Search results

 1. Caroline Danzi

  Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

  Salaam great thinkers Talaka zimekuwa gumzo/talk of town. Kwa mtazamo wako, unahisi nini kinapelekea, watu waliopendana, wakaoana kwa hiari/utashi wao bila shuruti, wakaishi na kupata watoto, wanaamua kuachana kila mtu ashike hamsini zake?. Sitaki kuhukumu, naamini kila mtu ana sababu muhimu...
 2. Caroline Danzi

  Malezi ya watoto

  Salaam kwenu wadau. Nionavyo mimi, malezi mabovu ya waototo yanaanzia nyumbani sio shule wala mtaani. Nini maoni yako katika hili? Wasalaam.
 3. Caroline Danzi

  Tathimini ya maoni toka kwa wanaume (vichwa vya familia)

  Salaam kwenu wanaume/vichwa vya familia. Baada ya kukusanya maoni yenu nini hampendi toka wa wenza wenu (wake, girlfriends, michepuko etc.), nimecompile points za mheshimiwa Emiir kama zinavyoonekana hapo chini, nitaongezxa chache tu ambazo yeye hakuzianisha ila zimezungumziwa tena kwa hisia...
 4. Caroline Danzi

  Kwa wanaume tu (vichwa vya familia)

  Heshima kwenu wanaume Najaribu kutafuta busara za kiume, ni tabia gani ambayo ni kero na imekuwa sugu kutoka kwa wake zenu/marafiki wa kike, hata michepuko kama ipo? Tukizingatia kwamba, hakuna mwanadamu mkamilifu, ila kuna tabia ambazo ni kero zonazopelekea kuachana. Kama mwanaume, naomba...
 5. Caroline Danzi

  Bad boss make employee sick

  Study Shows That A Bad Boss Can Make Employees Sick
 6. Caroline Danzi

  Apply for ABE Initiative 2018 Master’s Degree & Internship Program for Africans (Fully Funded to Japan)

  Habari zenu wandugu. African Business Education Initiative for Youth (ABE Initiative) 2018 Master’s Degree & Internship Program for Africans (Fully Funded to Japan)...
 7. Caroline Danzi

  The Boss uko wapi?

  I miss the Boss. Polite ulipo tusabahiane
 8. Caroline Danzi

  Domestic workers

  KAMPENI KWA NJIA YA VYOMBO VYA HABARI, JUU YA KAZI ZENYE STAHA KWA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI, mnakaribishwa wote mnazi mmoja. Wamama wote wenye manyanyaso kwa wafanyakazi wenu wa ndani, mnatunga sheria ambazo hata katika ulimwengu wa roho hazipo, mnapiga mara nyingine hata kuwajeruhi wasaidizi...
 9. Caroline Danzi

  Nini chanzo kikuu cha WANAWAKE/WANAUME WENYE NDOA KUTOKA NJE YA NDOA ZAO???????

  Mchangiaji wa kike/Kiume: Tupe experience yako kwenye mambo ya 6x6, ni mambo gani usipofanyiwa na mume wako yanaweza kukutoa nje. Baadae tutarudi kwenye uzi wa Lara 1. Wasalaam Carol.
 10. Caroline Danzi

  Refund JE SACCOS contribution

  Wapendwa wana JE SACCOS, Naendelea na mchakato wa kulipa fedha za michango ya wana JE SACCOS. Tafadhali kama wewe ni mmoja wao uliyetoa michango kupitia kwangu tafadhali naomba jitokeze niweze kufanya mchakato wa kukutumia hela yako. Nina watu 3 nashindwa kuwatafuta kwa majina yao halisi...
 11. Caroline Danzi

  Daktari wa Ngozi

  Asalaam aleykum, bwana Yesu asifiwe wapendwa wa JF Tafadhali anayefahamu yule daktari wa ngozi aliyekuwa pale Luther House alihamia wapi anijuze jamani. Mwanangu ana tatizo la ngozi. Nitashukuru kwa msaada. CD
 12. Caroline Danzi

  Fyi

  UNITED NATIONS RELIEF AND WORKS AGENCY FOR PALESTINE REFUGEES IN THE NEAR EAST UNRWA UNRWA is a United Nations agency established by the General Assembly in 1949 and is mandated to provide assistance and protection to a population of some 5 million registered Palestine refugees. Its...
 13. Caroline Danzi

  POST at WHO

  THE OFFICE OF THE WHO REPRESENTATIVE IN TANZANIA ANNOUNCES THE FOLLOWING VACANCY. The Mission of WHO is the attainment by all people of the highest possible level of health POSITION: Human Resources Assistant DUTY STATION: Dar es Salaam Under...
 14. Caroline Danzi

  Voluntary Internship

  The British High Commission has a six-month voluntary internship opportunity in its Trade and Investment Department (UKTI) beginning 01 November 2012. The successful candidate will be part of the local UK Trade and Investment (UKTI) team. S/he will be expected to support UK-Tanzania trade...
 15. Caroline Danzi

  Vacancy at (UNICEF)

  Vacancy Bulletin Intranet home | Main Page | About and Help Vacancy Bulletin Apply Online . When applying, staff members are requested to indicate on their application whether they are currently occupying an abolished post and/or have received advance notice of abolition of their post. Post...
 16. Caroline Danzi

  Dalili za TB

  Salaam. Kwa wenye uelewa naomba mnipe dalili za mwanzo za TB Nitashukuru kwa msaada wenu. CD
 17. Caroline Danzi

  Keeping Strife Away

  Keeping Strife AwayGalatians 5:14–15 says, “The entire law is summed up in a single command: Love your neighbor as yourself. If you keep on biting and devouring each other, watch out or you will be destroyed by each other.”Strife can tear relationships apart. It amazes me at how many Scriptures...
 18. Caroline Danzi

  Great Marriage Take a Work.

  3 Powerful Truths to Help Your MarriageYou know the saying, “Marriages are made in Heaven, but they sure take a lot of maintenance on earth!”That’s the truth!Great marriages take work and it’s worth the work!Many times people go from relationship to another seeking the perfect relationship. They...
 19. Caroline Danzi

  Wana JF Morogoro (mji kasoro bahari)

  Wapendwa wana JF Morogoro Salaam, niko mji kasoro bahari mpaka J2 mchana. Napenda kukutana na members wote watakokuwa tayari. Kama hauko Morogoro haikuhusu. Natanguliza shukurani. Wasalaam Caroline.
 20. Caroline Danzi

  Naomba msaada

  Wana JF salaam. Mimi ni mjasiriamali, nimebobea kwenye ushonaji wa nguo aina zote. Nataka kuongeza masoko yangu, mwenye infuluence kwenye Tenda za ushonaji uniforms za shule, Hospitali, Hotel na nyinginezo naomba anipe contact za watu wenye interest nikaongeze masoko. Samples kwa anayetaka...
Top Bottom