Search results

 1. Eng. Y. Bihagaze

  Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

  na Magufuli Kura za kubadili katiba aendelee kwa miaka kumi mingine atapigiwa na wengi ama wanajielewa au hawajielewi UTAJUA,..inshu si wengi..., UTAONA.. . TUONE..
 2. Eng. Y. Bihagaze

  Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

  haya sawa buana.. ah!
 3. Eng. Y. Bihagaze

  Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

  nakumbuka hii thread bado ipo na INAWEZEKANA
 4. Eng. Y. Bihagaze

  Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

  hii sio Chadema ya Kuendekeza, wacha lizame.. tujenge nchi.. chadema izame ife ipotee ikwishe.. watu gani hawasikii, hawaoni, hawatafakari, hawajiulizi..
 5. Eng. Y. Bihagaze

  Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

  corona ni Ugonjwa wa msimu, december hadi April mafua yanakwisha, ni badiliko la majira ya aphelion na pelihelion yanayo badilika baada ya miaka 400, mwanzoni ilikuwa january to May sasa ni december to April, itasumbua miaka zaidi ya saba. HAKUNA CHANJO WALA KIDHIBITI HALI HII. NI MOVEMENT...
 6. Eng. Y. Bihagaze

  Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

  ndio mtakeshaga na akili hizo hizo
 7. Eng. Y. Bihagaze

  Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

  Chadema tuongeeni kidogo Ndugu zangu wanaChadema tumepoteza kabisa welekeo! Mtu mjinga, asiye na akili, akifeli kwenye jambo lake lolote atatafuta kisingizio. Na mara zote hurushia lawama kwa wengine. Chadema tumefeli! Kwenye uchaguzi huu 2020 tumefeli. Kwamba tuliibiwa, kwamba tulikosa...
 8. Eng. Y. Bihagaze

  Askofu Gwajima unaanza vibaya!

  Nadhani Nimenyoosha Taarifa sio Vema Kuendeleza Malumbano. Kwenye wengi Taarifa pia ni Nyingi. Mtoa Hoja alisema Ametonywa na mtu, Watu Hutonywa Mengi, lakini Ukweli ni kwamba Mweshimiwa Diwani alifanya Kikao Chake na Wadau Kwa Sababu ndio Ilikuwa Ratiba Yake na Mweshimiwa Mbunge tulikuwa Naye...
 9. Eng. Y. Bihagaze

  Askofu Gwajima unaanza vibaya!

  MTOA HOJA Si Jambo Zuri, Hata kama Uhuru wa Habari ni Jambo Binafsi, Lakini Kuweka Post ya UONGO sio Uungwana. Lakini Kwa kuwa mtoa maada ametonywa basi ni vizuri kunyoosha Taarifa Hizo Kwa Usahihi. Tarehe hiyo 18/12 Ijumaa, Ni kweli Diwani wa Mbezi Juu CCM Mweshimiwa Anna Lukindo Alikuwa na...
 10. Eng. Y. Bihagaze

  Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

  Kuna aina ya miwani watanzania wenzetu wameiprocure yenye uwezo Wa kuona mabaya kwenye Catastrophic level
 11. Eng. Y. Bihagaze

  Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

  Watanzania Mnataka nini??? Mnamtaka Nani? Nani awaongozeni.. Na mnatakaje..
 12. Eng. Y. Bihagaze

  Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

  Nadhani urais unataka MTU spesho.. Kuwaongoza watu wenye shingo ngumu yataka kujitoa..
 13. Eng. Y. Bihagaze

  Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

  Watanzania baadhi yetu tunachosha..
 14. Eng. Y. Bihagaze

  Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

  Wewe ndo hujui lolote..
 15. Eng. Y. Bihagaze

  Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

  Ifike wakati Watanzania Tukatae vichwa vya Kurogwa. Tuikumbuke nchi hii na tuijenge Kwa Upya. Naomba nisiwachoshe Kwa Takwimu Na mlolongo wa mambo ambayo mnayajua..itoshe kusema tu kwamba Bidii ya Rais wetu kugundua Na kuwachomoa mafunyfunyu ya makontena Na mabilioni ya fedhazetu zilizokuwa...
 16. Eng. Y. Bihagaze

  Uamuzi wa kuinyima Tanzania msaada sio wa busara

  Siku zote mtegemea cha Nduguye hulalia bati lililo toboka.. kwani hatuwezi kujiuliza HAO WANAOTUPA HIYO MISAADA WAO NANI ANAWAPA MISAADA. MISAADA haisaidii MISAADA ni UJINGA.. MISAADA NI ULEMAVU WA AKILI.. OMBAOMBA HAPANA SIKU ATAJINASUA .. Ndio maana wanaweka masharti ya magumu.. Umaskini...
 17. Eng. Y. Bihagaze

  Uamuzi wa kuinyima Tanzania msaada sio wa busara

  How Come!! Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini.. Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao...
 18. Eng. Y. Bihagaze

  Rai yangu kwa mhe Rais Magufuli

  Wengi wetu hatujui Muungano ni nini wala Faida zake kwetu .. Nchi inao wajibu wa kuliondoa Ombwe hili la ielewa kwa Wananchi wake ili tufanye maamuzi tukielewa
 19. Eng. Y. Bihagaze

  Rai yangu kwa mhe Rais Magufuli

  Kuwa Rais na Kiongozi mkuu wa wananchi ni Jukumu kubwa.. Usitarajie hata siku moja kwamba utasifiwa na watu wengi.. jua Malipo halali ya Kiongozi yeyote hulipwa na Mwenyezi Mungu.. Kiongozi mkuu anapoamua kuambatana na Jamii ya watu wanyonge wasio na sauti.. ni kama kujivika mabomu ni...
 20. Eng. Y. Bihagaze

  CCM haiwezi kuvuka miaka 40 ya kutawala kwake. Haiwezekani!

  KUNA WATU MNAFURA SANA hapa nchini. uzalendo, Utu, Ustahimilivu, haki vimewatoka kabisa. mnaamini watanzania wenzenu sio watu ni viumbe vingine. uchaguzi ni takwa la kikatiba, waache wananchi wafanye yao. mie nachoongelea hapa ni fact za hekima. kama una hoja jikite kwenye fact hizi. na nyie...
Top Bottom