Search results

 1. kipindupindu

  Tikiti maji na maziwa ya mtindi

  Ma-Moderator wa Jamii forums wana ubaguzi Wamemuonea kumpiga Ban Daktari wetu na Mshauri wetu Mkuu wa Jukwaa la Afya Jamii forums. Kwa chuki zao tu Ma-Moderator wamempiga Ban Doctor MziziMkavu. Mimi Nilimuuliza Dr.MziziMkavu kwanini wamekupiga Ban ?alinijibu Eti Ma -Moderator wanasema...
 2. kipindupindu

  Kichomi ni nini? Husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?

  TATIZO LA KICHOMI NI MOJA YA DALILI ZA UGONJWA MOYO… VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na mstuko wa moyo. Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya...
 3. kipindupindu

  Nina hofu ya Hepatitis B naomba ushauri

  Mkuu Pole sana Kama jina lako lilivyo na maradhi uliyokuwa nayo jinsi yalivyo. Siku nyingine usipende kujipa jina baya kama ulilo jipa wewe humu Jamvini kwani ukijipa jina lolote baya baada ya miezi 3 tangu ujipe hilo jina huwa linafanya kazi yake. Ushauri wangu kama wewe ni Mkristo kwa...
 4. kipindupindu

  Rais Magufuli, Unataka Kuua Upinzani? fanya hivi.....

  Mkuu hongera sana kwa ushauri wako kwa Mheshimiwa Rais Magufuli. Lakini sidhani kama hao washauri wa Rais Magufuli wataweza kumpa huo ushauri wako mzuri. Kwani hao washauri wa Rais Magufuli wanampa ushauri mbaya Rais Wetuı wanampa ushauri wa kununuwa ndege nyingi wakati kuna mambo mengi ya...
 5. kipindupindu

  Uchaguzi 2020 WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka wa kumsaidia kupata ushindi wa kishindo

  Mumu unge mkono musimuunge mkono Rais Magufuli ndio Mshindi wetu Mkuu. Na Rais Magufuli ndio atapata ushindi Mkubwa dhidi ya Wapinzani.
 6. kipindupindu

  Uchaguzi 2020 Magufuli anaiona Tanzania nzuri miaka 30 ijayo, shida wengi tuna njaa

  Wa-Tanzania mulitaka Demokrasia ya vyama vingi pasipo na kujiandaa kuwa hayo yatakayo tokea Mambo ya Demokrasia ya Vyama vingi. Matokeo yake ndio hayo mnayo yaona kila kiongozi wa chama anatetea maslahi ya chama chake. Hayo ndio matatizo ya Demokrasia ya vyama vingi.
 7. kipindupindu

  Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

  Rasi Magufuli ndio anaye faa kuliongoza Taifa la Tanzania. Kwa Sababu anafanya kazi kwa vitendo sio Viongozi wengine waliopita walikuwa wakisema majukwaani lakini hafanyi kwa vitendo. kura yangu nitampa Rais Magufuli Oyeee.
 8. kipindupindu

  Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

  Honger Mkuu.@ Maxence Melo Penye haki siku zote ndipo penye ushindi. Tuko pamoja kwa hali na mali hongera kwa ushindi uliopata ndio ushindi wetu wote wana Jamiiforums.
 9. kipindupindu

  Unafanyaje kuimarisha kinga ya mwili kipindi hiki cha mlipuko wa COVID-19?

  Hiawezikani hivyo unavyofikiria sivyo kabisa unataka uwadhuru watu mkuu.
 10. kipindupindu

  #COVID19 Njia ya kujikinga na mlipuko wa virusi vya homa ya mapafu au Coronvirus

  HABARI MPYA NA TENA NZURI HATIMAYE WAFARANSA WAMEPATA DAWA YA KUTIBU MARADHI YA MLIPUKO WA HOMA YA MAPAFU AKA CORONA VIRUS.,
 11. kipindupindu

  Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

  Sio ID mbili za mtu mmoja mimi mwenyewe nilikuwa na hayo matatizo ya nguvu za kiume kwa ushauri na matumizi ya dawa alizonipa mzizimkavu nimepona na nilikuwa ninapiga punyeto sasa kam mtu anakuja kumuharibia jina mtu mwengine tunyamze eti ukisema ni ID mbili? kwa sababu unasema ukweli nini...
 12. kipindupindu

  Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

  Acha maneno yako ya fitima wewe mimi mbona nimetumia dawa za MziziMkavu mbona zimenisaidia nguvu zangu za kiume zimerudi na nina nguvu za kuweza kumfikisha mwanamke kileleni . Wewe umekosea masharti ya kutumia dawa ulidhani ukitumia dawa tu pasipo na kula vyakula vyenye kuongeza lishe mwilini...
 13. kipindupindu

  Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

  Kwanini aweke wazi MziziMkavu hivyo vitu vingine? Kwani hapa ni UN Umoja wa Mataifa? mbona unamsakama Daktari wetu namna hivyo wewe mkuu njamayo? Nimevumilia kwa kumsakama Daktari wetu Mzizi Mkavu sasa nimeona na mimi nikwambie ukweli wewe njamayo kama unajuwa Dawa ya kutibu kifafa weka hapa...
 14. kipindupindu

  dawa ya kuongeza maumbile

  Mkuu kuna Dawa za kisasa zinaongeza Uume wako wasiliana na Mkuu MziziMkavu atakupa hizo dawa
 15. kipindupindu

  Huyu ndiye mwanamke mwenye maziwa mengi duniani kifuani kwake raha tupu jamani

  Waambie ukweli Mwanamke kuwa na maziwa 3 ni ktu cha kawaida wanashangaa wabongo
 16. kipindupindu

  Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

  Mkuu MziziMkavu hatangazi Biashara anawasaidia watu hayupo kibiashara hujalazimishwa wewe kununuwa Dawa ukitaka kununuwa Dawa nunuwa tu si lazima ku Comment unaweza kuangalia hi Thread kisha uka ignore mkuu.
 17. kipindupindu

  Yani utamu unakuja na utamu unakata

 18. kipindupindu

  Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

  Na mimi pia nimetumia dawa za Mzizimkavu na zimenisaida kurudisha heshima nyumbani pangu nina nguvu za kiume kama nilivyokuwa nazo mwanzo ninamshukuru Mkuu MziziMkavu kwa dawa zake zimenisaidia sana. Mungu akubariki MziziMkavu.
 19. kipindupindu

  KUJIKINGA NA MAADUWI zako................

  Mbinu nzuri hizo mkuu asante.......................
 20. kipindupindu

  Umasikini ni maradhi yasiyotibika katika nchi masikini duniani?

  Umasikini Duniani ni Gonjwa lisilopona ni jangaa kuu kabisa mkuu.
Top Bottom