Search results

 1. Erick_Otieno

  Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

  hatimae muhenga leo umetipatikana yaani #MaraPaap
 2. Erick_Otieno

  Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

  Usiongee usilolijua... and of course source ya taarifa zako ni mitandao Kwahyo ww ni mdaku tu na shabiki. Dai ni jina ndo linalotumika kubrand na kupromote vya watu, hana chake na bila salalamu sk dogo bado choko tu Perfume ni ya Kusaga, Karanga ni za Muhindi, Nyumban south ni za Zari...
 3. Erick_Otieno

  Rapa Lil Wayne kwa sasa anadondoka kifafa, aahirisha show baada ya kudondoka

  Umeandika utadhani unamjuaaaa kumbe umeokoteleza vihabari hahaha Kifafa cha Wayne ni tangu ndogo, na juzi hakuanguka jukwaa alikutwa hana fahamu hotelini. Shenztype
 4. Erick_Otieno

  Kwanini DJs hupiga nyimbo za kizamani kwa muda mrefu?

  Je, ni kutaka kuonekana kwamba wanaujua mziki tangu 80's au wanadhani wateja ndo tunazopenda? Nyimbo mpya ni nyingi sana hata ukizipiga masaa 24 haziishi... Nipo hapa Maisha Club makumbusho, jamaa anapiga old schools tu mwanzo mwisho yaani hadi elfu 10 yangu ya mlangoni inaniuma.
 5. Erick_Otieno

  Mkuu wa Mkoa kuwa na nguvu kuliko mawaziri ni tishio kwa usalama

  kwa akili yako unadhani hakuna mkuu wa mkoa ambae ni usalama??? Haha
 6. Erick_Otieno

  Wimbo wa Alikiba "Seduce Me" una kitu gani special?

  taja jina la huyo msanii wa kikorea na jina huo wimbo tumfukunyue...but uhalisia ni kwamba mkorea huyo kaimba cover ya Seduce Me. nyambafu
 7. Erick_Otieno

  Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes, Mwana yaibuka

  HIVI MNAPOSEMA "DUNIANI NA AFRICA" ILI HALI KUNA MWANADADA TAYLER SWIFT AMBAYE ANA KICHUPA CHA "LOOK WHA YOU MADE ME DO" CHENYE VIEWS MILIONI 120+ TUWAELEWEJE? acheni kufabricate news.
 8. Erick_Otieno

  Ni viwanja gani kuna Live Band ijumaa ya leo hapa Dar?

  Hodiii, Ni wapi kuna live band Eid ya leo ijumaa hapa mujini:) ? Nzuri zaidi ikiwa haina kiingilio but descent location. Thanks
 9. Erick_Otieno

  Fumbo la uumbaji, roho na mwili uozao

  Wa kwanza mimi.... MUNGU ni wewe na sio Yesu au dogo Muhamedi. Dini ni industry km ulivyo PR, Muziki au Uwakili na ina maadili yake ndio maana Mchungaji au Askofu hufanywa mfano akizini japo in private life yeye ndo mla waumini. Wacha niishie hapa ili angalau nifike 2020 nione mtanange.
 10. Erick_Otieno

  Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

  Ila watu mnapambana kwa hoja humu ndani mpaka raha...shilawadu nawaona nawaonaaa cc Miss Natafuta #MalkiaWanguWaNguvu
 11. Erick_Otieno

  Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

  "tulio wengi" na huna like hata moja
 12. Erick_Otieno

  Business Partner Wanted: Simba vs. Kiba project proposal

  Thank you. Keep wasting More. Pepsi. We Care
 13. Erick_Otieno

  DAR: Nyumba Kimara zabandikwa 'stop order' kutoka mahakamani. TANROADS wazibomoa, bado wadai wameamrishwa

  noo spidi yenu ndo imeshtusha watu na kuwatoa usingizini....hasa kwa kuiweka mahakama mfukoni hahaha
 14. Erick_Otieno

  Aliyempamba huyu bi harusi haki mungu anakuona

  jove kashaishiwa pumzi.. voda wamekaza maana 4g saivi wanataka watu twende 5g. km una hela ya mboga heri ukale tu.
 15. Erick_Otieno

  Business Partner Wanted: Simba vs. Kiba project proposal

  mission ikishakuwa accomplished hamna shida. mbon kuna kmpuni infungliw leo inafungwa wiki ijayo maana muamala ushapita?
 16. Erick_Otieno

  Rais Magufuli aitaka TAKUKURU kuwachukulia hatua wote wanaojihusisha na rushwa pale wanapokuwa na ushahidi

  Ila hako kalinzi Kake hapo nyuma sikaoni. Mwenye taarifa za huyo muhenga anitag.
 17. Erick_Otieno

  Business Partner Wanted: Simba vs. Kiba project proposal

  ni mwendo wa kutembelea nyota...kama kiba alivyofanya, so hamna jinsi
Top Bottom