Search results

 1. Kaduguda

  Tume ya Uchaguzi: CHADEMA yasimamisha Dismas Luhwago mgombea Udiwani kata ya Luduga

  Picha ya kwanza ni mgombea kwa tiketi ya CHADEMA, Bw. Dismas Luhwago akirejesha fomu za uteuzi kugombea kiti cha Udiwani Kata ya Luduga Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe na ya pili ni mgombea kwa tiketi ya CCM, Bw. Andrea Maseleka akirejesha fomu za uteuzi
 2. Kaduguda

  Kesi ya Ugaidi ya Mbowe itaondoka na watu Polisi!

  Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani. Mama anaupiga mwingi!
 3. Kaduguda

  Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

  Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha mchango wa kifedha ambao Marekani imekuwa ikiutoa kwa Shirika la Afya Duniani WHO kufuatia namna walivyolichukulia suala la COVID-19. Pia WHO wanalaumiwa kwa kuchelewa kutoa taarifa za mlipuko wa ugonjwa huo kwa mataifa mengine kwa wakati. Amewaambia...
 4. Kaduguda

  President Trump issues a travel ban on passengers from Europian union but excludes the UK

  Akihutubia taifa kutokea ikulu ya Marekani leo, Rais wa Marekani Donald Trump ametoa lawama kwa Umoja wa Ulaya kwa kutochukua hatua za haraka katika kudhibiti kusambaa kwa virusi vya Corona. Kufuatia hilo, ametoa zuio la wasafiri wote kutokea umoja wa ulaya kuingia nchini Marekani kuanzia saa...
 5. Kaduguda

  President Mugabe is dead

  Former president of Zimbabwe HE Robert Mugabe died at 95 years while receiving treatment in hospital in Zimbabwe. Our condolences to the people of Zimbabwe, Mzee Jongo amekwenda, kazi kwa waliosalia sasa!
 6. Kaduguda

  Don't blame Libya, blacks will always be slaves

  This is what one of the African blogger Biola Ladejobi relates Dee Lee’s statement targeting African American made in January 2002 to address why one should not blame Libya for the negative maltreatment against African immigrants. Dee Lee is a CFP Harvard Financial Educator THEY ARE STILL...
 7. Kaduguda

  Je, Tundu Lissu anaweza fungua mashtaka juu ya watesi wake?

  Maana kwa hali ilivyo sioni kama kuna nia ya dhati ya vyombo vya usalama kuwafikisha watesi wa Mh. Tundu Lisu kwenye mkono wa sheria. Sasa, najaribu kuwaza kisheria kama inawezekana tu. Ikatokea Mh. Tundu Lisu baada ya kupona na kutokana na vyanzo vyake mwenyewe akawa na ushahidi usio tia shaka...
 8. Kaduguda

  Nĭ hăo - Mchina kusoma kama mzawa UDSM

  Katika kuangalia majina ya wadaiwa sugu wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu nimekutana na hili jina hapa chini. Huyu mdau kasoma na kumaliza UDSM kati ya 2005/2006, sasa hebu tujadiliane kama kweli kuna mwanafunzi MTZ mwenye asili ya jina hili kweli? Na kama ndio, je ni kweli alistahili kupata...
 9. Kaduguda

  Haya kwa wapenzi wa bamia also known as Okro/okra

  Okro, also known as the “ladies finger” is a flowering plant in the mallow family. It is very nutritious as it is highly rich in carbohydrate, vitamins, water, and protein. But studies have shown that it may be dangerous to men as it can cause infertilty. Okro has aunique substance called...
 10. Kaduguda

  Oscar Pistorius jailed 6yrs

  Yule mkimbiaji kilema Oscar Pistorius oka Africa Kusini aliyemuua aliyekuwa mchumba wake Reeva Steenkamp Mahakama imemtia hatiani na kumuhukumu kifungo cha miaka 6 jela kwa kosa hilo. Oscar alifanya kosa hilo mwaka 2013 huko Afrika Kusini. Sheria ni msumeno!
 11. Kaduguda

  Bima ya magari

  Naomba kwa mwenye uzoefu atupe ushauri sie wateja wapya wa Bima za magari. Nimeagiza gari Toyota Noah - 2007, gharama zake mpaka kuitoa ni TZS 12M. Je Bima kwa maana ya comprehensive au Third party inaweza kuwa kiasi gani? Na je, kuna formula yeyote inatumika au ndio kila kampuni inategemea...
 12. Kaduguda

  Nilidhani ni Tanzania tu

  Haya mambo nilidhani yanatokea Bongo tu kumbe na wenzetu pia, basi safari ni ndefu kuelekea kujikomboa kifikra!!!
 13. Kaduguda

  MAGUFULI: All ministers & public officials must use PROBOX or VITZ

  Dar-es-salaam TANZANIA. Ya kweli haya au nao ni uzushi mwingine tu!?? President Magufuli has banned all senior public officials from using fuel guzzling 4 x 4 cars and other luxury cars, ordering that all those cars in be seized and sold in a public auction and the money used to provide...
 14. Kaduguda

  Sehemu ya Speeh ya Mh. Robert Mugabe - 26th AU summit

  Pamoja na mabaya yake kwa Wazimbabwe, huyu Rais bado ana heshima kubwa miongoni mwa marais waliosalia Afrika. Hii ni sehemu mojawapo ya speech ambayo kwa kweli wakati akiisoma hakukwepesha macho kwa wazungu wala kwa Ban Ki-Moon alipokuwa akizungumza kwenye Mkutano wa marais na viongozi wa...
 15. Kaduguda

  Rais Mh. Dk. Magufuli ampongeza Samatta!

 16. Kaduguda

  Kwanini Magufuli anajinadi yeye kwamba ataleta mabadiliko badala ya chama chake - CCM?

  Kama swali linavyojieleza hapo juu, kila ninapomsikiliza mgombea wa CCM mara zote amekuwa akijinasibu kwamba atakwenda kuboresha hali na maisha ya watanzania, si kwa kupitia sera za CCM bali yeye kama yeye, hii imekaaje au inawezaje kutafsiriwa kwenye mizania ya kisiasa na kiutendaji?
 17. Kaduguda

  Nimekumbuka kwetu

  Mihogo ya kuchemsha Mawese Migebuka Magimbi Ngorogojo Home sweet home!!
 18. Kaduguda

  Natamani kila mpenda amani angeisikiliza hii

  Kijana ukiambiwa jiunge na magaidi kwa kisingizio cha dini, changanya na za kwako!!!
 19. Kaduguda

  Prof. Muhongo kajiuzulu Uwaziri, vipi Ubunge wa kuteuliwa?

  Wadau ninajiuliza hapa sipati majibu, Prof. Muhongo aliteuliwa mahsusi kwa ajili ya kupewa huo uwaziri, na nakumbuka hata kuanza kazi alianza hata kabla ya kuapishwa kitu ambacho baadhi ya wanasheria walikuwa wanapingana nacho. Sasa ndio hivyo, kajiuzulu huo uwaziri, suala la ubunge linakuwaje...
 20. Kaduguda

  Impact of global warming on our way of dressing/clothing

  Weka picha yako ....
Top Bottom