Search results

 1. Jumanne Mwita

  Maisha ni safari fupi (Life is a short trip)

  Tunaanza kwa kuzaliwa tunamaliza kwa kufa. Katikati ya Kuzaliwa na Kufa kuna kitu inaitwa Maisha. Jitahidi kufurahi muda wako unapokuwa katikati ya kuzaliwa na kufa. [emoji120]
 2. Jumanne Mwita

  Maisha yangu ni chaguo langu, maisha yangu yamekuwa ni hadithi ya kusimulia. Kila baada ya mwaka mpya. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

  Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita, Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado. Miaka hii...
 3. Jumanne Mwita

  Uwezo wa kufanikiwa kimaisha Mungu aliuweka ndani ya kila mmoja wetu na upo katika kuanzia chini.

  Usitake kuiga uwezo wa wengine, jenga uwezo wako kidogo kidogo. Nimeona watu wengi mno badala ya kujenga uwezo wake kidogo kidogo Sikia.... Mzee Mengi enzi za uhai wake alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Jingine liliitwa THIS DAY. Ushindani wa...
 4. Jumanne Mwita

  Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

  UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
 5. Jumanne Mwita

  Malipo hewa vyama vya siasa CHADEMA, CUF, NRA, ADC na AAFP siyo kwamba wamekula Pesa

  Maana ya "Malipo hewa" inamaanisha malipo hayo hayakufanyika ila Pesa imepigwa hewani. Sasa kuna watu hawafikirii kwamba malipo hewa manaake nini ila wanaruka ruka tu, ni aibu kama vijana wa nguvu kazi ya kesho ndio hawa! Tunayo safari ndefu sana kufika. Taifa hili wapumbafu, Wajinga na...
 6. Jumanne Mwita

  Endapo unatatizo ambalo unaona linakuhusu na unaona ugumu kujiweka kama wewe ndio mhusika nakushauri fanya hivi

  "Sometimes njia rahisi ya kupata solution ya tatizo linakukabili ,wewe li- address public na ujifanye sio tatizo lako ni tatizo la mtu wako wa karibu, utapata majibu positive sana tofauti na uki address kama tatizo lako".
 7. Jumanne Mwita

  Kuendelea kuungua masoko makubwa ya wafanyabiashara

  Awamu ya kuchoma masoko Kama njia ya kuwaondoa Wafanyabiashara wadogowadogo kwa nguvu ili kukwepa gharama ya kuwalipa fidia kwa mujibu wa sheria kwa mgongo wa kuleta maendeleo na kuboresha miundombinu ya masoko hayo. Tunaharibu maisha ya watu wetu...so bad
 8. Jumanne Mwita

  Idadi ya Wamasai inaongezeka. Je, idadi ya nyumbu na wanyama wengine haiongezeki? Kwanini Wamasai wasiongezeke, wao sio binadamu?

  Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
 9. Jumanne Mwita

  Bunge limejadili muswada wa sheria ambao utampa/ruhusa ya askari polisi kufanya tendo lolote bila ya kushtakiwa endapo itapita

  Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
 10. Jumanne Mwita

  Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 08/2022

  Shahidi wa Jamhuri kesi ya mbowe anasema yeye na wenzake, hawakuwahi kumuona wala kunasa hata sauti ya Mbowe akipanga kufanya vitendo vya kigaidi.
 11. Jumanne Mwita

  RITA mlituletea huduma mtandao mkiwa na lengo la kupunguza foleni katika maofisi yenu, huduma hii ya online ni mbovu mno

  Inshu siyo kuzaliwa mwaka gani kwani uombaji wa cheti cha kuzaliwa una-umri? Naweza kuwa naomba changu au cha mwanagu vyote vinawezekana hakuna mahala wanakataza na sheria haikatazi. Shida ni wao kutupa huduma mbovu
 12. Jumanne Mwita

  RITA mlituletea huduma mtandao mkiwa na lengo la kupunguza foleni katika maofisi yenu, huduma hii ya online ni mbovu mno

  Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi? Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi. Mwaka huu ulivyo anza...
 13. Jumanne Mwita

  Ngorongoro bado hali ni ile ile kuwaondoa Masai hii issues ni serious kumbe

  Hapa tuondoe tabaka zetu pamoja na itikadi tuziweke pembeni. Sasa tuzungumze vitu serous kabisa vyenye mantic, kwa wewe unavyoona Masai wanaonewa hapa au ni mpango wa serikali kuanzisha vuguvugu ili ionekane hawako sahihi waondoke? Masai kuishi kwenye hifadhi ya Ngorongoro serikali inakosa...
 14. Jumanne Mwita

  Ukipewa kazi ujue kuitetea; Kinachomkuta Maulid Kitenge ni dhihaka na jina alilo nalo haviendani na anachokifanya

  Hapa tuondoe tabaka zetu pamoja na itikadi tuziweke pembeni. Sasa tuzungumze vitu serous kabisa vyenye mantic, kwa wewe unavyoona Masai wanaonewa hapa au ni mpango wa serikali kuanzisha vuguvugu ili ionekane hawako sahihi waondoke? Masai kuishi kwenye hifadhi ya Ngorongoro serikali inakosa...
 15. Jumanne Mwita

  Nawashukuru sana wana Jamiiforums, mipango ilianzia hapa na hoja na mawazo niliyapatia hapa hakika tunaishi kwa upendo sana!

  Ahsante sana mkuu Mungu ni mwema wakati wote 💪🤝 “Whatever the mind of man can conceive and believe, it can achieve.”
Top Bottom