Search results

 1. Majoja

  Toyota Prado T*** BML kitenda ulichofanya si cha kiungwana!

  Leo asubuhi nimeshuhudia kitenda kisicho cha kiungwana kabisa kilchofanywa na dereva wa gari aina ya Toyota Prado (old model mayai) Rangi dark blue au nyeusi , yenye maadishi PRADO ubavuni. Gari hili lilikuwa linatanua kwa kuovateki foleni ndefu sana sehemu za Kawe karibu na roundabout. Polisi...
 2. Majoja

  Siasa, ahadi hewa, rushwa zimeua miundombinu?

  Katika magazeti karibu yote leo 2/11/2011 yana habari nzito za serikali kudaiwa na makandarasi kiasi cha Tshs 425billion kwa miradi ambayo kimsingi ni "hewa". "Hewa" hii imetokana vipi? Hii hewa ni ahadi lukuki zizotolewa kabla tu ya uchguzi wa mwaka 2010.Miradi hiyo ilibuniwa na aliyekuwa bosi...
 3. Majoja

  Kero:Magari makubwa barabara ndogo

  Nimeikuta hii mitaa ya Mikocheni, Mtaa wa Sam Nujaoma(karibu na kiwanda cha Coca cola). Gari kubwa lilosheheni zigo la kutosha, badala ya kuongoza zake Morogoro rodi aende zake Zambia au Malawi , dereva kaamua kukata mitaa. Matokeo gari limeshindwa kukata kona na kuzimika, hatimaye kuziba...
 4. Majoja

  Picha ya JK mitaani:Wazee wa protokali mpoo?

  Miaka ya nyuma ilikuwa picha za viongozi kwne fremu ukutani ukiingia ofisi za wafanya biashara aina fulani. Lae nimeona kali, ya JK kuwekwa ukutani,tena ukuta wa nje. Hicho ni kitaa cha Mbozi rodi,Chang'ombe Wazee waJF protokali mwasemaje juu ya hili.
 5. Majoja

  Wawekezaji Feki ? : Silverdale & Mbono farms

  Session 2010-12 Financial Crimes and Development Written Evidence Submitted by Sarah Hermitage "You should never publicly accept that corruption is there and you are going to accept it. You do not; you fight against it and you try to ensure that you have the sort of programmes that prevent...
 6. Majoja

  Hii picha imeniponza!

  Kama kawaida yangu huwa siachi kamera yangu kwa ajili ya matukio mabali mbali jijini Dar. Nilipita Ocean Rd na nikaona watu wamepumzika na kupunga upepo.Mimi nikatoa kamera yangu na kuchukua hali ile mwanana. Mara aktokea Afwande Arufonsi na kuniuliza "haroo rete kibari chako" "S..sina...
 7. Majoja

  Ajali nyingine twajitakia!

  Kutokana na wimbi la ajali zinazoendelea nchini hivi sasa , nyingi zinatokana na uzembe mkubwa wa binadamu. Uzembe kwa pande zote wasimamizi wa usalama barabarani na hata wenye vyombo vya moto. Mchana huu nimeshuhudia kijiko kikisafirishwa BILA kufungwa kwa chain block kwenye low loader(T262...
 8. Majoja

  MwanaHalisi: Nini Kinaendelea

  Gazeti hili liliokuwa linasifika sana kwa kutoa "sure" za mambo yanayoendelea kisiasa nchini limeshakuwa a town rag. Wakuu msijisumbue kununua uozo wa gazeti hili ambalo tayari habari zake zimekwisha lipiwa kwa muda mrefu ujao. Mwanahalisi na Dira kwa sasa ngoma droo. Nasikitika kutoa shilingi...
 9. Majoja

  Hebu wapenu ushauri nasaha hawa jamaa zangu!

  Jamani hawa jamaa zangu hebu wapeni ushauri wa bure. Mimi niliogopa hata kusogea karibu kwa kuhofia kinachoweza kutokea!
 10. Majoja

  Pesa bila akili ni hatari!

  Dereva wa kampuni maarufu alikuwa anakwenda mwendo mbaya kwenye mteremko,huko nyanda za juu kusini. Akapata ajali mbaya kama tunavyoona. Kwa vile kampuni yao ina pesa wakasema- no problem lete crane tuinyanyue gari. Kwa vile hata matumizi ya kitaalam ilikuwa shida na hiyo crane ikapinduka kwa...
 11. Majoja

  Mhe Mnyika, hapa unaniangusha - Mfumuko wa bei

  Mnyika azidi kucharukia mfumuko wa bei Na Tamali Vullu (Tanzania Daima 24th Oct 2011) "Kutokana na kukithiri kwa mfumuko wa bei za bidhaaa mabali mbali mchini. Mbunge wa Ubungo John Mnyika,anakusudia kuwasilisha muswada binafsi Bungeni ili Serikali itunge sgeria ya kudhibiti bei za bidhaa...
 12. Majoja

  Hawa waDanish wamechonga barabara kweli kweli!!

  Nimepita juzi nikielekea nyanda za juu kusini. Kando kando mwa mto Ruaha, opposite na Udzungwa Reserve nimeona hii barabara na nimeifurahia. Hawa kweli si wachina!!
 13. Majoja

  Harusi Season: Ulevi noma!!

  Jamani mwezi wa 11 ni mwezi wa harusi nyingi sana. Hakikisha dereva hanywi pombe wakati huo-hebu cheki wenzetu huko Kenya , dereva aliweka udirinki wa kutosha-wani fo ze rodi. Misosi yote ikamwagika. Ulevi nomaa
 14. Majoja

  Lowassa hajawahi kwenda kuhiji Butiama: kwa nini?

  Jamani nimebaki najiuliza. Kwa mtu anayependa sana urais wa nji yetu hii ni muhimu kwenda kuhiji Butiama na ingalau kunena neno na Mama Maria. Kada maarufu wa chama tawala Mzee Lowassa sijawahi kusikia kaenda huko Butiama ingalau kuonyesha gego na kumjulia hali Mama yetu Maria. Hivi karibuni...
 15. Majoja

  RACIST MURDER:Adopted girl tortured and left to die in the US.

  For those who would like to go to "the first world" at any cost , be warned. A beutiful Ethiopian girl has been murdered byher adoptive parents in the US. Jamani umasikini unatuua kwa njia za kifedhuli kabisa, Mungu atuhurumie! Police: Adopted child was starved, left outside to dieWashington...
 16. Majoja

  The Lord remembers Africa!

  Rare photo with a rough image of Africa captured yesterday evining at Msata.
 17. Majoja

  "Serikali" inapokwenda usingizini!

  Tunajua sote serikali ni pamoja na Polisi. Leo asubuhi makutano ya barabara ya AH Mwinyi na barabara ya Rose Garden nimeikuta "Serikali" imekwenda usingizi , tena mzito hata wapita njia walikuwa wakishangaa. IGP Mwema inabidi aongeze mafunzo huko Moshi ili Crown isi dhalilishwe. Inaelekea...
 18. Majoja

  The human cost of corruptuion

  Defective vehicles, fake license Please JF members post pictures that YOU THINK is a result of corruption! <SCRIPT type=text/javascript>//<=!=[=C=D=A=T=A=[_G.BST=new Date//]=]=></SCRIPT><SCRIPT type=text/javascript>//<=!=[=C=D=A=T=A=[Bing.Function=function(){var...
 19. Majoja

  What did you expect?

  Rafiki yangu katoka Switzerland jana na nimemsimulia yaliyojiri hapa kwetu. Baada ya masikitiko akanieleza kuwa huko Switzerland walishangaa vitu vifuatavyo: crew katika luninga walionekana wamevaa bagrashia na ndala badala ya kuvaa kama wanabaharia meli ni kama chuma chakavu na haileti...
 20. Majoja

  Moto Mbeya: Yule Polisi kwa nini?

  Tumeona janga lingine la moto kwenye soko la Sido Mwanjelwa Mbeya mjini. Kwenye luninga ITV jana jioni na leo asubuhi sote tumeona kilichotokea. Kilichonisikitisha sana ni kitendo cha askari aliyevaa kiraia akimrukia kwa teke la ninja mtuhumiwa ambaye tayari alikuwa amwekwa chini ya ulinzi...
Top Bottom