Search results

 1. NewDawnTz

  lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

  Dada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani Where are you Miss Judith? au ndo umetokaga kivingine? michango yako kama ningejumlisha na ya Ashadii basi mambo...
 2. NewDawnTz

  Usikubali mwanangu, haina mabega

  Baba na mama wanatoa shule kwa mtoto wao pekee wa kike namna ya kuwakataa watoto wa kiume Wazazi: Si unajua tena wewe ni binti yetu pekee na tunakupenda sana, angalia wanaume watakuharibu, wakikuomba kataaa, tena kataa kabisa wala usikubali Binti: Sawa baba na mama nimewakubali kabisa na...
 3. NewDawnTz

  Strictly kwa wenye familia: Jicho la kupima mafanikio

  Kipekee niwapongeze kwa kuwa na familia. Raha ya familia hunifanya niamini kuwa family is a gift from God na sote tuna responsibility ya kuwajibika kuifanya kuwa sehemu ya pekee kwenye mzunguko wetu wa maisha.......Hongera kwa kuwa na familia Kuna tendency maarufu sana unakuta mtu anakubalika...
 4. NewDawnTz

  Je "kuchimbuka" kuna determine aina ya mtoto?

  Katika pilika za maisha mjini nillikutana na stori ambayo ni mpya masikioni mwangu kutoka kwa watu wazima zaidi yangu na kuniacha na maswali mengi sana. Naomba ufafanuzi wa kitaalamu kutoka kwa madaktari. Ndugu hawa wanasema upatikanaji wa aina ya mtoto (kwa maana ya jinsia) unategemea na mtu...
 5. NewDawnTz

  Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

  Hakuna kitu kinachonipa mashaka sasa ninapotafakari siasa za Tanzania zinapopeleka usalama wa nchi yetu kama swala la hivi vikundi vyao vya "askari" vinavyofanya kazi chini ya vyama vya siasa (Militia groups affiliated under Political parties). Hapa nazungumzia Green Guards ya CCM na Red Brigade...
 6. NewDawnTz

  Kila niki sign in inakataa

  Wandugu computer yangu sijui imekutwa na kapepo gani... Kila nikisign in iwe ni yahoo, hotmail au gmail au hata skype inakataa kabisa. Nikadhani tatizo itakuwa ni iNTERNET explorer nikaweka Firefox lakini bado ngoma ile ile...... What is wrong and what should be done?
 7. NewDawnTz

  Msaada window upgrade

  Wandugu nina ka mini laptop nilikanunua na Window XP na sasa nataka kuweka Window 7 Professional ambayo nina DVD yake niliyonunua nayo na computer nyinge ya ya Dell 780 Sasa nataka fanya upgrade ya window 7 kwenye hiki ki-mini laptop lakini tatizo kama mjuavyo hivi vitoto havina DVD-ROM, sasa...
 8. NewDawnTz

  Hivi niko normal kweli??

  Ndugu JF doctors hebu msaada wenu hapa njia panda.... Watu wengi husema ukinywa kahawa hupati usingizi na ukitaka kupata usingizi unywe sijui ndio piriton au valium... Sasa mimi niko kinyume chake, nikinywa kahawa inanifanya nipate usingizi sana na nikinywa hizo dawa za kuleta usingizi ndio...
 9. NewDawnTz

  Padre, dogo na njia ya peponi

  :cheer2: Padre alipotea katikati ya mji akiwa anatafuta kwena mahali ofisi ya posta ya wilaya ilipo.... Kwa bahati nzuri Padre akamwona kijana mmoja mstaarabu akaamua kumuomba yule kijana maelekezo ya namna ya kufika posta Kijana yule alimwelekeza mpaka padre akaelewa. Padre akamshukuru sana...
 10. NewDawnTz

  Alama gani unamwachia mpenzi/mwenza wako?

  Nadhani watu wengi hawajadhani na kuona umuhimu wa jambo hili... Kila siku inapoanza (hasa za kazi kwa sisi wafanyakazi) tuna masaa mengi ya kututenga na wapenzi wetu kwa zile shughuli na pilika za kutwa nzima....huwa ni kitu gani unafanya asubuhi wakati kila mmoja anapochukua njia yake...
 11. NewDawnTz

  Miaka 50: Ndivyo tulivyothubutu, kuweza na tutakavyosonga mbele

  Ndugu zangu watanzania, napenda mfahamu kuwa nchi yetu tumepiga hatua kwenye maeneo mengi na nitaje machache ambayo kwa miaka hii 50 tumethubutu kuyafanya, tumeweza kuyafanya na tutazidi kuyafanya kwa kasi zaidi.......... Tumethubutu kuwagawa Watanzania kwa dini zao, na kufanya kuwa ndiyo lugha...
 12. NewDawnTz

  Message for today...beware!! They will take advantage of you

  LESSON FOR TODAY Sometimes, we try too hard to get to the greener grass. In the process, we end up in trouble........ And when you find yourself in trouble and you're stuck in a situation that you can't get out of, there is one thing you should always remember....... Not...
 13. NewDawnTz

  Any body looking for best golie....Get Him here

  :peace: Katika pita pita zangu You tube nimekutana na huyu Golie (Jose Rene Higuita Zapata - Colombian).... Watch it, enjoy it Best Goal keeper (for all soccer fans) - YouTube All the best Msimbazi and Sir Matty Babes in this weekend fixtures
 14. NewDawnTz

  Msaada please: Cd/product keys za spss 19

  Tafadhali wandugu mtu yeyote anayeweza kuisaidia product key za SPSS 19 naomba anisaidie. Niko tight kwenye research na nimepata hiyo program tatizo ni product key.... Natanguliza shukrani
 15. NewDawnTz

  Employee's disciplinary codes and permissible penalties

  Wandugu habari. Kwanza niseme mimi ni mwajiri anaechipukia na ninatengeneza sera yangu ya usimamizi wa rasilimali watu. Ninaomba nisaidiwe kufahamu, je baada ya kutungwa kwa sheria mpya ya Kazi ya mwaka 2004 (The Employment and Labour Relations Act, 2004) je inamaanisha (kama nitakuwa...
 16. NewDawnTz

  Kanuni mpya ya PAYE

  Habari za majukumu wandugu! Ningependa kufahamu je kuna mabadiliko yoyote kwenye kanuni mpya ya kutafuta PAYE? Nimejaribu kutembelea website yao wana ile PAYE Calculator lakini formula sijaiona. Please ninahitaji msaada wenu kwenye eneo hili. Thanks
 17. NewDawnTz

  Home Internal Memo: Economic Situations and Ground Rules

  :biggrin1: HOME INTERNAL MEMO :typing:FROM: FATHER TO: ALL DE PENDANTS AND RELATIVES CC: MOTHER DATE: TODAY ECONOMIC SITUATION AND GROUND RULES Due to the current economic situation, all domestic rules and regulations have been revised as below and under no circumstance is any violation going...
 18. NewDawnTz

  Miaka 50 ya tanganyika: Maamuzi tata ya watawala!!!

  Tunaelekea miaka 50 toka uhuru wa Taifa letu pendwa Tanganyika. Kwa faida ya kumbukumbu kwa sisi wa vizazi vya hapa karibuni na vile vijavyo, nakaribisha wakongwe na vijana kuchangia maada tajwa hapo juu.... Ni lipi unalokumbuka kama tukio tata kuwahi kufanywa na viongozi wa nchi yetu ambalo...
 19. NewDawnTz

  New employment rules as of july 1st 2011

  New Employment Rules *SICKDAYS* * We will no longer accept a doctor's certificate as proof of sickness. If you are able to get to the doctor, you are able to come into work. * *MARTENITY LEAVE* * Kort Kort pregnant is banned. You must first apply to your superiors and with their approval...
 20. NewDawnTz

  Sijui ni b unge lipi linalofanya kazi hapa........

  JAPAN RUSSIA MEXICO INDIA TAIWAN TURKEY BONGOLAND....Kazi ni kuombea wengine...Mzee naona yuko deep kwenye meditation hapa, akiendelea ku-meditate juu ya Posho za Makalio wengine wanaita "Seating allowance"
Top Bottom