Search results

 1. Lady N

  Just out of curiosity jamani

  Kuna wakati nikisikiliza matangazo ya vifo kwenye radio huwa nashindwa kuelewa watu wanamaanisha nini. Mfano, utasikia mwajuma ndalandefu wa Mbagala anasikitika kutangaza kifo cha babu yake kilichotekea huko Mkuurombo na mazishi yatafanyika Mkuurombo. Mipango ya mazishi inafanyika leo saa----...
 2. Lady N

  msaada plz

  mie kwenye haya mambo ya teknolojia si mzoefu sana, nataka kununua hivi vilaptop vidogodogo, ktk window shopping niliona hp, dell na sumsung (2gb ram na 320gb hard disk kwa zote), ktk hiz ipi ni imara? ukinipa na sababu itakuwa vizuri pia (kwa level yangu ya IT specification naishia hapo, kama...
 3. Lady N

  What a bad day!

  1) Jana asubuhi nilipata taarifa ya msiba wa mmoja wa madereva wetu hapa ofisini, ndo tunajianadaa kumpeleka kwao miono leo kwenda kuzika saa 10 jioni 2) Jana kwenye majira ya saa 5:30 ucku nikapata taarifa nyingine, ni rafiki, boss wa zamani ambaye alihamua kuacha kazi za kuajiriwa akawa...
 4. Lady N

  Msaada tafadhali

  nataka kumhamisha mdogo wangu shule, atoke Musoma aje Kibaha, barua ya uhamisha niiadress kwa nani na inatakiwa kupitia kwa nani na nani?
 5. Lady N

  Hichi kitendawili vipi jamani?

  Mwanafunzi: kitendawili... Wanafinzi: Tegaa. Mwanafunzi: nivue nguo nikupe utamu. Mwalimu: Mshenzi wewe acha kutukana! Mwanafunzi: mwalimu hata wewe hujui, jibu lake ni NDIZI!?
 6. Lady N

  Huyu dogo kweli hajatulia

  Mtoto kamuuliza Mama yake: "Mama wewe unatumia Voda na Baba Zantel, mbona usiku nilisikia Baba anakuomba Tigo ukamwambia asugue taratibu, nani ana Line Mbili?!"
 7. Lady N

  Teach your kids how to pray

  Hi friends Kwenye Computer / Simu yako kuna picha za aina gani? Watoto wako wanakuombea nini? TEACH YOUR KIDS HOW TO PRAY "Dear God, this winter please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cell phone and computer, and build shelter to the homeless men...
 8. Lady N

  Wezi wa Ng'ombe

  Wezi wa mifugo Tarime walipora mifugo kwa jamaa fulani,wakamfunga uchi ktk msalaba ucku kucha, majirani asubuhi wakaja kumpa pole,jamaa akasema sisikitikii ng'ombe wangu kuibiwa bali huyu ndama waliemuacha akaja kuninyonya naniliu usiku kucha akidhani ni titi la mama yake,nipo hoi nimepiga 8.
 9. Lady N

  cha kurithi kinakuwa na nyongeza????

  Kwa mujibu wa historia niliosoma o-level na shule ya msingi pia, dini ililetwa na ndugu zetu wazungu enzi hizo, swali langu ni hivi, wao waliotulea dini ndoa zao hazina ugumu kwenye divorce hata kama ni za kanisani, sisi tuliopokea dini tunakomaa na "alichokiunganisha Mungu mwanadamu...
 10. Lady N

  Just make u happy 2day.

  IN A CERTAIN VILLAGE, NEAR CONGO FOREST LIVED IN FIVE PEOPLE UNDER ONE HOUSE,THE 1st ONE CALLED NO BODY,2nd SOMEBODY, 3rd MAD,4th BRAIN an THE LAST ONE WAS KNOWN AS FOOL, NOW ONE DAY HAPPENED THAT NOBODY STOLE SOMEBOBY'S WIFE, WITH GREAT ANGER SOMEBODY BEAT NOBODY TILL DEATH,.MAD SAW ALL...
 11. Lady N

  Tanzaniaaa Tanzaniaaaa!!

  TANZANIA!!! TANZANIA The only country whose soccer players play BUT do not win!! The only country where a Mzungu comes with one dollar and leaves with millions of them!! The only country whose engineers build but the houses collapse prematurely!! The only...
 12. Lady N

  I like it!

  Katoto kamoja siku moja alimuuliza bibi yake wa miaka 94. "bibi... kwani we kuna mchumba?" Bibi akajibu "mjukuu wangu, mchumba wangu ni tv, ndio anaenipa furaha na kuniondolea mawazo" Sasa siku moja tv ilikuwa inaonyesha chenga chenga... Bibi akawa anaipiga piga/gonga gonga ionyeshe...
 13. Lady N

  Nikifa

  Mume: Mke wangu nikifa utaolewa tena? Mke: Ndio, itategemea. Mume: Utampa gari yangu aendeshe. Mke: Mh! Nadhani. Mume: Utamuacha akae kwenye kiti changu sebuleni? Mke: Labda. Mume: Utamuacha avae suti yangu nzuri? Mke: No, ye ni mfupi.
 14. Lady N

  Kwa mshauri

  Mume na mke walienda kwa mshauri kuhusiana na matatizo ya ndoa yao. Walipofika, mwanamke akaanza elezea kwa muda wa dakika 15 kuhusu kero azipatazo. Alipomaliza, mshauri akanyanyuka kwenye kiti akaenda akamshika yule mwanamke kwa kuonyesha anamjali, akambusu hapa na pale. Yule mwanamke...
 15. Lady N

  Cheka unenepe

  Soseji... Waskhaji wawili walikuwa na elfu mbili tu na pombe wanaitaka. Mmoja akaichukua na kuingia duka la soseji akaitumia yote wakaanza safari ya bar. M: Ona sasa umetumia buku mbili yote hata soda hatupati N: Tulia kijana nna plan kichwani we pata bia tu. Wakaendelea tu pata bia...
 16. Lady N

  Jamani tuwe tunasoma ujumbe mara tuupatapo!!!!!

  Mchungaji akiwa katika pitapita zake za kuombea katika wodi za hospitali fulani, akakuta kuna Mgonjwa aliekuwa hawezi kuongea japo alikuwa na fahamu na aliwekewa oxgen. WAKATI AKIOMBEWA, yule mgonjwa akachukua kalamu na karatasi, Akaandika haraka haraka na akampa yule Mchungaji ambaye badala...
 17. Lady N

  njia ya mawasiliano

  Wanandoa walikorofisha ikawa hakuna kuongea ndani ya nyumba, kila mmoja akihitajia chochote kutoka kwa mwenzie inabidi amwandikei karatasi aweke mezani, kwa upande wa sex waliacha kabisa. Siku moja mwanaume akapata safari ya nje ya nchi na anatakiwa aondoke saa 12 asubuhi kuwahi airport, as...
 18. Lady N

  New ID

  napenda kuwafahamisha wanajamii kuwa nimebadili ID yangu kutoka NPL kwenda Lady N bcoz ID ya kwanza ilikuwa more complex .
 19. Lady N

  girl and mom

  Girl to Mom: "is it true that babies come out from the same place where boys put their P---s?" Mom: "Yes" Girl:" Wow! my baby will come from my mouth"
 20. Lady N

  hello!!

  i just want to say hello to u
Top Bottom