Search results

 1. Caroline Danzi

  UN: Vifo 745,000 vimetokona na kufanya kazi sana

  Ukipanga kazi zako vizuri, huwezi fanya kazi zaidi ya masaa 35-40. Tengeneza ratiba inayokuruhusu kupumzika, maisha yapo na yanapangwa.
 2. Caroline Danzi

  Ndoto huwa zinatimia? Tushirikishane na kupeana uzoefu

  Mwakasege na Elisha Goodman wamekutafsria, huna sababu ya kujisumbua. Ntoto ni zile zile....nunua seris za vitabu vya Mwakasege (NDOTO).
 3. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Huu mjadala nauandaa kwenye ZOOM, wale mtakaokuwa interested kujoin naomba tuma DM, to confirm your patcipation. Hili ni janga kama majanga megine, tupige kelele!..
 4. Caroline Danzi

  Ndoto huwa zinatimia? Tushirikishane na kupeana uzoefu

  Jifunze na tafsiri ya ndoto unazoota.kuna nyingine ni za kukuathiri bila kujua. Naamini kabisa Kuna ndoto unaota unaziona salama kumbe sio salama Kama unavyofikiri. Refer ndoto aliyoota Yusuph.....ilimheshimisha baadae Ingawaje ilimsotesha Sana.
 5. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Ni kweli Ila ni gharama kwa wale watoto mlioewaleta duniani.
 6. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Kweli mkuu umenena. Ubinafsi umetutawala Sana Watoto wenaingia kwenye migogoro ya wajinga wawili.
 7. Caroline Danzi

  Men Talk: Kuhusu Single Mom's

  Kama mwanaume ukiamua kuwa na single maza lazima ujue upaende wa pili kunani. Kwa mfano: nilizaa na mtu na hakuwa na interest ya kunioa, anahudumia mtoto wake, na malezi ya baba na mama remotely yapo, sidhani kama wewe unayekuja na nia ya kunioa nitaacha kukwambia huu ukweli. Kibaya zaidi, kama...
 8. Caroline Danzi

  Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

  Seconded! unajua kuzaa nje ya ndoa ni utovu wa nidhamu, unajidhalilisha wewe kama mwanaume kichwa cha familia. Huwa najiuliza kitu fulani, hivi hayo unayotafuta huko nje, unashindwa kumwambia mke afanye? au ndio hela ikizidi inabidi utafute wa kutumia nae. Ni vizuri wanaume muanze kukaa kwenye...
 9. Caroline Danzi

  Late night thoughts: Share you mood

  nasoma kitabu na kusikiliza jazz.....
 10. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Naam, umenena vyema. vyovyote vile, kama wanakaa na mama basi baba arushusiwe kuja kusalimia na kushiriki kama baba na kama baba ndio anaishi na watoto basi mama arushusiwe kuwaona wanae. hiyo kidogo itapunguza ukakasi.
 11. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Natamani kujua, huu upendo unanyaukaje? Imagine, mmetongozana miaka 5, mmeona miaka mitatu mnaachana, inaleta picha gani? Kwamba miaka yote mitano mlikuwa mnavunga usakara??? Au kuna kitu kilikufanya umpende mwanamke/mwanaume, baada ya kuoa au kuolewa hukioni tena? Na kama hukioni kwa nini...
 12. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Maadili ndio chanzo cha maisha ya ndoa kuwa magumu. Tumeshindwa kutofautisha elimu na ndoa, hela na ndoa, urembo na ndoa, uhandasome-ndoa. Wadada/wakaka wengi tukiona wanaume wanatushobokea au wanawake wanatukimbilia basi unajua kila kitu kinawezekana. Ukweli ni kwamba, kama umeolewa au kuoa...
 13. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Ni kweli, kama magomvi yamefikia kufanyika mbele za watoto, matusi, na malumbano yasiyo na tija, ni vizirui kutengana kwa faida ya wanaowategemea. Sasa unawaambiaje wale walioamua kuachana wakiwa na watoto? wafanye nini ili watoto waendelee kuupata huduma pande zote. Kuna ile tabia ya mzazi...
 14. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Salaam great thinkers Talaka zimekuwa gumzo/talk of town. Kwa mtazamo wako, unahisi nini kinapelekea, watu waliopendana, wakaoana kwa hiari/utashi wao bila shuruti, wakaishi na kupata watoto, wanaamua kuachana kila mtu ashike hamsini zake?. Sitaki kuhukumu, naamini kila mtu ana sababu muhimu...
 15. Caroline Danzi

  Malezi ya watoto

  Ukimlea vizuri toka nyumbani, atakuwa na uelewa achangamane na watu gani.
 16. Caroline Danzi

  Malezi ya watoto

  Salute you! hongera kwa kuwa baba mwema. Kuishi kwenye neno la Mungu ndio mpango mzima, ukisoma kitabu cha Mithali, malezi ya watoto wetu yako pale. Mzazi kuyajua na kuyaishi. Tuendelee kupeana dondoo za malezi, tuokoe kizazi kijacho.
 17. Caroline Danzi

  Malezi ya watoto

  Nidhamu na kujiota kwa wazazi katika kulea watoto ni muhimu sana. Mara zote wazazi wengi wamewaacha watoto wakae na walezi wao kuliko wao. Kama kuna kitu watoto hawapendi katika maisha yao ni kuona wazazi hawana nidhamu, kila wanachoongea kinakinzana na kile wanachowafanyiwa watoto. Wazazi...
 18. Caroline Danzi

  Malezi ya watoto

  ikikupendeza, elezea kidogo ni wapi kama wazazi tunakosea na tufanye nini ili tuzalishe kizazi chenye maadili?
Top Bottom