Search results

 1. YoungCorporate

  Swaggerific lil Kanye version in Theraflu.....This Young Nigga rocks

  http://youtu.be/ar-sduhNbi4
 2. YoungCorporate

  Nini tofauti kati ya Plasma, LED na LCD flat screen TV??

  Nafahamu kuwa tofauti kuu ni mfumo wa ku-display picha, kama brightness, refraction,angle of view n.k....je katika matumizi ya kawaida tofauti ni ipi hasa ambayo watumiaji mliotumia aina tofauti hizi za TV technology mmezi-experience??
 3. YoungCorporate

  UN deputy Secretary General to step down

  UN secretary Ban has announced that UN DSG MIgiro and chef de cabinet Vijay Nambiar have expressed their wish to step down. However Ban said DSG Migiro will continue to be in office until June this year to ensure smooth transition. Source UN radio.
 4. YoungCorporate

  Friday 13th, a labelled bad luck day

  From Yahoo! Whether you take Friday 13th superstitions at face value or think they are nothing more than urban legends, here are 13 unlucky - and sometimes tragic - events that have occurred on Friday the 13th. 1. The ‘Friday the 13th virus’ infected hundreds of IBM computers across the UK...
 5. YoungCorporate

  Raila - Kigeugeu

  http://youtu.be/EgVD6QwsGTU
 6. YoungCorporate

  mashindano ya kula ugali

  jamaa wa kwanza alikula ugali mkubwa sana na gunia la chumvi, huyu akapata nafasi ya 3. Wapili alikula na kikombe cha maji, huyu nusura atangazwe mshindi akawa wa 2. Alieshinda alikula ugali na ugali mdogo kama mboga.
 7. YoungCorporate

  Skinny Curtis/50cents aka Fiddy

  Fiddy looks skinny in his movie 'things fall apart', ya'll need some weight loss tips holla at Curtis.
 8. YoungCorporate

  its 11.11.11.....

  we are left with next year's 12.12.12 after this we aint gonna see this kind of numbers any more! Till 2101....
 9. YoungCorporate

  What is the estimated cost (tax) for transfering ownership of a car??

  Wakuu, I trust all is well. Nauliza estimated cost (including services charges) kwa kufanya transfer of ownership of a car. I bought a car from someone who deals with car importation but the registration card issued bears his name as the legal owner even though we have traded and I physically...
 10. YoungCorporate

  Wapi wananyoosha bodi na kupaka rangi gari vizuri

  wakuu amani iwe juu yenu. kaji-saloon kangu kamepata shurba kidogo katika mizunguko bodi imebonyea kiasi na rangi ya silver kuchunika! Sasa nataka nikapeleke clinic karudie mvuto wake! Wadau naomba location yenye wajuzi waliobobea katika kunyoosha mikunjo na kupaka rangi! Shukran
 11. YoungCorporate

  Determination of year of manufacture for imported used vehicles - TRA new approach

  There is a public notice on TRA on how they are going to determine year of manufacturing of imported used vehicles. TRA has recommended websites for prospective importers as credible way of determining year of manufacture of a car for tax purposes. TRA has decided to move away from their old era...
 12. YoungCorporate

  hivi jk akistaafu, watu watamkumbuka kwa kusema heri aliepita???

  kuna hali fulani ya wananchi kumchoka raisi akiwa bado madarakani mfano mwinyi, mkapa na sasa jk. Lakini baada ya kuchaguliwa raisi anaefuata mambo huwa tofauti na wananchi wengi husema afadhali aliyepita...kwasasa watz wengi wanasema heri ya mkapa angalau hata hotuba tulikuwa tunazielewa...
 13. YoungCorporate

  taxes -importing car from zanzibar

  wakuu nasikia ukinunua gari unguja kujanalo tanganyika ya zamani kuna kodi ambazo hupaswa kulipia, ambazo ni tofauti ya tozo za kodi kati ya unguja na ex-tanganyika. <br /> <br /> Kwakuwa sheria hazifuatwi nchi hii, hata nikifuatilia details za sheria za kodi haisaidii sababu ni tofauti na...
 14. YoungCorporate

  Ipi bora - kati ya gari hizi

  Waswahili husema mchagua nazi huibukia.....Sasa nahitaji kijiusafiri kwa misele ya hapa na pale. Kutokana usawa wa mafuta machaguoa yangu yameangukia huku kwenye Toyota IST, Carina TI my road (cc 1500), Corolla Sedan na Mitsubishi colt. Mwenye uzoefu naomba anipatie insights kidogo kati ya gari...
 15. YoungCorporate

  Opportunity to invest in BOT treasury bond

  If you have surplus income and wonder where to dump your sum, and if you are interested in financial market investments, BOT is about to issue a 5-year 9.18% treasury bond for investment. Kindly see the attached pdf for details
 16. YoungCorporate

  Precision Air na biashara ya ndege kama daladala

  Precision Air wanaudhi kupita maelezo, ati wameoverbook watu yaani tupo airport, flight ya Kia - Nairobi, wanasema imejaa. Sasa jamani kwanini wanafanya hii biashara kama daladala sasa mtu ulitarajia kufika Dar leo inabidi ufike kesho, huu ni ubabaishaji wa hali ya juu. Hw can u allow watu...
 17. YoungCorporate

  when action will be taken on TANESCO?

  50 years after colonial era we are still using the same power generation sources, hydroelectric being the cheapest source of energy we expected tanesco to be very profitable and well maintained. Tanesco instead has been turned a fishing island where every one in his own ability can fish, we...
 18. YoungCorporate

  DV Lottery 2012 results declared void,

  for DV lottery followers, if u check ur status on 1st week of may and find urself won/lost the lottery u've 2nd chance as the state dprtmnt has just declared tht the results are void due to computer program error. The new results will be out on July 15...too sad for us who won in the 1st...
 19. YoungCorporate

  DV Lottery (green card) 2012

  habari za leo wanajamii, mashabiki wa man u poleni kwa kipigo toka imarati... Kwa wadau wanaofuatilia dv lottery 2012 matokeo yameshatoka leo May1, nilitaka kuuliza kuna yeyote humu amepenya jamani?? Au kuna ambaye amewahi kupata dv lottery (nazungimzia ile yenyewe inayotolewa na state...
Top Bottom