu -Korosho au almond au karanga zilizokaangwa na kutolewa maganda...
 9. snowhite

  I miss you

  Yes you!
 10. snowhite

  Mangi kaharibu mahali,collectively responsibility inahusika na hapa??

  Dah!!! Nlikuwa naiskia tu kwa jirani ila ndo ishabisha hodi kwenye boma!! Mangi bana katusua huko! Na imebid tu nijue,nshacurse sana na kuvimba ila ndo ishakuwa!somewhere kipande cha wapi sijui kuna kisbling ka macutee wangu. Hebu kujeni mnipe maakili maana yangu ishafikria weeeee ah...
 11. snowhite

  Kongosho!!

  Hv jamani Kongosho huko aliko mzima kweli! manake sidhani kama kuna usalama! ALIYEMUONA konnie jamani aniiitie CC watu8, Kaizer, BADILI TABIA, na Mkunde Original walahi nahis konnie amemi..................................... haki vile!
 12. snowhite

  TWIGA mweny hips na miguu ya bia!

 13. snowhite

  ayaaah ningeijua mapema hii dah!

  ningesoma PCM mimi! cc watu8 na Baba V
 14. snowhite

  kongosho na zombie bana

  cc watu8, BadiliTabia DARKCITY Kongosho et al
 15. snowhite

  watu na historia zetu!

  mwe!
 16. snowhite

  ebana eh!mi njaa inaniuma,wewe?

  sasa leo nawapa offer TMK family saudari Safari_ni_Safari Boflo Mtambuzi Dark City The Boss watu8 Tized platozoom Erickb52 Asprin Kaizer HorsePower pacha wangu SnowBall Arushaone partner M'Jr KIKUNGU na mwenzie Sikonge bila kumsahau Eiyer Jiwe Linaloishi Baba V (staff met wake...
 17. snowhite

  gals!my treat twenzetuni

  cc cacico FP mwaJ Kaunga AshaDii Roullete MadameX madameb Nivea Kipipi Mamndenyi Mrembo by Nature King'asti Kongosho Paloma Swts Ablessed Zion Daughter Preta na wengine wooote wanaousika pande hizi hata Mpole sana twende mwayego!
 18. snowhite

  NI MARAFIKI ZAID YA MNAVOFIKIRI!YU WERE THERE FOR ME GUYS!i love yu mingi!

  sijui nianzaje kushukuru!sijui nianzaje kusema ahsante !sijui niseme nini mjue ninavyosikia amani kuwa nanyi kama marafiki!sijui niseme nini mjue namna ambavyo mmenipa FARAJA!AMANI!TABASAMU!NA UPENDO! naomba nimpe kila mtu salamu zake toka sakafuni kabosa mwa moyo wangu! Kaunga ahsante sana rev...
 19. snowhite

  Sijui niitaje huu mlo! We soma tu utaupa jina mwenyewe

  MAHITAJI VIAZI VITAMU NYAMA YA NG'OMBE/KUKU /SAMAKI(Chagua kimoja kwa mlo unaweza kubadili kwa mlo mwingine) NJEGERE KAROTI VITUNGUU VIKUBWA VIWILI TANGAWIZI kiasi BLUE BAND vijiko viwili vikubwa ROYCO kijiko kimoja kikubwa pilipili manga (ukipenda) maji ya kuchemshia nyama/kuku. kama utatumia...
 20. snowhite

  boflo kwa maswali!lol

Top Bottom