Search results

 1. ropam

  How to read pdf files in blackerry

  Hello Jamii! Naomba msaada kwa yeyote ajuaye free software itakayoniwezesha kusoma mafile ya pdf kwenye blackberry
 2. ropam

  Cisco certification

  Habari, Nimekuwa CCNA-certified tangu september mwaka huu, kuna mtu aliniambia niki-indicate sanduku la posta kwenye particulars zangu...cheti kitatumwa kwenye sanduku la posta, nilifanya hivyo nkitegemea cheti kitatumwa kwenye sanduku la posta lakini mpaka leo hakijatumwa! Kwa wale ambao...
 3. ropam

  Nafasi za kazi: Wanahitajika urgenly

  An international company from Shengzen is looking for motivated candidates for sales and marketing positions...satisfactory salary will be offered to the successiful candidates! send your cv to hr@wabantu.com
 4. ropam

  Systems Network Administrator-John Snow Incorparation

  Kama kuna mwenye tangazo lililo kamili la hiyo kazi wadau, nimeiona zoom lakini jinsi ya kuapply hawajaweka(ipo tu ile ya kuapply kizoom zoom)! Msada kwa aliyeliona tangazo please!
 5. ropam

  system administrator interview....ilikuwa leo

  1. outline at least 5 reason for the password to be strong 2. list steps of securing a new web server 3. Why linux server OS is preffered over windows naomba tusaidiane kuyajibu hayo maswali wanatehama!
 6. ropam

  I am in deep pain...naomba msaada

  Nimekuwa na maumivu ndani ya sikio kwa siku ya pili sasa...hamna kipele wala uvimbe, ni maumivu tu ambayo nayaskia haswa niki-apply pressure kidogo, nisipoligusa sisikii maumivu yeyote! what could be the problem doctors...its like i cant sleep on this side of the ear!
 7. ropam

  Wabunge na Elimu ya shahada (Degree)

  Salaam JF, Ni hili swala la wabunge wa Jamhuri kuwa na elimu ya at least shahada ya kwanza (undergraduate degree)...juzi MH. John Mnyika alipokuwa anahutubia bunge kwenya mjadala wa bajeti kuu ya serikali alisema "tumefika hapa tulipo(kwenye umaskini wa kutupwa na hali ngumu ya maisha ambayo...
 8. ropam

  Qn: Can Viruses infect data burned into CD?

  Salaam wadau Kama swali linavyojiuliza...eti information ambazo ume-burn kwenye CD zinaweza kuwa-attacked na computer viruses, naomba elimu kwenye hili!
 9. ropam

  Kazi: RTI international

  Salaam wadau!Kuna kazi imetangazwa na hawa jamaa wa RTI international kupitia daily news ya 31st May, 2012 according to zoomtanzania.com, bt kwenye tangazo lilowekwa zoom hawajaweka email adress......kama kuna mtu alipata access ya hilo gazeti gazeti, atusaidie details zake hiyo kazi!
 10. ropam

  Transcripts are not allowed!!

  Habari wadau, Hivi employer anaposema hataki transcript....ina maana anataka cheti gani cha chuo? au ndo ile leaving certificate? for once nilihisi lile tangazo la kazi la serikali limekosewa...hasa pale kwenye masharti ya kuomba kazi kipengele cha 8! kwa transcript,provisional result etc...
 11. ropam

  Wireless works well with ubuntu but not in windows

  Salaam wanajukwaa....juzi juzi hapa wireless adapter yangu imeanza kugoma ku-connect internet, its like ina-detect signals but cant connect to the internet, but niki-switch to ubuntu nakuwa connected internet kwa wireless networks zilezile ninazotumia kwenye windows..what could be the problem?
 12. ropam

  Proxy ni nini na unaitumiaje?

  Kama swali lilivyo wadau
 13. ropam

  Sony vaio 64-bit

  Nawasalimu wana-tech wa Jamii Forums, Nimepoke computer ya sony vaio model:VPCCB26EC ina processing power ya 64-bit, imekuja pre-installed na windows 7 ultimate 64 bit....but then imekuja na tatizo kubwa zaidi kwamba INATUMIA LUGHA YA KICHINA, nimeingia kwenye control panel (regions and...
 14. ropam

  Help with adobe illustrator

  Been searching for free none trial adobe illustrator online for about quarter a day now...but no signs of success, seems i kant get it without giving some dimes! please help
 15. ropam

  Software ya camera!!!

  Natanguliza salamu Wana-JF Naomba yeyote mwenye software ya webcam ambayo sio trial especially cyberlink youcam anisaidie.
 16. ropam

  What are the legal terms and conditions for changing the name?

  Natanguliza shukrani zangu wana-jukwaa...mimi ni kijana ambaye nimemaliza chuo kikuu mwaka huu. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimesoma elimu yangu yote mpaka hapa nilipofika kwa jina la upande wa mama (babu yangu upande wa mama), sasa mimi nataka kubadili hili jina nianze kutumia jina...
 17. ropam

  nini maana ya MMU ki-jamii Forums

  Kuna vifupi wadau wanavitumia humu ndani kama..MMU, JP/JM mi wananiacha kila wanapotumia hivyo sababu saa nyingne ujumbe wote upo ndani ya hivyo vifupi! nielewesheni wana-jamii forums
 18. ropam

  zile kazi za TRA za august wameshaita watu?

  kuna kazi kibao zilitangazwa katikati ya august, vipi wameshaita watu kwa ajili ya interview?
Top Bottom