Search results

 1. Shaycas

  CAS LIFE PURPOSE ACADEMY

  Hongera kwa kazi nzuri kuelimisha jamii kupitia makala za kuelimisha na kusisimua. Umekuwa unatumia platforms kadhaa kufikia wasomaji wengi kadiri uwezavyo, ni jambo jema. Vipi, umewahi kufikiria kutumia platform hii inayopatikana hapa www.calipa.co.tz? Hii platform/system ambayo ni "App na Web...
 2. Shaycas

  Maarifa na Elimu Muhimu katika Maisha

  Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika Elimu, Kijamii na Kiuchumi? Jisomee kitabu hiki: "MTOTO NA MAFANIKIO" hapa CALIPA - CAS Life Purpose...
 3. Shaycas

  Elimu Popote kwa Yeyote

  Wadua habari. Kuna platforms ya kutoa/kupata elimu juu ya mambo mbalimbali. Unaweza kutoa au kupata elimu hiyo free au kwa kulipia. Kama wewe ndio unatoa elimu kwa kulipia, wadau watakaosoma watalipia na fedha hizo za malipo (75%) zinakuja kwako. Ubora wa content ndio wingi wa clients...
 4. Shaycas

  News Alert: Tangaza Biashara Yako Unufaike.

  Kampuni ya JC&MD CONVERGENCE MEDIA LTD, wachapishaji wa Jarida la Matangazo na Habari GLOBAL LINK ADVERTS wanayofuraha kukufahamisha mambo ya fuatayo÷ 1. Toleo la kwanza la Global Link Adverts linatoka mwishoni mwa mwezi wa Saba Mwaka huu 2016. 2. Jarida linajihusisha na habari na matangazo...
 5. Shaycas

  Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Naombeni Msaada

  Katika hali ya kunishangaza mimi mwenyewe, nilikuwa naunga mkono siasa za CHADEMA pamoja na vioungozi wao walioonekana mahiri sana. Hata Zito alipong'atuka nilisifu uongozi kwa kumuondoa kwa ufafanuzi wao. Wakati hayo yanaendelea kwa Chadema, sikutaka kusikia chochote kutoka CCM bali kwa watu...
 6. Shaycas

  Kitabu cha 'Kesi ya Uhaini' kinahitajika

  Waungwana Mabibi na Mabwana, naomba sana kwa yeyote anayeweza anisaidie kupata kitabu kiitwacho Kesi ya Uhaini kilichoandikwa na Mnenge Suluja mwaka 1985. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada huo. Asante sana.
 7. Shaycas

  Suzuki swift manual inauzwa.

  Imesajiliwa kwa namba T....CVW. Manual transmission. 79000Km. Silver. Inayo muonekanao mzuri sana na ipo Arusha. karibu tuongee biashara.
 8. Shaycas

  Toyota Voxy inauzwa Bei Poa Kabisa

  Imesajiliwa kwa namba T....CVH. Imetengenezwa mwaka 2001 na imetembea 150,000 Km. Ipo katika gali nzuri sana. Karibu tuongee biashara.
 9. Shaycas

  Nissan X - trail for Sale

  Nissan X trail namba T....DBW, ipo Arusha. Kila kitu kipo katika ubora wake. Karibu sana. Bei ni maelewano.
 10. Shaycas

  Mitsubishi Outlander 2005 vs Nissan X-trail 2003

  Habari za muda huu wadau. Nimeona gari hilo la mitsubishi, nikavutiwa nalo sana kwa uwezo wake wa kubeba abiria jumla ya saba ukilinganisha na x-trail yenye uwezo wa abiria 5. Kabla ya kufanya maamuzi, naomba mwenye kujua detail zake kwa undani zaidi anijuze. Kama nitashawishika kwa maana ya...
 11. Shaycas

  Automatic soft drink vending mashine

  Coming soon in Tanzania. We are about to finalize mechanisms which will detect our coins especially of two hundred.
 12. Shaycas

  Voxy na X-trail zinauzwa

  Gari aina ya Toyota Voxy usajili T....CVH na Nissan X-trail usajili T.... CGP zinauzwa bei nafuu sana. Tuwasiliane kwa simu 0752559510: Gari zote zipo Arusha.
 13. Shaycas

  Natafuta betri original ya laptop hp(compaq).

  Ndg wadau wa jukwaa hili, naomba mwenye kuniwezesha kupata betry hiyo anisaidie. Laptop ni hp (Q)Model pesario CQ 61.. SHUKRANI SANA.
 14. Shaycas

  Jinsi ya kuanzisha na kuendesha huduma za UWAKALA wa Ajira ( Employment and Recruitment agencies )

  Habari zenu wadau wa jukwaa hili. Naomba mwenye ujuzi/uzoefu wa kuendesha au anayejua namna kampuni hizi zinafanya kazi anisaidie japo kwa kifupi. Natamani kuanzisha kampuni kama hiyo ili kuweza kusaidiana hasa vijana. Ahsante sana kwa mchango wako. Nawasilisha
 15. Shaycas

  Employment, outsourcing and recruitment agencies.

  Habari wa ndugu. Naomba mnisaidie kuhusu hizi Kampuni kama zipo na msaada wake kwa jamii/ wanaotafuta Ajira au waajiri. Je zinaendeshwaje na kuhakikisha watu hawatapeliwi? Mwenye ushuhuda wa kupata ajira kupitia Kampuni hizi, anisaidie kujua alifanyaje. Ahsante sana.
 16. Shaycas

  Employment, outsourcing and recruitment agencies.

  Habari wa ndugu. Naomba mnisaidie kuhusu hizi Kampuni kama zipo na msaada wake kwa jamii/ wanaotafuta Ajira au waajiri. Je zinaendeshwaje na kuhakikisha watu hawatapeliwi? Mwenye ushuhuda wa kupata ajira kupitia Kampuni hizi, anisaidie kujua alifanyaje. Ahsante sana.
 17. Shaycas

  Kampuni za UWAKALA wa Ajira (Employment and Recruitment agencies)

  Habari wa ndugu. Naomba mnisaidie kuhusu hizi Kampuni kama zipo na msaada wake kwa jamii/ wanaotafuta Ajira au waajiri. Je zinaendeshwaje na kuhakikisha watu hawatapeliwi? Mwenye ushuhuda wa kupata ajira kupitia Kampuni hizi, anisaidie kujua alifanyaje. Ahsante sana.
 18. Shaycas

  How to use asus google nexus tablet 7 as a phone.

  I tried to use VoIP in my device and managed to make a call,it rung and received but I could not hear from the other part even the receiver did not hear from me. Please,I need your help. Thanks for your assistance.
 19. Shaycas

  Does this TV support mult system such as PAL and NTSC?

  Make: Samsung. Model: hdtv un40eh5300f. Thanks for your considerations on this issue.
 20. Shaycas

  Tz tunatumia mfumo gani wa matangazo ya tv?

  Habari zenu waungwana. Napenda kujua Tz tunatumia mfumo gani wa matangazo ya tv kama PAL, NTSC etc. Tafadhali naombeni msaada kwani kuna Smart Tv moja nataka kuchukua lakini wameniambia kuwa inatumia mfumo wa NTSC tu , hivyo niangalie kama system hiyo inafanyika huku kwetu kabla ya kuchukua...
Top Bottom