Search results

 1. Mambo Jambo

  Waacheni waandamane, wakimaliza na nyie andamaneni

  Hakuna aliyekataa kuwa wewe ni mtoto wa Maghembe
 2. Mambo Jambo

  Waacheni waandamane, wakimaliza na nyie andamaneni

  Mtoto wa Magembe usiyeisha vituko
 3. Mambo Jambo

  Rais Magufuli: Serikali kupitisha Fedha zote Benki ya NMB

  Siyo lazima, cheque utakayopewa utakuwa na uwezo wa kui-deposit bank yoyote, advantage ni kuwa ukibank na NMB cheque yako itaiva siku hiyohiyo wakati bank nyingine itachukua 3days or more
 4. Mambo Jambo

  Rais Magufuli: Serikali kupitisha Fedha zote Benki ya NMB

  Bado unapotosha, ni hivi treasury wana bank na NMB kwa hiyo kama wewe ni kandarasi na umefanya kazi ya serikali au taasisi ya serikali basi check yako itakuwa inatokea NMB kwa kuwa treasure ana bank na NMB kwa ajili ya malipo yote ya serikali na taasisi zake, baada ya kupewa cheque yako una...
 5. Mambo Jambo

  Rais Magufuli: Serikali kupitisha Fedha zote Benki ya NMB

  Acha kupotosha mkuu, hata hapo nyuma pesa zote za serikali zimekuwa zinatokea NMB, treasury kwa matumizi ya wizara na taasisi za serikali wana bank na NMB na hata sub treasury kwa mikoani anabank na NMB na hii iko hivi hata kipindi cha JK
 6. Mambo Jambo

  Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

  Huu ni ochonganishi, Yule ni kiongozi wa taasisi muhimu inchini na chini yake wako watendaji wengi, majanga na ajali nchi hii hayajaanza jana wala leo, tumeona ajali na majanga ya mafuriko, tumeona ajali za Sepide etc, hapa naona mnatafuta lawama kwa kuwa tukio limetokea kanda ile ili badaye...
 7. Mambo Jambo

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni muumini wa imani ipi?

  Mkuu mbona Uzi wako umekaa kidharau na kidini kiasi cha juu hivi, PM wa nchi abadili dini kwa ajili ya mwanamke? Na hilo jina la Mary umelitoa wapi? Na endapo kamanda Sirro akikufungulia mashtaka ya uchochezi wa kidini utalalamika?
 8. Mambo Jambo

  Bilionea Richard Branson: Ni mwanzo mzuri sana kwa Air Tanzania

  Kuna kipindi air bangaboi corporation ilikuwa na wafanyakazi 200 bila ndege hata moja, tumepiga hatua, msema kweli mpenziii wa Muunguu.
 9. Mambo Jambo

  Bilionea Richard Branson: Ni mwanzo mzuri sana kwa Air Tanzania

  Huyu jamaa ni nguli wa biashara duniani, huku biashara ya usafiri wa anga ikiwa moja wapo, hawa ndiyo watu ilitakiwa uncle aombe ushauri siyo yule Mtutsi.
 10. Mambo Jambo

  Risala za Kiongozi wa nchi

  Heshima mbele sana wakuu, Swali kwa wanasheria na wazee wa protokali, je suala la kiongozi mkuu wa nchi kuandikiwa RISALA ni swala la kisheria au ni utashi wa kiongozi mwenyewe, nafahamu J.M alikuwa mwandishi RISALA wa JK term ya kwanza, je nafasi hiyo inashikiliwa na nani kwa sasa au iko wazi?.
 11. Mambo Jambo

  Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

  Miss Salt heshima yako. Ningependa sana kujifunza kutengeneza dawa za choo (disinfectants ) sabuni ya maji kama termol kwa ajili ya usafi wa nyumba na nguo na dawa ya kusafisha tiles na sink. Natanguliza shukrani
 12. Mambo Jambo

  Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

  Umekuwa muhubiri mkuu wa umoja na utengamano tangu utangazwe kuwa Rais wa Tanzania, Naomba kutokana na utumishi uliotukuka wa Dr. W.P Slaa umpatie wizara ya TAMISEMI, Hii ni kutokana na kazi aliyofanya ya kutukuka kama makamu mwenyekiti wa kamati iliyosimamia TAMISEMI wakati wa bunge la Kasi na...
 13. Mambo Jambo

  Mayai ya Kisasa yanahitajika

  Ngoja wafugaji waje lakini mara nyingi msimu June/July huwa na short supply ya mayai, soon yatakuwa mengi sana mtaani
 14. Mambo Jambo

  Mayai ya Kwale (Quail eggs) yanapatikana kwa bei nafuu

  Piga number hii Kwale Bora Ltd 0654 163 784
 15. Mambo Jambo

  Mayai ya Kwale (Quail eggs) yanapatikana kwa bei nafuu

  Piga number hii Kwale Bora Ltd 0654 163 784
 16. Mambo Jambo

  Mayai ya Kisasa yanahitajika

  Mayai ya kisasa kwa bei ya jumla yanahitajika, bei isizidi tsh 5,500/= kwa trei na yawe makubwa. Mteja yuko Dar es Salaam na anahitaji trei 50 kila week Ongea na mteja kwa number hii 0654 163 784 Haya wafugaji kazi kwenu
 17. Mambo Jambo

  Biashara ya Chakula cha Mifugo

  Thanks Singh, Ur input will be much appreciated, vipi una mchango au ushauri wowote Mkuu?
Top Bottom