Search results

 1. Shine

  Madai ya ufisadi yakumba soka ya Ghana

  Shirikisho la soka nchini Ghana limewataka maafisa wa polisi kuingilia kati baada ya madai ya vyombo vya habari vya Uingereza kwamba mmoja wa maafisa wake alikubali timu ya nchi hiyo kucheza katika mechi zilizo fanyiwa ufisadi. Mamlaka ya Soka nchini Ghana imekana madai ya jaribio lolote la...
 2. Shine

  Nguruwe mbaroni Uganda kwa 'ugaidi'

  NGURUWE MBARONI UGANDA KWA "UGAIDI" Polisi nchini Uganda wanawafanyia uchunguzi nguruwe wawili kuhusiana na "ugaidi" baada ya wanyama hao kuingia katika eneo la bunge. Taarifa zinasema nguruwe hao watoto walikuwa wamepakwa rangi za chama tawala na kubebeshwa mabango yanayowatuhumu...
 3. Shine

  Je kubeba mbwa kama hivi ni life style au ni ushamba?

  Mkazi wa Kata ya Chamwino aliyejitambulisha kwa jina moja la Juma, akiwa amebeba mbwa kama mtoto katikati ya mji wa Morogoro jana. Je! Unaweza kumbeba mbwa kama mtoto?
 4. Shine

  Hii dawa inapana kwa wanaohitaji

 5. Shine

  Eti unaenda kanisani kuomba mungu wakati wewe mwenyewe unatenda miujiza...

  Mshahara wako 260,000/= hand bag yako 140,000/= una drive gx 110 hills zako 140,000 n above una tumia note 3 den unaenda kanisani kuomba mungu wakati wewe mwenyewe unatenda miujiza...
 6. Shine

  Wafanya biashara k.koo wagomea mashine za EFD

  wafanya biashara wote k.koo asubuhi ya leo wamegoma kufungua maduka yao kwa madai ya bei juu ya mashine za EFD source mimi mwenyewe nipo eneo la tukio
 7. Shine

  If SATAN was to live in AFRICA, in which

  If SATAN was to live in AFRICA, in which COUNTRY will he be_________?
 8. Shine

  Yamebaki masaa tu kuifikia kesho ambapo tutakuwa tunakumbuka kutawanywa kwa mwili wa mwanahabari wa

  Yamebaki masaa tu kuifikia kesho ambapo tutakuwa tunakumbuka kutawanywa kwa mwili wa mwanahabari wa iringa(channel ten)Daudi Mwangosi na jeshi letu la polisi. Tutakukumbuka kwa mengi Mwangosi, Tanzania itakukumbuka sana, Iringa inakulilia kila siku, Wanafunzi vyuo vikuu iringa...
 9. Shine

  A man returns home a day early from a business trip.

  A man returns home a day early from a business trip. It's after midnight. While en-route home he asks the cabby if he would be a witness. The man suspects his wife is having an affair, and he wants to catch her in the act. For $100, the cab driver agrees. Quietly arriving...
 10. Shine

  Mtoto wa shule: Anamuuliza babake, et Baba kupata na kukosa kipi bora ?

  Mtoto wa shule: Anamuuliza babake, et Baba kupata na kukosa kipi bora ? Baba: Bora kupata mwanangu. Mtoto: Dah!! Afadhali, nimepata mimba. Baba hoi...!!
 11. Shine

  I like your thinking (joke)

  A teacher asks her class, "If there are five birds sitting on a fence and you shoot one of them, how many will be left?" She calls on little Johnny. "None, they all fly away with the first gunshot." The teacher replies, "The correct answer is four, but I like your thinking." Then Little...
 12. Shine

  Ungekuwa waziri wa Elimu kwenye nchi yako, ni jambo gani katika Historia ya Afrika Ungelifuta??

  Ungekuwa waziri wa Elimu kwenye nchi yako, ni jambo gani katika Historia ya Afrika Ungelifuta?? ‪ 1. Kuwa Ziwa Viktoria liligunduliwa na mzungu na hali wazungu waliwakuta waAfrika wakiishi. 2. Binadamu wa Afrika alitokana na Evolution ya Chimpanzee, mbona chimpanzee waliopo...
 13. Shine

  MTOTO: Baba kuna tofauti gani kati ya kilichopo katikati ya mapaja ya mama na ya kwako?

  MTOTO: Baba kuna tofauti gani kati ya kilichopo katikati ya mapaja ya mama na ya kwako? BABA: Kwa mama yako kuna geti la kuingilia PARADISO na kwangu kuna ufunguo wa kufungulia hilo geti... Mtoto: Ulimpa mtu yeyote funguo? Baba: Hapana! Kwanini? Mtoto: Badili kufuli, yule jirani yetu...
 14. Shine

  Babu na dokta

  KIBABU:Dokta nina tatizo sijui ni uzee au nini lakini kila mara najambajamba hovyo, ila uzuri wake ushuzi haunuki wala hautoi sauti DOKTA: Eti ehhh KIBABU: Hata hapa nimeshafutua mara tatu humu ofisini kwako DOKTA: haya chukua hivi vidonge umeze halafu urudi wiki ijayo KIBABU: Ntakuwa...
 15. Shine

  Hivi Tanzania hakuna watu wa haki za wanyama?

  Hii siyo haki kwa huyu mnyama na wahusika sijawahi kusikia wamechukua hatua
 16. Shine

  Pata pesa mkeo ajue tabia yako, firisika ujue tabia ya mke wako

  Pata pesa mkeo ajue tabia yako, filisika ujue tabia ya mke wako." Je huu usemi una ukweli? Tujadili kwa mifano hai
 17. Shine

  Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

  TUME ya Abbottabad imesema kuwa Osama bin Laden aliishi kama mtu wa kawaida bila wasiwasi wowote kwa karibu miaka 10 na aliwahi hata kusimamishwa na polisi katika eneo la Swat huko Pakistan kwa kupeleka gari kwa kasi mno, lakini hakukamatwa. Ripoti hiyo iliyofichuliwa na Televisheni ya al...
 18. Shine

  Je ni kweli nyoka anishi milele?

  wana jamvi ningependa mnijuze eti ni kweli nyoka anaishi milele endapo hatokabiliana na adui yeyote atakaemuuwa? maana nimelisikia hili kutoka sehemu isiyo rasmi ila ningependa kwa anaejua anijulishe....
 19. Shine

  Wana jf tambua ya kuwa:

  LAKINI TAMBUA YA KUWA: ** Dagaa mboga, Kuku mbwembwe tuu. ** Silaha pesa, Bastola mzigo tuu. ** Heshima pesa, Shikamoo kelele tuu. ** Upara bila elimu/Pesa, Sawa na kovuu tuu. ** Chezea mshahara, Usichezee kazi. ** Iga kazi, Usiige matumizi. ** Ukitaka kujua shortcut mjini, kula nauli...
Top Bottom