Search results

 1. Mzee Wa Rubisi

  Bodi ya Mikopo, Bodi ya Mikopo mna ajenda gani?

  Waombaji wa Mkopo kwa kujisajili kwa njia ya mtandao kuwa uwezekano mkubwa kukosa mkopo. 1- Waombaji wamekuwa wanalipa pesa kama inavyoelekwa kuipitia mpesa na tigo pesa bila ya mtandao wa bodi kumruhusu mwombaji kuendelea na hatua nyingi. 2- Ukipata bahati ya kuendelea unakwama katika unabaki...
 2. Mzee Wa Rubisi

  Liverpool

  https://goo.gl/photos/VfMtUeqFrwbCJ54r5
 3. Mzee Wa Rubisi

  Basi la Dar Express lapata ajali Wami

  Basi la kampuni ya Dar express limepata ajali maeneo ya Wami, Kabla ya mteremko wa kufikia daraja la Wami. ===== Updates ======
 4. Mzee Wa Rubisi

  Bongo hii kali,Elimu ya Diploma anakuwa waziri,Kadegree 1,ka2,ka 3 no job,?

  Hivi wizara ya elimu inamakosa gani.? Mbona manaibu waziri wa serikali hii elimu yao siyondogo lakini je wanao ueledi wa kusimama mbele ya tendaji wa wizara hiyo waliyobobea katika elimu. Naanza kuhisi kitu,Matokeo mabaya je ni tatizo la siasa zetu.? Mh.Mulungo aliambia anayo cv ya kuunga na...
 5. Mzee Wa Rubisi

  MOI yaishiwa dawa

  Ya Leo kali. jamaa yangu anauguliwa pale hospitai ya Muhimbili @ MOI wameishiwa dawa ya usingizi na wagonjwa hili wafanyiwa upasuaji lazima wapatiwe dawa ya usingizi .Kwa sasa dawa hizo hakuna.Twafa bajamee
 6. Mzee Wa Rubisi

  Kwa hali ya sasa "Akili ndogo kutawala akili kubwa"

  Sakata la gesi Mtwara. Akili ndogo kutawala akili kuwa,ndicho chanzo cha sintofahamu ya gesi mtwara. Akili ndogo inaanzia bungeni' - Bajeti wa wizara ya nishati na madeni kuailishwa mala kwa mala. - Ilikuwa isomwe tarehe 17/5/2013 ikasogezwa mbele kwa nini.?. - Ikasomwa tarehe 22/5/2013...
 7. Mzee Wa Rubisi

  Matokeo ya Urais marekani yametangazwa na nani?

  Japo nimefailia mchakato mzima wa matokeo ya urais marekani.Rais B. obama kuibuka mushindi. Swali langu ni nani kamtangaza obama kuwa ni mshindi? Je ni vyombo vya habari ndo vimemtanza mshindi.?
 8. Mzee Wa Rubisi

  Jamaanii kuku kamaliza debe la mahindi,karanga

  Jamani kuku kamaliza debe la mahindi,Niliaaza taratibu kumlushia mbegu za mahindi nilishutuka debe limekwisha ,hivyo hivyo kamaliza debe la karanga.Kuku huyu sasa kanenepa sana kapendeza sana na anavutikia kila kona anakopita.Kuku huyu kila inapofika siku ya kuliwa au kuchinjwa,utasikia kuku...
 9. Mzee Wa Rubisi

  CBE yawapiga marufuku wasichana wanaosoma chuoni hapo kuvaa nguo zinazobana

  Kutoka na vitendo vya ngono kushamili chuo ya biashara CBE Dsm. Namatokeo mabaya wa wanafunzi wa kike . NImarufuku kuvaa suluari za mchina zinazobana na kuonyesha maumbile yake. NImarufuku kuvaa siketi fupi .Nimarufuku kuvaa nguo inayobana mwili . Kazi hiyo wamepewa walinzi wagetini hakuna...
 10. Mzee Wa Rubisi

  Mererani kumetokea nini?

  Nimepata habari juu juu kwa msg kuwa kumetokea majanga la kufa kwa watu huko mererani. Wadau wa Arusha na manyara tujuzeni kama kuna janga lolote la kufa kwa watu.
 11. Mzee Wa Rubisi

  Kipindi hiki wanaume mnapokea Simu na Msg za aina gani.?

  Napenda kuwa uliza wanauma,kipindi hiki mnapokea simu au ujumbe wa aina gani.?
 12. Mzee Wa Rubisi

  Wodi ya Sewa Haji- Muhimbili jamani kunatisha

  Tumedhubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele. Kauli mbiu hii ya kinafiki.Aiwezekani kutembea unaimba kauli hii wakati huduma za afya bado duni. Ndg tembelea Hospital ya RUFAA MUHIMBILI kajionee wodi ya wanaume SEWA HAJI KAJIONEE HALI MBAYA YA HUDUMA, Wagonjwa wamelazwa chini kuanzia mlango kwenye...
 13. Mzee Wa Rubisi

  Sijapata kuona Mamba akitafuna majani.!!!!!!

  Ndugu, Mwezi huu nawa kumi sijawai hona au kusikia kila mtu akisema hali mbaya sana. UKATA, huu nimeufanananisha na Mamba kutoka majini na kwenda nchi kavu kula majani. Jpili moja nimetoka kanisani napokea msg tatu za jamaa tofauti wakiomba niwatoe wakipata watarejesha,wakwanza laki 3,wapili...
 14. Mzee Wa Rubisi

  KATIBA: Salim, Warioba wakutana na Dr. Slaa

  Leo wanasiasa wakongwe Mh Warioba NA Salim wamekutana na wanaendelea na mazungumuzo kuomba usuluhishi juu ya Hoja ya katiba. Source: Mh Zitto Kabwe
 15. Mzee Wa Rubisi

  Hali ya mtoto cesilia ni mbaya arudi bila kufanyiwa operesheni

  Mtoto Cecilia alitangazwa hivi karibuni na Vituo mbali mbali vya habari akiomba msaada wa kusaidiwa pesa za matibabu ambazo zingeweza kumwezesha kufanyiwa operesheni ya moyo ambao umempelekea mpaka Tumbo lake kuvimba kama unavyoliona. Taarifa za Cecilia ziliweza kutolewa na Miss Tanzania...
 16. Mzee Wa Rubisi

  Mcheka uchekwa,yamewakuta wao

  Idara ya habari Tanzania na wao yamewakuta kwa kutupiwa vyombo na thamani zao nje na shirika la nyumba kwa kushindwa kulipa kodi ya pango.
 17. Mzee Wa Rubisi

  Hongera mbunge wa Ubungo

  Mh Mbunge wa ubungo ongera kwa mkala wako wa Dawasco hatimae maji yametoka leo.Kumbe watu wanaogopa maandamano bila mkwala wako maji tuliyasikia mala 4 ya mgao wa umeme
 18. Mzee Wa Rubisi

  Umewahi kuisikia DVD YA HOTUBA ZA DR.W.SLAA

  Ndugu umepata kuisikiliza DVD hii ya hotuba za Dr w. Slaa.Ndg kama bado itafute upate ujumbe kupitia hotuba za Dr.Anaeleza juu ya mtanzania,haki za mtanzania,na nini serikali inatakiwa kufanya.
 19. Mzee Wa Rubisi

  Hopeless ni CCM AU CHADEMA

  Ni kati ya chama kipi ni HOPELESS THAN OTHER and why
 20. Mzee Wa Rubisi

  Alimanusura Bus la SUPER CHAMPION lipate ajari

  Ndg waungwana nipo kwenye bus la super champion linalokwenda Dodoma nusura litubwage baada ya kupasuka Tairi la mbele likiwa kwenye mwendo kasi
Top Bottom