Search results

 1. Kadhi Mkuu 1

  Mchungaji Lusekelo: Biblia inasema Askofu awe Mume wa Mke mmoja lakini Siku hizi kuna maaskofu wanawake, mambo yanabadilika sana!

  Hapa tatizo na maandiko. Askofu anatakiwa awe na mke mmoja kwa mujibu wa bibie, sasa siku hizi Kuna maaskofu wanawake ambao kwenye biblia hawapewa muongozo wa kuwa na mke mmoja. Je, ni halali kuwa na mtu mwanamke eti ni askofu? Ataoaje mke mmoja kwa mujibu wa bibie hali yeye ni mwanamke?
 2. Kadhi Mkuu 1

  Nifanyeje?

  Niko serious, njoo pm. Tafadhali njoo pm.
 3. Kadhi Mkuu 1

  Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

  Nami natibu ukimwi njooni mnikamate! Majitu yanaambiwa ukimwi hauna dawa wanywe ARV yanaona wanasayansi waongo yanaenda kwenye ugoro Acha waliwe wajinga hao na huyo Dr apongezwe maana atafumbua wengine wasiache ARV.
 4. Kadhi Mkuu 1

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Acha kuombaomba hiyo tabia mbaya. Kama unaona una akili kwa kuombaomba endelea.
 5. Kadhi Mkuu 1

  Freeman Mbowe awasili Jijini Philadelphia Pennsylvania, Marekani

  Sawa, mlipaji wa chawa wote wa chadema. Sasa wewe ndo billionaire wa kweli.
 6. Kadhi Mkuu 1

  Freeman Mbowe awasili Jijini Philadelphia Pennsylvania, Marekani

  Ndiyo, Mbowe kaenda msibani?
 7. Kadhi Mkuu 1

  Nabii Mkuu Dkt. Geordavie kuwashika mkono wafanyabiashara zaidi ya 5000 soko la Samunge, Arusha

  Washauri wa namna gani nabii Mkuu atumie pesa zake mmeanza , mshauri basi na namna ya kupata pesa. Acha wamiminike wewe unadhurika na nini hadi uwe mshauri wa huyo nabii? Unajua anazipataje?
 8. Kadhi Mkuu 1

  Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

  Yaani mbakaji aachwe akaoe mke kweli?
 9. Kadhi Mkuu 1

  Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

  Kitimoto ipo, Kwa Dani Dole, kule bububu kwenye bar zinazofuga Malaya, kule kanisa katoliki, na maarufu sana Mama Janet kule Chukwaani. Ila Kuna super markets kadhaa zinauza kitimoto. Kiufupi ipooooo.
 10. Kadhi Mkuu 1

  Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

  Wanawake toka Tanganyika woote hawakatai sijui kwa nini.
 11. Kadhi Mkuu 1

  Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

  Huu ni ukweli kabisa.
 12. Kadhi Mkuu 1

  Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

  Hii ni kweli, wasichana single mothers hasa wakichaga wamejaa pale Amani CCM (ndiyo wengi) na jamii nyingine za bara wanafanya kwenye bar na migahawa mle ndo wanasema hotel ngono ndo biashara Yao. Mimi sisimuliwi naona.
 13. Kadhi Mkuu 1

  Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

  Si unaambiwa alipopata kazi ndo akaanza kubadilika? Kwao kaenda wote wakaacha kujishughulisha maana samia kaja na kutongoza mtu mzima uingie mazima kwa vijana hawawezi maana na wao wanataka kuwa na familia. Sasa hana market huko ni ngumu kudanga.
 14. Kadhi Mkuu 1

  Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

  Asimpe talaka, yeye mke ndo akaidai ili jamaa ndo asiwe amemfukuza Bali kajifukuza mwenyewe. Hapo sheria itakaa vizuri. Mdai atasema hampendi Tena mumewe ndo maana kaondoka.
 15. Kadhi Mkuu 1

  Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

  Hakuna yatima mtu mzima, yatima huwa watoto. Baba au mama yako, bibi nk hatuwi yatima.
 16. Kadhi Mkuu 1

  Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

  Mamdenyi wewe mkubwa ujue. Yaani uondoke kwa mumeo halafu ukadai matumizi baada ya miezi 3 ya umepauka?
 17. Kadhi Mkuu 1

  Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

  Kapauka sababu yule jamaa yake kakimbia majukumu. Achana nae lea watoto. Tafuta house girl mlipe vizuri.
 18. Kadhi Mkuu 1

  Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

  Ebu kuwa mwanaume, hakuna mwanamke anaweza kuondoka kwa mume wake kama hajapata mchepuko. Sasa baada ya mchepuko kuona anatakiwa kumtunza kachomoa sasa anataka umpe hela. Utakuwa mpumbavu sana ukimsikiliza huyo Delilah. Pokea simu mwambie wazi kwamba humpi hayo matunzo na asirudi hapo.
Top Bottom