Search results

 1. E

  Godbless Lema ndiye mwenyekiti ajaye wa CHADEMA

  Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takriban miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake yaani Freeman Mbowe na Mzee Edwin Mtei. Kutokana na kelele nyingi saana toka ndani ya chama kutaka...
 2. E

  Mvuto wa Rais wetu ni faida kwa Taifa

  Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini . Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha...
 3. E

  Viwanda vya korosho bado kitendawili pamoja na uwepo wa mali ghafi.

  Nimekuwa mshabiki mkubwa sana wa slogan anayotumia mheshimiwa Rais wetu kwa ajili ya kunasua nchi yetu na wimbi la umaskini ,slogan husika ni nchi ya viwanda.Hakika hakuna nchi iliyopiga hatua mbele kimaendeleo bila ya kuwa na viwanda,si lazima viwanda vikubwa bali hata processing industries...
 4. E

  Maskini Serengeti Boys

  Kama mnavojua timu ya Taifa ya vijana wa chini ya umri wa miaka 17 inashiriki michuano ya kutafuta bingwa wa afrika .Tanzania ni mwenyejeji wa mashindano husika.Hata hivyo pamoja na kuwa mwenyeji ,timu yetu ni kama imeshatolewa kwani imeshafungwa mechi mbili kati ya tatu inazotakiwa...
 5. E

  RC Makonda tuokoe na kelele za usiku kucha kutoka baa ya Kwa Temba, Kimara Stop Over

  Mheshimiwa mkuu wa Mkoa ,tunaomba uusaidie kuondoa kero ya baa inayopiga mziki usiku kucha iliyopo maeneo ya kimara stop Over.Baa husika ipo barabara ya zamani ya maarufu kama Morogoro Road. Sisi wafanyakazi ambao makazi yetu yapo karibia na baa husika kimsingi hata ufanisi ofisini umeshuka...
 6. E

  Jimbo la Vunjo lina maendeleo kuliko jimbo la Temeke

  Nimekua nikitembelea jimbo la Vunjp mkoani kilimjaro mara kwa mara na nilichogundua ni kwamba: 1.Jimbo lina shule za sekondari tatu hadi nne kwa kata moja. 2.Hospitali nzuri na zenye mazingira mazuri mfano kilema hospital,Marangu hospital,faraja hospital,. 3.Barabara zinapitika muda wote wa...
 7. E

  Umeme mkoani Kilimanjaro bei yapanda kinyemelea

  Nimeshangazwa na hatua ya Shirika la Ugavi nchini Tansco kupandisha bei ya umeme haswa maeneo ya vijijini mkoania Kilimanjaro.Mfano leo hii ukinunua umeme wa elfu kumi unapata unit 28 pekee .Mheshimiwa raisi tunakuomba uangilie kati hizi gharama za umeme haswa kwa maeneo ya vijijin.
 8. E

  Dar hoi kielemu

  MKOA WA KILIMANJARO UNAVYOUAIBISHA MKOA WA DARESALAM KITAALUMA. Na Thadei Ole Mushi. #Mkoa wa Kilimanjaro pekee una shule 66 za Advance yaani mara sita ya shule zote za Mkoa wa Mtwara na Geita ambayo mtwara inashika nafasi ya kwanza na Geita ya Tatu, Kilimanjro ina Shule za Advance zaidi ya...
 9. E

  RC Makonda, Baa zinasumbua wakazi usiku Kimara Stop over

  Mheshimiwa Rc Makondo tunakuomba uingilie kati kuhusu kelele zinazosababishwa na mziki unaopigwa kwenye baa iliyopo stop over kwa mzee Temba. Sio siri hii baa imekuwa kero kiasi ya kwamba hata watoto wadogo hawapati usingizi kutokana na kelele za mziki.
 10. E

  Mwenge tunanua nyama kwenye mazingara machafu

  Tunamwomba Wazuri wa afya ahamishe bucha zote zinazouza nyama ya ngombe na mbuzi maeneo ya mwenge sokoni kwa sababu zifuatazo: 1.Bucha zimezungukwa na maji ya kinyesi cha binadamu. 2.Mteja ni lazima uruke mtaro wa maji ya kinyesi ndio uingie ndani ya bucha kupata huduma. Waziri mwenye dhamana...
 11. E

  Kenya waingizwa mkenge ujenzi wa Reli

  Wakuu nawaombeni msome kuhusu kilichotokea ujenzi wa Reli nchini Kenya. ======== Last week’s arrival of the first batch of the Standard Gauge Railway (SGR) locomotives has done little to quell public debate on whether Kenya really got value for money. The jury is also still out on the number...
 12. E

  Supreme leader(Zito) asusa mutant wa Ukawa

  Nikiwa kama mwana ccm,sikushngazwa kutukuwepo kwa Kiongozi yoyote kutoka ccm kuhudhuria ukaribisho wa Mzee lowassa kuwa mwanachama mpya wa cdm.Ninachojiuliza inakuwaje Kiongozi mkuu wa Act kutukuwepo kwenye mkataba wa leo?
 13. E

  UKAWA ni kituko

  Inasikitisha sana tena sana eti ukawa wamejipanga kushinda uchaguzi utakaofanyika oktoba,2015.
 14. E

  Polisi Kimara chukueni hatua hali ni mbaya Kimara Stop Over

  Tunaliaomba jeshi la.polisi kumchukulia hatau Baba Teri kimara stop over Saranga ambae amekuwa ni kinara wa uuzaji wa pombe haramu ya gongo na pombe nyingine za kienyeji.Nyumbani kwa baba Teri ndio pamekuwa kituo sugu cha vifaa vinavyoibiwa kwa wakazi wa eneo husika.Tunaliomba jeshi la polosi...
 15. E

  MAWI0: Sitta aliukosa u-spika kwakuwa hakuwa na matiti!

  Gazeti la MAWlO linastahihili kufungiwa na serikali kutokana na waandishi wake kutokufuata taalamu ya uandishi unaozingatia maadili nitanukuu baadhi ya maneno kama ifuatavyo 'Spika wa sasa ,Anna Makinda, aliukwaa tu uspika wa Bunge la Muungano baada ya Sitta kushindwa "kumea matiti" haraka na...
 16. E

  JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

  Mheshimiwa Rais wa JMT akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari mwandamizi kutoka Nation media group aliulizwa swali je anategemewa utawala wake kukumbukwa kwa yapi ,Jk alijibu kama ifuatavyo:
 17. E

  James Mbatia huna shukrani

  Nimekuwa nikufuatilia matamshi ya mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba huyu mheshimiwa kwa makusudi kabisa ameamua kusaliti mamlaka iliyomzawadia ubunge na kuamua kujiunga na kundi lisilo rasmi la Ukawa kwa ajili tu ya kutaka kujitafutia umaarufu.
 18. E

  Anna kilango na Sendeka wanaangusha wanaccm

  Nimekuwa nikifuatilia bunge maalumu la katiba kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba mheshimiwa Anna Kilango na Ole Sendeka wanatuangamiza kwa kushindwa kuwasilisha hoja zenye ushawishi kwa watanzania ,badala yake wanakuwa kama wanasoma ngonjera .Mzee wetu Samweli Sitta ni muda kuwaondolea hadhi...
 19. E

  Mheshimiwa Mwakiembe ingilia kati Reli imengolewa na Mkandarasi

  Mkandarasi anaejenga barabara eneo la korogwe ameamua kwa makusidi kabisa kungoa reli inayokatiza katikati ya barabara na kufunika kabisa eneo husika kwa barabara ya lami.Tunakuomba jembe letu mheshimiwa Mwakiembe utatue hili tatizo haraka iwezekanavyo kwani dunia kote usafiri wa reli ni wa...
 20. E

  Warioba day iwe tarehe 11/3 ya kila mwaka

  Nikiwa mwana ccm mtiifu kabisa napendekeza tarehe aliyowasilisha rasimu ya katiba bungeni iwe ni siku ya mapumziko pindi serikali ya Tanganyika itakapozaliwa upya wakuu
Top Bottom