Search results

 1. Nduka

  CCM na somo la Ushirika wa Vyama

  Wanasema hata saa mbovu kuna muda katika siku huwa inakuwa sahihi, nadhani upinzani hasa CHADEMA wanapaswa kujifunza kwa CCM somo la kushirikiana na vyama vingine. CCM pamoja na kushika dola, kuwa na rasilimali na uwezo wa kifedha, kuwa na mtandao ulioenea kila kona ya nchi lakini bado wamekuwa...
 2. Nduka

  Kwanini Watanzania hawazichangamkii Toyota Mark X Vio

  Hii gari nimeipenda sana ilivyo na nafasi ndani, siti zake za nyuma zinaweza kulala kuongeza nafasi ya mizigo. Bei zake ni za kizalendo sana, nadhani kwa class yake ni gari ya bei nafuu kuliko zote. Injini ni 2.4 na inakuhakikishia power na durability. Kwanini wabongo hawajazichangamkia sana...
 3. Nduka

  Kwanini amebadilisha password ya Netflix?

  Haya maisha tu, kuna leo na kesho. Huwezi kujichukulia uamuzi wa kubadilisha password ya Neflix huku ukijua watumiaji wake ni wengi. Kama ungetaka kutumia tu mwenyewe bila usumbufu usingetuunganisha kuanzia mwanzo.
 4. Nduka

  Familia ya Akwilini yatahadharisha juu ya utapeli wa rambirambi

  Kweli kufa kufaana, ikiwa hata machungu ya msiba hayajaondoka kuna taarifa kuwa wajasiriamali wameanza kukusanya rambi rambi kwenye mitandao kwa lengo la kupiga. Msemaji wa familia amesema familia haitambui kabisa michango yote inayochangishwa kwenye mitandao na wote wanaofanya hivyo ni...
 5. Nduka

  Hongera Dr Mashinji: Unaitendea haki kazi yako

  Mafanikio makubwa kwa Dr Mashinji ni kuporomoka kwa kiwango cha kukubalika kwa CDM na kupotea kabisa kwa chama hicho kwenye ramani. Utafiti wa Twaweza uliotolewa leo unaonesha kuporomoka kwa chama hicho kutoka asilimia 32 mwaka 2015 hadi asilimia 15 mwaka huu. Mashinji amefanya haya kwa kipindi...
 6. Nduka

  CHADEMA yashindwa katika Kesi ya kupinga matokeo Mbeya vijijini

  Kwenye kile kinachoendelea kudhihirisha kuhamia kwa bundi ukawa baada ya kushindwa kuandamana jana leo chama hicho na wanasheria wake wameshindwa kesi ya uchaguzi dhidi mbunge wa jimbo hilo kupitia CCM. Hasara hii ya kulipia gharama za kesi ingeweza kuepukwa iwapo wangekuwa na muda na...
 7. Nduka

  Maswali kwa JJ Mnyika

  Natarajia kwenda kumuona bwana Mnyika nyumbani kwao Kimara ikiwa ni kumjulia hali na kubadilishana naye mawazo baada kipindi kirefu kupita (mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2005). Kwakuwa humu kuna wakazi wa jimbo la Kibamba ambao wangependa kusikia kitu kutoka kwa mbunge wao, na pia watanzania...
 8. Nduka

  Saluni 50,000/- kanipoteza mazima

  Binti baa medi analipwa laki na hamsini kwa mwezi, anathubutu kuniomba elfu hamsini, sio kulipia kodi ya nyumba au kumsaidia mdogo wake ada bali akatengeneze nywele. Shenzi nimemuacha kuanzia leo, hajui vipaumbele vyake.
 9. Nduka

  Huu sio uchochezi kweli?

 10. Nduka

  Tabia za mademu kutokana na mitandao wanayotumia

  Haya ni matokeo ya awali ya utafiti kuhusu tabia za mademu; 1) TIGO - Hawa ni mademu wa mjini mjini, usipate taabu kutongoza wewe onesha tu tayari wa kutoa hela. Wengi wao ni wanafunzi na masista duu uchwara hivyo ni rahisi kuwapata mitaani au kwenye usafiri wa umma. Wapo shallow sita kwa...
 11. Nduka

  Fursa kwa walio Lindi

  Tunahitaji vijana wanaoishi katika halmashauri ya Lindi kwa ajili ya kazi ya kukusanya data kwenye utafiti unaofanywa eneo hilo. Sifa ni wanafunzi waliopo kidato cha sita au vyuoni wanaotaka kupata kujipatia kipato kwenye muda wao wa ziada hasa wikiendi. Tunalipa vizuri lakini pia ni fursa ya...
 12. Nduka

  Bupe anauliza tu

  Eti nini?
 13. Nduka

  Kutana na Karen, binti wa Gardner G. Habash

  Hivi yule binti Gardner anayezunguka naye viwanja usiku ana tofauti na huyu binti yake? Au watu wakimfanyia hivyo binti yake atajisikiaje?
 14. Nduka

  First Jamiiforums Billionaire

  Habari ndugu. Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba. Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa biashara utakaonifanya kuwa bilionea wa kwanza wa JF. Hii ni habari njema sana kwangu na kwenu...
 15. Nduka

  Wapi naweza kupata E-cigarettes hapa Dar?

  Tafadhali mwenye taarifa ya ninapoweza kununua e cigarettes hapa Dar naomba msaada. Ikiwezekana na prices zake. Walio ng'ambo na wanategemea kuwepo Dar weekend hii pia mnaweza kunisaidia.
 16. Nduka

  Wajumbe wa UKAWA tele Dodoma

  Nikiwa kwenye umachinga wangu hapa Dododoma nimekutana na sura nyingi za wajumbe wa bunge maalum la KATIBA wengi wao ni wale wa kundi la UKAWA a.k.a tatu chafu. Wengi wa wajumbe hawa ni wabunge wa CHADEMA, NCCR, CUF na viti maalum vyao. Sio kama hawaruhusiwi kutembelea Dodoma lakini kipindi hiki...
 17. Nduka

  Top ten yangu kwa uvivu

  Haya ni mambo 10 ya kivivu zaidi kuwahi kuyafanya tokea nizaliwe 10. Nikiwa na miaka 9 au 10 nimewahi kulala bafuni baada kuona uvivu kwenda chumbani baada ya kumaliza kupiga mswaki 9. Niliwahi kupitiliza na daladala kituoni hadi mwisho baada ya kuona uvivu kuamka kwenye siti. Nilitakiwa...
 18. Nduka

  Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

  Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla! Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa baraza kuu CHADEMA kuhudhuria mkutano wa baraza kuu hapo Julai 18. Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya...
 19. Nduka

  Utata wa barabara

  Wataalamu wa lugha ya kiswahili leo nimeamka na utata kuhusu hili neno barabara, hivi tulikuwa na neno hili kabla ya kuja magari? Na kabla ya magari hizo barabara zilikuwa na kazi gani? Asanteni.
 20. Nduka

  Deni la taifa

  Tunawadai rasilimali zetu walizopoka karne na karne, tunadai utu wetu waliudhalilisha, tunadai heshima yetu walioishusha, tunadai utu wetu na mila, tamaduni na desturi zetu walizozibeza. Wameanza kurudisha.
Top Bottom