Search results

 1. Tausi Mzalendo

  Give them a break! Kwanini watu wanakataa kila anayeteuliwa?

  Kila uteuzi unakataliwa, Watu kutwa kulalamika kwanini fulani kateuliwa, hawezi! Mngetaka nani ateue au ataeuliwe kushika nyadhifa zinazotakiwa kujazwa ili mridhike? Ati walioteuliwa hawana uwezo.Mmejuaje ilhali ndiyo kwaaanza wameteuliwa tu? Kwanini wasipewe nafasi wakaonyesha wameshindwa...
 2. Tausi Mzalendo

  Zanzibar tugawane nusu kwa nusu kila kitu

  Mjadala wa katiba mpya una mambo mengi yenye kufikirisha. Muundo wa serikali tatu nao uangaliwe vizuri isije siku moja watu wakajuta! Zanzibar wanapodai uwiano wa 50/50 kwenye madaraka na vyeo, kwanini hawadai 50/50 kuchangia kwenye majukumu na gharama? Leo wanadai kuwa Mkuu wa majeshi atoke pia...
 3. Tausi Mzalendo

  Wanaume "warembo" ....mnachusha!

  Hii mada imeletwa kwa hisani ya wale wanaoona wanawake wasomi ni mizigo - kina Wiyelele, Asprin, nk Wapi mamaa Kongosho, Ciello, Smile, na wengine tulonge?
 4. Tausi Mzalendo

  Epusha yafuatayo udumishe uhusiano

  Kupenda na kupendwa raha sana.Raha hii itakuongezea umri wa kuishi, itakufanya uwe mng'avu kwa kutabasamu kila wakati hata ukiwa gizani au peke yako.Ukiwa kwenye uhusiano unaokufanya ujisikie uko juu ya mawingu, ya nini utake kutia doa au walakini ukatishe utamu unaoupata ndani ya roho yako...
 5. Tausi Mzalendo

  Takukuru - safari hii..

  Je mna visingizio gani tena safari hii? Chaguzi zote zilizomalizika na zijazo siyo siri kuwa RUSHWA IMETAWALA NA ITAENDELEA KUTAWALA. Mnatuambia nini sisi wananchi? Rais mwenyewe alikemea uchaguzi wa UWT ulivyojaa rushwa.Hamkumwelewa?Mnahitai kuvalishwa miwani muweze kutanabahi na kuiona rushwa...
 6. Tausi Mzalendo

  Hulka hii inatusaidiaje watanzania?

  Wanasiasa wanachonga sana, wananchi nao wanachonga sana. Kinachotufanya tusisikilizwe ni nini? Mizaha kwenye mambo makubwa na madogo! Ifike mahali tuweke seriousness kwenye mambo makubwa na mizaha ibakie kwenye mambo ya mizaha. Tuchukulie kila jambo kubwa linapotokea, utaona mizaha kwenye...
 7. Tausi Mzalendo

  Ugumu wa kupata kazi partly tunajitakia wenyewe.........

  Tuna watu wamesoma, wana madigiriii kibao! Kazi zikitangazwa, hizo applications ukisoma, hadi raha maana kingereza kingiiiiii! Kinachoshangaza, "lugha" kwenye izo applications utadhani kuna mtu mmoja anawaandikia karibu wote! Kumbe bana, templates za kwenye internet! Mwite mtu kwenye usaili...
 8. Tausi Mzalendo

  Wise-up!

  If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST MEN/WOMEN!" remember... your mates are getting married every Saturday. Let me ask you, are they marrying spirits? Wise up! If you are MARRIED and keep saying "I HATE THIS MARRIAGE!" OK! Is it not married people like you that are celebrating...
 9. Tausi Mzalendo

  Hizi ndizo sababu? Wakaka inawahusu

  [FONT=book antiqua][SIZE=2][COLOR=#000000]KWA NINI WANAUME WENGI SIKU HIZI WANAKWEPA KUOA KAAZI KWELI KWELI! Sasa nini kifanyike kama hizo ndizo sababu?
 10. Tausi Mzalendo

  Tanzania tunapata snow/theluji - maajabu!

  Snow inaanguka huko Mufindi utadhani tuko yuropa na marekani! Mwisho wa Dunia unakaribia? Je Watanzania wamejiandaa kwa hali ya hewa ya namna hii?
 11. Tausi Mzalendo

  Tanzania bila ushirikina inawezekana?

  Tanzania tunashika namba katika ushirikina ( utafiti uliwahi kuonyesha na kuletwa JF) Tanzania imo katika tatu bora Afrika tukiwafuatia Benin! Ushirikina - kwenda kwa waganga kusafisha nyota, kutafuta dawa za kjupata mali na vyeo, ngekewa, kutabiriwa n.k. ni "moja ya nyenzo" zinazotumiwa na...
 12. Tausi Mzalendo

  Wither Tanzania? Dalili hizi zinaashiria nini?

  Huenda kuna jambo linataka kutokea Tanzania for the better or worse! Kwanini Taifa lina kila dalili ya kumeguka? Migogoro na mitafaruku ya kila aina: Kwa uchache nitaorodhesha michache na wasomaji mnaweza kuongezea : Wananchi wanyonge dhidi ya watawala wenye nguvu na unafuu wa maisha (...
 13. Tausi Mzalendo

  TBC Rekebisheni mitambo yenu

  Bunge linaendelea, Wabunge wanachangia mjadala, ila kwenye background kuna sauti za taarifa ya habari.... ikoje hii?
 14. Tausi Mzalendo

  Ukistaajabu ya Musa.....kumbe men nao siku hizi hujiuza baa?

  Leo nimejikuta nashangaa nikaambiwa unashangaa nini? Men kujiweka soap, na kujipodoa usharobaro. Wanaketi mahoteli makubwa na kuvizia wanawake wawanunulie kinywaji! Ama kweli maisha yamebadilika.Kumbe wanaotemeatemea mate kwenye glass masaa siyo wanawake peke yao tu siku hizi! Hata wanaume wamo...
 15. Tausi Mzalendo

  From Sheraton to Royal Palm, Movenpick and now SERENA!

  Mwenzenu leo kidogo nitolewe nishai! Kumbe Movenpick sasa ni Serena? Meet me at the SERENA...........( since when did we have a SERENA IN DSM?)...NDIVYO ILIVYOKUWA. Mtangazage basi kama mwabadili majina/franchise!
 16. Tausi Mzalendo

  Kwa Mkeo ni hospitali, kwa hawara ni 'love nest'....

  Mwanaume kuhamia kwa hawara wakati wa kutumbua maraha, ukiugua unajikongoja nyumbani kwa mkeo kuuguzwa.Kwani huyo hawara yako hajui kuchemsha supu? Mwanaume kuja home kubadili mavazi na kuacha nguo chafu - kwani kwa mkeo ni kwa dobi/dry cleaner? Yapo sana kwanini lakini?
 17. Tausi Mzalendo

  Ufunguo wa furaha katika ndoa ni kumpenda mume kuliko watoto?

  "Ukimpenda mume ukamfanya afurahi basi mwisho wa siku familia yote itakuwa na furaha".Kasema bwana mmoja wakati alipoulizwa kwanini ndoa nyingi zinagubikwa na misukosuko! "Mke anatakiwa kuweka "ndoa' iwe kipaumbele cha kwanza kuliko kila kitu na hata watoto". Je inaleta maana?
 18. Tausi Mzalendo

  Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

  Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao. Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo: Wanaume hao wanajua kupika, kulea watoto, wana huruma zaidi, wanaheshimu wanawake, wana upendo, wanajali, etc. Hili...
 19. Tausi Mzalendo

  Wanadamu na maisha ya kindoa - kwanini wanyama hawana licha ya mifanano mingi?

  Wote wanasifa zifuatazo: Mwanaume/dume kusababisha mimba/mtoto Wote hutamani kingono wote wana wivu wa kimapenzi wote huandaa ujio wa watoto wote hulea watoto wao ( hutafuta rizki, hulinda kwa kushirikiana) Licha ya yote haya, kwanini wanyama hawana maisha ya kindoa? Kwanini binadamu kaumbiwa...
 20. Tausi Mzalendo

  Wanaume wanafanya na kujitesa vipi ili kuvutia wanawake kama wanawake wanavyofanya?

  wanawake hujikondesha/kujinenepesha, hujichubua, Huvaa nguo za kubana ( cosettes, pelvic girdles etc) zenye kuumiza, na mengine mengi ili kuwafanya wavutie kwa wanaume wao. Hivi, wanaume nao wanajiumiza kwa ajili ya wanawake? Kama ndiyo, ni mambo gani wao hufanya? Nasubiri michango yenu akina...
Top Bottom