Search results

 1. Mkushi Mbishi

  Plot4Sale wanaohitaji Beach plots mkoa wa Tanga

  Habari wakuu, Mkoa wa Tanga, wilaya ya mkinga karibu kabisa na barabara kuu ya kwenda Mombasa Kenya kupitia horohoro boder kuna beach plots zinauzwa kwa bei rahisi tu. Viwanja hivi vinafaa kwa makazi, biashara ama huduma yoyote. Barabara inafika mpaka hapo. Kwa anayehitaji anaweza kunipm...
 2. Mkushi Mbishi

  Mwalimu Mkuu shule ya msingi Mavovo Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga ana tabia mbovu, hafai kuwa mtumishi

  .
 3. Mkushi Mbishi

  MSaada: Windows 10 haitaki ku update

  jana ilidownload mpaka 100 asilimia kufika hapo ikaganda tu leo ndio imekaa tu 0 asilimia wala haisogei naomba msaada maana hata bluestacks emulator imegoma kufunguka nahisi tatizo ni hili na nilitumiwa vitu muhimu sana whatsapp navihitaji sana lakin bluestacks haifunguki tena,yaan hata sielew...
 4. Mkushi Mbishi

  Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

  Habari zenu Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi na nyinyi Wengi tunaamini kwamba ngono ndio chanzo kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,hata...
 5. Mkushi Mbishi

  How to detect if there are negative energies in your house using only a glass of water

  Every human being has its own energy which is reflected in the area where it resides, so the energy which is present in our home is a combination of the energies of all family members. All our emotions, thoughts, and feelings emit a certain type of energy, but as well as attract other energies...
 6. Mkushi Mbishi

  Naombeni msaada wataalam na wajuzi wa hili tatizo

  Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii pc? ama ni athari gani itatokea. msaada wakuu
 7. Mkushi Mbishi

  Bluestacks Emulator ukiipakua App inasubiri sana haikubali

  Niko na bluestacks emulator kwenye pc yangu mwanzo ilikuwa ina download playstore apps vzr tu, lakini sasa kila app ninayodownload inawaiting sana wala haidownload na hakuna app nyingine yoyote ambayo inatakiwa kusubiriwa. niko na apps mbili tu google drive na whatsapp tu na zinapiga kazi...
 8. Mkushi Mbishi

  Natafuta mtaalam wa kurudisha email iliyosahaulika password

  habar ndugu zangu natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili. kibaya zaidi...
 9. Mkushi Mbishi

  Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

  Wakuu habari zenu, Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
 10. Mkushi Mbishi

  Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

  Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee. Kuna Hali naipitia maishan mwangu, mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo. Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu. Mara...
 11. Mkushi Mbishi

  What's app keeps stopping

  Habari wadau Hii simu itakuwa na tatizo gani maana ukidownload app ya WhatsApp baada ya siku mbili lazima WhatsApp igome,nimejaribu kuclear kechi,data,restart,na hata kurestore factory settings,lakini bado ukidownload mwendo ni uleule. Sasa hii app imekuwa haina raha tena mwenye kufahamu...
 12. Mkushi Mbishi

  Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

  Habar zenu madoktor humu ndani. Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote. Nilioa miaka 5 iliyopita, baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa HIVna aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji. Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima...
 13. Mkushi Mbishi

  Shule ya msingi kila mwezi tulipe pesa wapewe waalimu wasiokuwa na ajira ni sahihi?

  Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni) Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
 14. Mkushi Mbishi

  Madini au jiwe gani?

  Wakuu habari ya asubuhi, Hili jiwe ni aina gani, lina rangi ya kijani, ni duara kama goroli ukilipiga mwanga ndani kama lina majimaji na linatoa mwanga wa kijani. Je ni madini,ama ni goroli ya aina gani? Wataalam mnaojua mambo haya mnifafanulie.
 15. Mkushi Mbishi

  Laini yangu ya Tigo baada ya kuisajili kwa biometric imekuwa na maajabu!

  Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Mkushi Mbishi

  Je unatamani kumcontrol boss wako,mpenzi ama mtu yeyote usikose mafuta haya!

  Yanaitwa CONTROLING TRIPLE STRENGTH OIL Kazi ya mafuta haya ni kukufanya wewe uwe na uwezo mkubwa wa kumcontrol na kumfanya mtu afanye chochote kile unachotaka wewe afanye. hata kama katika hali ya kawaida asingeweza kufanya,awe ni boss wako kazini kama unataka kupanda cheo,,uongezwa mshahara...
 17. Mkushi Mbishi

  Jifunze kumrudisha mpenzi kwa kutumia pete ya fedha

  Kazi hii hufanywa wakati wa mwezi mpevu tu. chukua pete ya silva ifunge vizuri kwenye kitambaa safi cheupe na baada ya hapo chimba shimo dogo kisha uifukie pete hiyo. wakati unafukia unatakiwa kutuliza akili bila kufikiria mambo mengine ujitahidi kuwa unavuta taswira ya mapenzi unayoyataka...
 18. Mkushi Mbishi

  Siwezi kutumia tablet natafuta wa kubadilishana nae na simu ya kawaida

  Wakuu Nimepewa zawadi ya Vodafone smart tab 3g nd6o ninayoandikia huu Uzi Natafuta simu ya kawaida yeyote ila iwe haina tatizo maana tablet yangu haina ttzo lolote Tubadilishane Ama kama unataka kununua weka dau lako ila kubadilishana ndyo lengo 0657 739713 Whatsapp/call or sms
Top Bottom