Search results

 1. Ng'wanangwa

  Leo nimepata bahati ya kukutana na Bi Hawa Ghasia

  Ni katika mizunguko ya hapa na pale katikati ya Jiji nikakutana na huyu mama. Nikampiga jicho mara tatu. mama bado chuma kabisa. she is a mother. so cool. reading between lines mama amejaa hekima sana na kwaa kweli Baraza la Mawaziri la Jamhuri linamuhitaji. Kama awamu ya tano imemuweka...
 2. Ng'wanangwa

  Uhuru Park Live: Sherehe za Mei Mosi Kenya

  Nitakuwa live hapa nikiwapa updates. sasa ni igizo la boss uchwara anayetoa ajira kwa mtindo wa mkono mtupu haurambwi. kabla ya hapo kulikuwa na fracas kidogo kati ya wanausalama na watu wa bodaboda. hali imetulia. saa 5:00 muda wa rhumba. anaanza bibie faya tess na kibao nadina cha mbilia...
 3. Ng'wanangwa

  Kwaniini wale wanaoitwa ‘Wahamiaji haramu' huwa hawakimbilii China?

  Wakuu. Kuna hawa watu wanaoitwa ‘Wahamiaji haramu’ nimekuwa nikiwaza kwanini mara nyingi wamekuwa wakijaribu kwenda Ulaya Magharibi tu? Kwanini hawajaribu kuenda China, Urisi na Mashariki ya mbali?
 4. Ng'wanangwa

  Wito kwa vijana wenzangu: 2020 tuchague kijana mwenzetu

  bara letu la afrika limekuwa na kasumba ya kuongozwa na marais wazee ambao mara nyingi wamekuwa wakiingia na kubakia madarakani kwa hila. nyuma yao ni kundi kubwa la vijana wasio na ajira na elimu wakiwashangilia na kuwapgia kura. marais hawa wazee wamekuwa wakizisigina Katiba za nchi makusudi...
 5. Ng'wanangwa

  Pesa taslimu za kununua ndege anazipata wapi?

  Heri ya Krismas wakuu. Naomba kufahamishwa. Pesa taslimu za kununua haya madege anazipata wapi? kuna mtu alinitonya kuwa mzeebaba amesanya pesa zote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hadi kuifilisi na alipoona hivyo akaja na spin za kuiunganisha kubaki na mfuko mmoja na baada ya hiyo spin...
 6. Ng'wanangwa

  Daraja la Mfugale halijatatua tatizo

  leo ni too much. zaidi ya saa 1 kati ya Serengeti na lilipo daraja. tunajuwa mshakula 10% ila huu ni mshipa.
 7. Ng'wanangwa

  Bandari yetu iko bize sana au haina ufanisi

  kuna meli mbili zinatarajiwa kutia nanga na kupakua mizigo bandari ya dar es salaam. kota manisi ETA yake ilikuwa tarehe 23 septemba 2018. ni kweli iliwasili katika maji ya dar es salaam tarehe iliyopangwa. kizungu kabisa. lakini cha ajabu imekaa nje ya kidogo ya lango la kushushia siku ya tatu...
 8. Ng'wanangwa

  Tangu tupate uhuru hatukuwahi kukandamizwa na hatupo tayari

  Ukweli Mchungu* Hakuna chochote katika maisha cha kupigania! Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu. Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe tu. Boyfriend au Girlfriend wako au mchumba ni Ex wa mtu! Hivyo ni nini hasa cha kujivunia...
 9. Ng'wanangwa

  USA Africa Business Summit Tanzania tuna muwakilishi?

  Nimeona hii kitu ilifanyika huko Washington DC. na kuna mambo nyetinyeti ya yalijadiliwa mezani kwa mustakabali mwema wa Afrika. Vipi Tanzania tulituma mtu wa maana wa kutuwakilisha au tunanyoosha nchi (chadema) kwanza? Post sent using JamiiForums mobile app
 10. Ng'wanangwa

  101.4 FM BBC World Service Dar es Salaam

  wakubwa wa kazi. hivi karibuni moja ya vituo vya redio ninavyopenda kusikiliza bila kubadili stesheni, 101.4 FM kimekuwa hakirushi matangazo ya BBC World Service na badala yake kinapiga muziki tu. Kuna anayejuwa ni kwa nini maana sasa nimekuwa kama nimetengwa na dunia ya habari?
 11. Ng'wanangwa

  Hawa NBC vipi? salari yangu mpaka lini?

  nafanya kampuni ambapo wafanyakazi wote wanaotumia mabenki mengine wamepata mishahara tangu tarehe 27 lakini kuna wafanyakazi wawili, mimi nikiwemo tunatumia NBC kupitishiwa mishahara lakini hadi leo tarehe 30 hatujapata kitu. kwangu mimi tatizo hili linajitokeza mara ya pili ndani ya miezi mi...
 12. Ng'wanangwa

  Animal Farm na Serikali ya Magufuli

  nimemaliza kusoma kitabu kimoja kinaitwa Animal Farm cha George Orwell. kitabu hiki kinaeleza kisa cha wanyama walioamua kuasi na kumtimua bwana shamba wao. wakafanikiwa. wakabaki kujitawala wao bahati mbaya kiongozi wa mapinduzi Bwana Major akafariki. wakabaki waliobaki ila katika hao...
 13. Ng'wanangwa

  PAYE mpya imeanza kutumika au bado?

  Nakumbuka Dr. Pombe alitangaza kupunguza makali ya kodi kutoka katika mishahara. Je, nauliza PAYE mpya imeanza kutumika au bado? Maana kwangu naona nakatwa kama zamani tu.
 14. Ng'wanangwa

  Hali bado tete bei ya sukari

  Wakubwa wa kazi. Sukari kama dola ya Marekani tu. Ina-flactuate inavotaka. ina-spini inavyopenda ili mradi tu tuisome namba. Baada ya kufika kazini na kugundua muajiri bado hajanunua sukari kwa ajili ya wafanyakazi wake nikaona isiwe tabu ngoja nijikune mwenyewe. Nikatoa 3000 nikaagiza rafiki...
 15. Ng'wanangwa

  Utumbuaji majipu wa Rais Magufuli wakwamisha kusafirishwa kwa mizigo bandarini kwenda ughaibuni

  Kuna kontena kadhaa za mzigo fulani zimekwama haziwezi kupanda meli kwa kuwa hazina kibali cha idara fulani ya serikali ambapo inaarifiwa wahusika wa kutoa vibali hivyo huko katika idara hiyo ya serikali wametumbuliwa majipu na kwa hiyo basi ili kukipata kibali hicho ama waliotumbuliwa...
 16. Ng'wanangwa

  Nimekumiss Jakaya

  Nimeku miss Jakaya. Hakika nimeku miss. Enzi zako naweza kutoa hisia zangu popote na sisongwisongwi na makandokando leo hii nikieleza hisia zangu kesho nanyea debe. Nimekumiss Jakaya. Hata ajira ya mkate wangu wa siku nimeipata enzi zako Jakaya hakika naku miss.
 17. Ng'wanangwa

  Tetesi: kampuni la kuchimba madini lasitisha rasmi kupitisha mizigo yake bandari ya dar es salaam?

  taarifa za uhakika zinasema kampuni la kuchimba madini Glencore linajipanga kuachana na biashara ya kupitisha mizigo yake Tanzania kutokana kile kinachosemwa kuwa ni figisu-figisu za kodi zisizoeleweka. mizigo yake sasa itapita Durban kwa Madiba. hii ina maana Tanzania itapoteza mapato iliyokuwa...
 18. Ng'wanangwa

  Carina wa NSSF, tunaomba NSSF Taarifa App

  huku nikimpongeza Mama Wangwe kwa kuteuliwa kuwa Mkubwa wa Kazi wa shirika la NSSF, ninamshauri pia katika mambo ya msingi anaweza kutufanyia, japo kwa kuanzia ni kutengeneza application la simu la NSSF kama ilivyo kwa PPF ambao wana PPF Taarifa app. sisi kama wanachama wa NSSF tunataka taarifa...
Top Bottom