Search results

 1. P

  Umeya Dar: UKAWA chukueni tahadhari hii

  Kwanza nashukuru sana kwa kufuata ushauri wangu wa kupambana na CCM moto kwa moto kwa kuleta wajumbe wa ziada wa UKAWA kutoka zanzibar badala ya kuendelea kulalamika dhidi ya Uhuni wa CCM. CCM imekubali uchaguzi siyo bila vituko lakini haitakwenda chini bila ya mapambano na mjiandae na mambo...
 2. P

  mfuko wa mcc: maghufulu na ccm waikosesha Tanzania shs Bil 900

  kufuatia kitendo cha shirika la kupunguza umaskini la marekani MCC kukataa kutoa dola za kimarekani milion 450 basi mwezi huu JPM na CCM yake watakuwa wametutia hasara ya shs bil 900. kikwazo kikubwa cha kutopatikana kwa fedha ni mgogoro mkubwa wa kisiasa huko zanzibar ambao umesababishwa na...
 3. P

  Umeya dar es salaam: Dawa ni kupambana moto kwa moto

  Ushauri wa bure kwa viongozi wa chadema mkoa wa Dar es salaam: kama ccm wanacheza rafu za kuongeza wabunge wa zenji ambayo ni tatizo kwa kuwa ccm imeanza...
 4. P

  Mbunge na Madiwani wa CHADEMA wamtoa baruti Mkuu wa Wilaya

  PAULINE GEKUL MB-CDM Madiwani wa halmashauri ya mji wa Babati wakiongozwa na mbunge wao pauline Gekul wamtolea nje mkuu wa wilaya aliyetaka kuwautubia mara baada ya kufunguliwa baraza hilo ambalo linaongozwa na madiwani wa chadema. mkuu huyo wa wilaya Crispin Meela alitolewa baruti baada ya...
 5. P

  Msiba wa Mawazo: Rais Magufuli hata pole ya maneno imemshinda?

  Baada ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita kuuwawa na wanaosemekena vijana wa ccm wa Green guard ungetegemea ktk hali ya ubinadamu(weka siasa pembeni) na mshikamano wa ki nchi kiongozi wa nchi angenyoosha mkono wake kuwapa pole chadema na familia ya mhusika kwa kifo cha kiongozi wao...
 6. P

  Pendekezo: Mjane wa Mtoi agombee kuziba pengo la mumewe

  Kwanza napenda kutoa pole nyingi sana kwa familia ya marehemu mohamed mtoi wakiwemo ndugu zake wa karibu na kuwashukuru kwa kutoa mtoto wao kuitumikia chadema kwa moyo uliotukuka. Pili ningependa kumuomba mjane wa mtoi ambaye najua atakuwa alifanya kazi na mumewe bega kwa bega ili ashinde basi...
 7. P

  CCM na wanachana wao huwa wanajiandikishia wapi??

  wakati karibu nchi nzima watu wakilalamikia zoezi la uandikishaji huku vyama vya upinzani vikienda huku na kule kuwaimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kuna swali kubwa ambalo linaleta kigugumizi kikubwa kuhusu ukimya wa ccm, serikali na viongozi wake ktk zoezi hili zima la...
 8. P

  Wagombea urais tunaomba kujua mmefanya nini kwanza kabla ya kutupa nyimbo mpya

  Tumekuwa tukishuudia wagombea urais mbali mbali wakijitokeza kuomba nafasi na hili nawapa hongera baadhi ya wausika wamekuwa serikalini miaka mingi sana kwahiyo tungependa kujua kabla ya kutueleza mambo mapya utakayoyafanya endapo utachaguliwa tuambie kwanza ulichokifanya kwa nafasi yako hiyo...
 9. P

  CHADEMA nini msimamo wenu dhidi ya yanayotokea Afrika Kusini

  Najua hili ni suala la kimataifa lakini kuna kila sababu ya kutoka msimamo dhidi ya serikali yetu kupitia wizara yake ya mambo ya nchi za nje kwa kushindwa kutoa tamko la kulaani matendo yale mabaya binadamu wenzetu ya kuchomwa motto wakiwa hai ni unyama wa kiasi gani? Membe akiwa kama waziri...
 10. P

  BAKWATA hawajatoa tamko kuhusu ugaidi wa Garrisa Kenya

  Nimeshangazwa sana na ukimya wa Bakwata kama chombo kinachosimamia uislamu Tanzania kukaa kimya licha ya kutambua fika kitendo kilichofanywa na magaidi hao huko kenya kinaichafua dini kwa namna au nyingine. Mara nyingi nikiongea na baadhi ya waislamu ninaowafahamu unielimisha kwamba ni kinyume...
 11. P

  UKAWA: Maandamano ya kulaani unyama uliofanywa na Polisi

  tungependa kujua ni lini UKAWA itaandaa maandamano ya amani ya kulaani vitendo vya kinyama walichofanyiwa cuf hivi karibuni tumeona hasira za wabunge which are rightly so lakini nasi wananchi na wapenda amani tungependa kuonyesha misimamo yetu kuwa hatukubaliani na unyama huuu please please...
 12. P

  ni makosa makubwa kufananisha ushindi wa ukawa na ccm

  kwanza ningependa kuwapongeza mashujaa wa wawili wa ccm huko Bukoba kagera walioteuliwa kuwa washindi na kuukataa uteuzi huo kwa kujiuzulu kwa kuwa hawana ridhaaa ya wananchi hongereni sana kwa kuheshimu demokrasia kwa vitendo. pia jana tumesikia nafikiri ni Arusha wakitoa maamuzi ya rufaa...
 13. P

  Kikwete needs to address the nation on Escrow

  The president needs to address the nation on what happened on escrow account based on both reports CAG & PCCB, He should tell the nation what is he going to do about the people mentioned for defrauding our country instead of offering re heated version of last year speech on fighting corruption...
 14. P

  Nafikiri kuna haja ya kumuamsha Kikwete usingizini afanye maamuzi mazito

  Sifa ya kuwa rais bora ni kuwa pro active na siyo reactive Rais jk ni mtu mzito sana kufanya maamuzi magumu kwa wakati na siku zote maamuzi yake yanategemea namna gani watu wengine wanafanya na ni mtu reactive badala ya kuwa pro active. Naamini ili uweze kuwa rais mzuri ni lazima uwe na uwezo...
 15. P

  Ukweli kuhusu safari ya jaji mkuu washington DC, maafisa wake na Francis Nyalali

  Tumefanya uchunguzi hapa DSM na huko Washington DC kufuatilia hicho kinachoitwa semina ya majaji iliyofanyika USA ambayo ilijaza na maafisa wakuu wa mahakama. uchunguzi wetu ulianzia ubalozi wa marekani hapa dsm eneo la Drive inn kupata ukweli juu ya semina ya majaji hao lakini ktk kitengo chao...
 16. P

  safari ya jaji mkuu na utawala wa mahakama "kumjulia" hali jk

  Nimefurahi kwa maana wiki hii watanzania mumejionea jinsi mahakama zetu zinavyotumiwana serikali ya ccm. Leo tumeona jinsi KATIBU MKUU WA IKULU ANAPOJIGEUZA KUWA KARANI WA MAHAKAKAMA. Ziara ya jaji mkuu na utawala wote wa mahakama ulipomtembelea jk huko Washington "kumjulia hali". Mpango huu...
 17. P

  Is Tanzania near bankruptcy? Fitch ratings said so

  I was reading Fitch rating magazine, it looks like Tanzania's economy is not doing well as it has been claimed by our leaders , Tanzania rating has been downgraded from orange means under observation to just above default status. what does all mean in simple English ? The ability of...
 18. P

  Katiba ya tanzania: Kitu gani kimoja kilichoifanya isifae kabisa

  Tofauti kubwa kati ya rasimu ya warioba na ya kina chenge na komba ni moja nayo ni wazungu wanaiita check and balance hiki ndio kitu pekee kilichoifanya rasimu ya warioba kuwa super airtight isiyo na mianya. check and balance ni kitu cha msingi sana ili kuakikisha mamlaka haziingiliani wala moja...
 19. P

  Uchaguzi Kalenga: baada ya kuona GEODFREY MGIMWA HAKUBALIKI CCM YAANZA KUTENGENEZA MATUKIO

  Nafikiri picha zinasema kuliko maneno mtoto wa mgimwa ni kwamba hakubaliki na sababu kuu ni kuwa wana kalenga wanachukia political dynasty kwamba alikuwa anatawala baba sasa hayuko basi mtoto achukue nafasi yake na ili lilianza tu mara tu baada ya kura za maoni wenyewe kwa wenyewe ndani ya ccm...
 20. P

  Uchambuzi wa chaguzi za Kalenga 2005 na 2010 na kwanini CCM iwe makini

  ukiangalia takwimu za uchaguzi mwaka 2005 na mwaka 2010 utaona kuwa ccm walikuwa wakipata upinzani hafifu na kama unaweza kuuita upinzani kabisa kwani mgombea wa ccm mwaka 2005 alikuwa Stephen Galinoma alipata kura 32000. kihurahisi kabisa na mwaka 2010 william mgimwa alipata 31000 kwahiyo...
Top Bottom