Search results

 1. Apollo

  Uhalisia wa Furaha na Mateso katika Maisha

  Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
 2. Apollo

  Mambo 40 ya Kukufanya Kuendelea Kuwa Hai

  Wakati nilipoamua kukaa na kuandika hii mada, nilikuwa ninawaza "Ni mambo gani ya muhimu sana ambayo sijayatazama katika kunipa furaha". Kiukweli kuna mambo mengi ambayo watu wengi hawapendi kuyatazama au kuyapa kipaumbele. Mambo haya ni mambo ya hobbies, kazi, safari, au shughuli mbalimbali...
 3. Apollo

  NEW! Nyayo za Mwanadamu wa kale, Zaidi ya 400 zagunduliwa Tanzania.

  Wanasayansi na watafiti wamepata ushahidi wa kipekee sana duniani kwa kupata nyayo Zaidi ya 400 za mwanadamu wa kale katika tabaka linalokadiriwa kuwa na miaka 5000 mpaka 19,000. Nyayo hizo ni za makundi mbalimbali ya watu waliokuwa wametembea juu ya tope la majivu ya volcano pembezoni mwa Ziwa...
 4. Apollo

  Wenye Samsung Galaxy Note 7 watakiwa kuzizima

  11 October 2016 Samsung imetoa wito kwa watu wenye simu aina ya Galaxy Note 7 kuzizima mara moja huku ikifanya uchunguzi kubaini ni kwa nini simu hizo, hata zile ambazo kampuni hiyo ilikuwa imethibitisha kwamba ni salama, zinawaka moto. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema itasitisha uuzaji...
 5. Apollo

  Sababu 4 Ambazo zinakwamisha mipango ya watu wengi

  Kama una malengo Fulani katika maisha na unapenda kufahamu ni nini kinachopelekea wengi kushindwa kutimiza malengo yao ili kuhakikisha unaepuka kurudia makosa, hii mada inakuhusu. Mada hii inajaribu kuelezea mambo makuu ambayo wengi wanashindwa kutimiza malengo yao. Mambo haya yamekuwa...
 6. Apollo

  Sifa za akili na ufahamu

  Maana nilizozitumia Ufahamu - Consciousness Akili - Mind Ninaposema Akili sina maana ya uwezo wa kufikiri au Intelligence. Ninamaanisha uwezo wa kutambua, kuweka kumbukumbu, kutafakari na ufahamu kwa ujumla. Kwa maana nyingine Akili kwa maana ya MIND. Ninaposema akili ni uwezo wa kutambua sina...
 7. Apollo

  Tenda - Kuprint Magazine

  Habari ndugu. Kuna magazine mpya inahitaji mtu wa kuprint vizuri ili tuiwakilishe kwa ajili ya kufuatilia kibali. Tumeambiwa tupeleke nakala 10. Ninaomba kama kuna anayefahamu Kampuni, au watu wazuri katika printing digital kwa nakala 10 na kuendelea tuwasiliane na tukiweza kushirikiana...
 8. Apollo

  The Egg Story

  You were on your way home when you died. It was a car accident. Nothing particularly remarkable, but fatal nonetheless. You left behind a wife and two children. It was a painless death. The EMTs tried their best to save you, but to no avail. Your body was so utterly shattered you were better...
 9. Apollo

  Fahamu Alama ya Mwanga Juu ya Watukufu na Wenye Hekima ina maana gani

  Mada hii haipo kidini bali ipo ki-kisayansi na ki-intelectual zaidi. Kutoka Jitambue Sasa Blog. Unaweza ukawa uliwahi kuona watakatifu, walimu wenye hekima, walimu wa imani, watawa, Miungu/dieties mbalimbali katika imani mbalimbali duniani wamekuwa wakiwekewa alama ya duara juu ya kichwa...
 10. Apollo

  Faida muhimu zinazopatikana katika kufanya Meditation/Taamuli (Kisaikolojia)

  "Ukiwa kwenye taamuli unaona kilichokuwa kinaendelea akili mwako wakati wote." - Allan Lokos Watu wengi wamekuwa wakijifunza meditation tangu karne na karne, miaka na miaka. Sio kitendo kilichoanza hivi sasa bali ni kitendo kilichoanza tangu zamani na kimekuwa na faida mbalimbali kwa...
 11. Apollo

  Kuna tofauti na uhusiano gani kati ya WAZO na IMANI?

  Wazo ni mtazamo au fikra inayobebwa akilini kutokana na uwezo wa kufikiria. Kutokana na hali ya KUFIKIRIA ambayo ni hali ya akili, mawazo au wazo huwepo. Kama kungekuwa hakuna kufikiria au akili ingekuwa haina uwezo wa kufikiria na kutafakari kusingekuwa na WAZO. Imani ni WAZO au msimamo...
 12. Apollo

  Kanuni ya Mwisho ya Akili na Ulimwengu na Mambo ya Muhimu kuyakumbuka

  Mawazo ni uhalisia. Mawazo ni uhalisia unaosubiri muda fulani na space kufika na uhalisia huo kuonekana katika ulimwengu wako. Kinachofanya uone mawazo sio uhalisia ni muda. Kama kungekuwa hakuna kipindi fulani cha wakati baina ya kilichopo akilini mwako na uhalisia wako ungeona ni kitu...
 13. Apollo

  Tambua Usawa Uliopo Kati ya Ufahamu, Akili na Uhalisia wa Maisha Yetu

  Kanuni ya Usawa wa Ufahamu, Akili na Uhalisia wa Maisha ya Mtu "Like attracts Like" Kanuni hii kwa Upande wa Ndani Sheria hii wengi wanaifahamu ikisema "Like attract like". Kuelewa sheria hii, kwanza ni vyema kufahamu kuwa Akili imegawanyika katika Subconscious Mind na Conscious Mind...
 14. Apollo

  Hadithi Ya Wafungwa kwenye Pango (Fumbo la Maisha)

  Hii ni hadithi ambayo ilikuwa ni fumbo ambalo mpaka leo hii Plato hatasahauliwa kwa kuweza kutumia ufahamu wake kuelezea uhalisia wa maisha na ufahamu wa mwanadamu ulivyo kwa ujumla. Ni mfano ambao kila mtu ameachiwa tafsiri yake ni kila mtu atauelewa kutokana na mwanga alioweza kuuona maishani...
 15. Apollo

  Kanuni ya Kubadili Fikra: Kanuni ya 8 ya Akili na Ulimwengu

  Kanuni ya Ubadilishaji (Substitution) Ubadilishaji wa fikra. Hii ni kinuni mojawapo ya saikolojia inayohusu sana kubadili fikra, mazoea, hisia na mawazo. Kanuni inasema kuwa vyote hivyo havibadilishwi kwa kulazimisha kuvitoa au kwa kulazimisha kuvikubali bali unaweza kubadilisha...
 16. Apollo

  Kanuni ya Hisia (Kanuni ya 7 ya Akili na Ulimwengu)

  Uhusiano kati ya Uhalisia Mawazo na Hisia. Huwezi kuwa na hisia bila kuwa na wazo. Kauli ni sawa na kusema kuwa hisia hutokea baada ya wazo kuwepo. Ikiwa na maana kuwa wazo hupelekea hisia na hisia haiwezi kuwepo bila wazo kuwepo. Sheria hii inahusu sana uhusiano uliopo kati ya...
 17. Apollo

  Kanuni ya Uumbaji (Kanuni ya 6)

  Kila wazo, Kila neno, Kila tendo, ni kama sala. Kutokana na kuwa kila wakati kuna kinachoendelea katika ufahamu wako basi tambua kuwa kila wakati kuna uumbaji unaendelea katika ulimwengu wako/Uhalisia au Reality yako. Tumeweza kujifunza katika sheria ambazo zimepita kuwa kuna uhalisia...
 18. Apollo

  Upekee wa Fikra na Uhalisia wa Maisha Yako (Kanuni Ya Tano ya Akili na Ulimwengu)

  Habari ndugu zangu wa JamiiForum, bado nitaendelea mpaka nimalize sheria au kanuni kuu kumia ambazo zote hizo zinaelezea uhalisia wa Akili na Ulimwengu kwa pamoja. Kuna sheria nyingi sana ulimwenguni, kuna sheria za kibiolojia, kuna sheria za fizikia, sheria za jeografia na sheria mbalimbali...
 19. Apollo

  Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha (Kanuni Ya Nne ya Akili na Ulimwengu)

  Kanuni za Akili na Ulimwengu Kanuni ya nne - Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha Wewe ni Kama Sumaku Inayoishi. Maisha unayoishi hivi sasa hayajaachana na ulimwengu unaoendelea akilini. Ukiwa umefuatilia sheria ya kwanza utakuwa umejifunza kuwa kila tokeo lina...
 20. Apollo

  Kanuni ya Nguvu ya Umakini/Focus (Kanuni za Ulimwengu na Akili)

  Huu ni muendelezo wa Taratibu na Sheria za akili na ufahamu. Akili ya mwanadamu ni sehemu ambayo watafiti wengi wamekuwa wakihamasika kuielewa. Akili ni sehemu pana sana kwa mwanadamu. Ni sehemu ambayo haionekani wala haishikiki lakini ina matokeo makubwa sana kwa mwanadamu. Akili...
Top Bottom