Search results

 1. nguvumali

  Daktari Bingwa

  Leo nilienda kuonana na daktari bingwa wa Macho pale Muhimbili. nimeingia ndani ya chumba cha bingwa huyo nikakuta ni kijana ambaye havuki miaka 35. nikamuuliza nimekuja kuonana na bingwa wa macho....kijana akasema ndio yeye bingwa...! niwaulize bandugu, ubingwa wa daktari wa tiba...
 2. nguvumali

  Vituo vya mafuta vyakwepa kodi ya TRA

  Nimefanya upembuzi wangu kwa kushirikiana na macho yangu nimethibitisha pasipo shaka kuwa vituo vya mafuta (Petrol stations) hapa Tanzania vinakwepa kulipa ushuru wa TRA Kwakua wana mashine zile za kutolea receipt za TRA lakini wao hawatoi. Inapotokea mteja anadai wampe receipt wao hummpa ile ya...
 3. nguvumali

  Polisi wa doria za Pikipiki wamejisahau

  Tangu nimerejea Tanzania miezi 7 iliyopita nimekuwa nashangazwa sana na ongezeko la Polisi wenye pikipiki maarufu kama TIGO wanaofanya kazi ya kukagua stickers za Bima, kukagua kama umelipia Kodi ya mwaka ya umiliki wa gari, wanakagua malori ya mkaa , pia wako busy kukagua bodaboda na...
 4. nguvumali

  Hivi bado kuna watetezi wa Mbio za Mwenge ?

  Asante shemeji yangu Daniel kwa maneno mazuri ! HIVI BADO KUNA WATETEZI WA MWENGE AMBAO KINDAKINDAKI WANAAMINI ILI TUENDELEE TUNAHITAJI KUKIMBIZA MOTO NCHI NZIMA.....?
 5. nguvumali

  Idara ya Mambo ya Kale Ni mzigo kwa taifa

  Idara ya Mambo ya kale iliyopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii ni idara iliyoshindwa kabisa utimiza majukumu yake ya msingi ikiwamo kulinda na kusimamia mali kale mfano majengo yenye Historia ndefu ndani yake. Siku za karibuni tumeona majengo kadhaa yenye Historia iliyotukuka yakivunjwa...
 6. nguvumali

  mwaka wa 8 WA VIFO VYA VIVIAN NA COMPLEX

  Leo ni mwaka wa nane (8) tangu tangu Vivian na Complex watutoke. nawakumbuka sana , maisha yanaamana kubwa Mungu awapumzishe na awape raha ya milele.
 7. nguvumali

  Gari ya uganda ilipoongoza maandamano Mwanza

  Katika Tukio la kusisimua Mkoani Mwanza gari walilokuwa wakitumia Polisi lilikuwa na namba za Uganda ! Je huu ni ujirani mwema, ama ?
 8. nguvumali

  clouds ijufunze ustaarabu wa wengine.

  Clouds media tayari wamezindua msimu wa Burudani za Fiesta kule Mkoani Kigoma, itafuatiwa na matamasha kadhaa katika mikoa zaidi ya kumi (10) . Wapenda Burudani katika mikoa hiyo wanajiandaa kupata burudani ya uhakika isiyo na mikwaruzo. Leo tangu asubuhi kwenye radio yao inayosikika baadhi ya...
 9. nguvumali

  mtabiri wa TAIFA , chanzo cha madhila haya.

  nimewaza sana haya yanayoendelea , nimemfikiria Mkuu wa Nchi yetu mzaliwa wa Msoga, nimewatizama wasaidizi wake na wanamzunguka, nimewatazama watoto wake na mke wake. Nimeshindwa kufikia hitimisho kwa haya yote yanayotukumba kama taifa mfano Udini, chuki za kisiasa, madawa ya kulevya na ukosefu...
 10. nguvumali

  Je kuna faida kuwa Gold member au Tanzanite member ?

  jamani nimekuwa Gold member hivi majuzi, nimeona kuna wengine Bronze, wengine Senior experts , wengine Tanzanite na wengine Premium ! je kila class inakupa faida Gani ? ni kwanini ni muhimu kuwa Tanzanite kuliko kuwa Premium ?
 11. nguvumali

  Mpokea hundi wa CRDB Holland House anadharau sana

  nimekuwa mteja wa kudumu wa CRDB kwa kipindi cha mwaka wa Tano sasa, tangu nimerejea nyumbani Tanzania karibu miezi 3 sasa kuna kazi nafanya ambayo malipo yake ni kwa hundi, sasa kila ninapoenda kujiwekea akiba kwenye akaunti yangu pale CRDB TAWI LA Holland hakika huwa nakwazika kutokana na...
 12. nguvumali

  tozo za simu, Ikulu yafunguka

  Ikulu ya Kikwete, Waziri mkuu, Waziri wa Fedha ni mkinzano mtu
 13. nguvumali

  Matumizi mabaya ya mali ya umma

  hilo ni gari la serikali linalotumiaka na kituo cha Afya Ilembo..Mbeya Vijijini limekutawa likipakia abiria. Hii ni hatari kwa maana Mkuu wa afya anashirikiana na dereva wake katika biashara husika. nauli kutoka Mbalizi hadi Ilembo ni Tsh.4000. Mamlaka husika mpo wapi? hebu njoo mpate taarifa...
 14. nguvumali

  naweza kumsamehe MANGUNGO WA MSOVERO

  niliutazama Ujio wa rais wa China kwa masikitiko sana na Tangu jana nimekuwa nikiangalia Mbwembwe za kumpokea Rais Obama na Wamarekani wengine kama Kejeli ya wakati wote katika Taifa letu. Wakuu wetu wametuambia kuwa Urafiki huu ni urafiki wa Kihistoria na hakika utasaidia pande zote...
 15. nguvumali

  nataka kuacha kupokea taarifa za IMEI ya simu iliyopotea

  mke wangu alipoteza simu yake ambayo alikuwa ameset IMEI notification kila ukibadili line, sasa jamaa alieiokota hajui nini kinaendelea na kwakua sitaki kumfuatilia kuogopa kupoteza muda ninachotaka kuremove uhusiano wa sim card yangu na IMEI ya handset hiyo. Naombeni msaada napaswa kufanya nini
 16. nguvumali

  Trafic Police wamtandika askari wa JWTZ hadharani

  MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini...
 17. nguvumali

  Nataka kukukopa ! ushauri please

  Natarajia kurudi Tanzania ili kuendesha maisha yangu yaliyobaki mpaka kitakapoeleweka. Nina Kiwanja Kibaha Lower Density , nataka kukitumia Kuombea Mkopo kwenye Mabenki yetu ya Biashara ! Je Inawezekana ? Maana Nataka 20,000,000 niongezee kwenye Mtaji wangu ili nijiingize katika Biashara Ya...
 18. nguvumali

  Nmb bank house kielelezo cha uvivu na wavivu

  Juzi katika mihangaiko yangu hapa jijini Dar es salaam ilinifikisha katika Bank NMB tawi la Bank House makutana ya Samora na Mtaa wa Pamba. Nilipoingia ndani ya Bank nikashangaa kukuta watu kama mia moja hivi wakiwa katika foleni zisizotembea, na nilipochunguza nikagundua kulikua na madirisha...
 19. nguvumali

  Mkwawa University inawaka Moto

  Nipo hapa Iringa , Pembezoni ya Shule yangu ya zamani Mkwawa , kuna Jengo wanaita Hall 6 linaungua , jengo hili ni hostel za wanawake , bado moto unawaka sana ! bila shaka litateketea Lote !
 20. nguvumali

  Mimi na nyumba yangu TUMEAMUA CHADEMA mpaka Kieleweke

  Tangu kuanza kwa harakati hizi za vyma vingi nilijisemea moyoni lazima niongeze uzazi ambao utasaidia mageuzi ya haraka hapa Tanzania, baada ya kuona mafisadi wanapandikiza watoto wao kwenye siasa, nikajisemea haikubaliki, Ngoja mimi na familia yangu tuanze kupeana darasa la Uraia na Utaifa ...
Top Bottom