Search results

 1. trachomatis

  Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

  Au mi nimeelewa vibaya... Ujue kuna baadhi ya watu kuongea kiswahili kwao.. Ili waeleweke.. Wanabadili maneno ya kiingereza kwenda kiswahili... Na hadhira anayoongea nayo, anaitafsiri kama ni wale "laymen" kabisa... Kwa hiyo anaiangalia hadhira, anaiona inamtegemea yeye kama "mtatuzi" wa mwisho...
 2. trachomatis

  Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

  Wako wangapi wenye shida kama hizo sasa.. Au Rais awe anatenga muda katika ratiba zake wa kufika kila wilaya kusikiliza matatizo yaliyoshindikana na watendaji wake? Liko practical kweli hilo?
 3. trachomatis

  January Makamba, ulianza na ukame, ukaja na kuchoka kwa mitambo, leo umekuja tena na matengenezo, ni vyema ukae pembeni

  Hata mimi ndivyo nafahamu... Uongozi uliopita pamoja na mazuri na maovu yake, lakini sifa ya ziada ilikuwa kujipendekeza. Na kutotekeleza majukumu kwa weledi. Professionalism. Ulificha mengi ya ukweli ili kumfurahisha mmoja.
 4. trachomatis

  Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

  Duh! Tunangoja muendelezo. Hasa ile NMB Mwanga
 5. trachomatis

  Msaada kwa watumiaji wazoefu/wenye ujuzi na Clubhouse

  "There was an error. Please try again." Mimi ni mtumiaji wa Clubhouse kwa miezi miwili hivi. Nina swali moja, huwa ninashindwa kujiunga na ma-group... Yaani kuwa member. Niki-click pale kwenye kile "kinyumba", yanakuja maelezo hayo hapo juu... Naombeni ushauri juu ya hilo. Asante.
 6. trachomatis

  Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

  Hivi jana "man of the match" alikuwa nani??!
 7. trachomatis

  Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

  So they don't fit for the posts au una maana ipi
 8. trachomatis

  Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

  You nailed it bro!!! The guy is a gentleman... Alikuwa mbele yangu kwa vidato. But he is alright. Seriously customer satisfaction huwa haipo kwenye public services... Theseare right people to head those entities...
 9. trachomatis

  Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

  Kipimo cha mapenzi ya watu kinapimwaje... Hebu fafanua hapo mkuu!
 10. trachomatis

  Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

  Sijawahi kusikia Rais yeyote ambaye alipata kuongoza hii nchi... Na hakupata lawama... Hata mmoja...! Mwinyi alionekana hana lolote, anaendeshewa nchi na "familia" yake, Mkapa aliitwa mbabe, na akakosolewa sana na sera ya ubinafsishaji, kuuza nyumba za serikali bei chee,Kikwete aliwahi kusemwa...
 11. trachomatis

  Buriani Zackaria Hanspope

  Wewe kama ni muerevu, pitia taarifa za nchi zilizochanja vizuri kama Israel na hata Uingereza... China pia ugonjwa ulikoanzia...Utapata majibu ya ngonjera hizo... Pitia hata taarifa za Cuba.. Itakusaidia... Nashindwa kuelewa baadhi yetu... Kwani Malaria, pamoja na kuwepo madawa kibao, hakuna...
 12. trachomatis

  Hongera Dkt. Charles Msonde, mbinu ulizotumia katika mitihani hii ya darasa la 7 ni zaidi ya TISS

  Mi sipingi wala kukanusha majibu ya wadau waliochangia huu uzi, ila nililoliona kwa macho ni moja, wamekamatwa watumishi mbalimbali wa idara ya elimu kwenye halmashauri niliyoko. Idadi yao yapata 20. Na wamekamatiwa majumbani mwao! Usiku! Siku ya kwanza tu ya mitihani hiyo!
 13. trachomatis

  Wanasheria wetu waungane waipeleke Serikali Mahakani kwa kukiuka Nuremberg Code

  Duh... Ndugu, kumbuka hii ni world disaster...yapo mengi yaliwekwa kapuni kwa ajili ya immediate solution ya gonjwa hili... Rejea vifo vya Wuhan, Brazil, Italy, na sasa India... Na athari zimekuwa catastrophic... Lockdowns zimeua biashara za utalii, biashara za mafuta, na biashara zingine...
 14. trachomatis

  #COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

  Kuna vitu lazima vitokee duniani ili watu wengine wengi wajifunze... Hapo tumejifunza kila mmoja kwa namna yake...
 15. trachomatis

  #COVID19 Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

  We mdau umetafuta hicho kitabu ukaona ni kweli kuna hayo maandishi?? Ukifowadiwa vitu na wewe kachunguze kwanza kabla hujafowadi kupotosha zaidi... Lete ukurasa...
 16. trachomatis

  ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

  Hizi lugha hizi... "Kuungua"?!! Na wewe ni medical personnel kweli??!
 17. trachomatis

  ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

  Huu uzi watu wanajadili ki-layman sana... Badala ya kujadili kwa mapana na marefu ili ufaidishe jamii iliyomo humu. Na yote imechangiwa na mleta uzi kuugeuza kuwa wa "kimipasho" sana... Kwa sisi watu wa medical field mngeweza ku-benefit masuala juu ya uhalisia... Mjue watu humu JF, tuna-type...
 18. trachomatis

  Strategy ya Corona ya Rais Samia ni ipi?

  Mi ninachoshukuru ni approach ya kutoujali sana huu ugonjwa. Maana ulileta hofu kubwa. Na hofu ikasambaa kila mahali. Matokeo ya hofu huwa ni mabaya, kwani inaleta upungufu wa kinga mwilini, na hivyo kuugua magonjwa kirahisi, na hatimaye kupoteza maisha. Ushauri ni kuendelea na maisha binafsi ya...
Top Bottom