Search results

 1. K

  Soda zimepanda bei

  Kuna siku nilisema soda zimepungua mtaani. Sasa manoni tunayaona. Ukiwa na duka kwa sasa hupati soda kwa gari Hadi uwe umeorder kiwandani. Pili bei ya jumla imeongezeka kutoka 9500 Hadi 11,000. Nani mwingine ajiuzuru
 2. K

  Soda zimeisha mtaani!

  Wanajamvi Heri ya mwaka mpya. Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
 3. K

  Ford Ranger for Sale

  price 16,000,000 Used ford ranger Year of manufacture: 2007 Price Negotiable Wasiliana nasi 0769968626
 4. K

  Old Landrovers Zinahitajika

  Tunanunua Landrovers za zamani iwe nzima ama mbovu katika hali yoyote ile tutumie picture kwenye whatsap number 0769968626, tupo mwanza lakini popote ilipo tuambie
 5. K

  Daktari wa Sekou Toure apoteza ushahidi wa mtuhumiwa

  Hii imetokea jana katika Hospitali ya Sekouture mkoani Mwanza ambapo daktari aliyejulikana kwa jina moja tu la Rehema, mwajiriwa wa hosipitali ya Bugando aliyekuwa pia akifanya kazi hospitali ya Sekouture na ni shangazi wa mtuhumiwa, alipoteza ushahidi wa mtuhumiwa ambaye anashikiliwa na jeshi...
 6. K

  Toyota hilux

  Vehicle Type: TOYOTA HILUX Body Type: PICK UP Price: TZS 25,000,000/= Negotiable: YES Transmission: Manual Fuel: PETROL Engine capacity: 2494 Vehicle Current Location: Igombe Mwanza Import Duty is paid: Yes First registered: 22/07/2011 Number of previous Owners: 0 A GOOD HILUX SUITABLE YOU...
 7. K

  2001 nissan caravan

  Vehicle Type: NISSAN CARAVAN Body Type: Van body Price: TZS 15,000,000/= Negotiable: YES Transmission: Manual Fuel: Diesel Engine capacity: 2953 Four Wheel Drive: No Vehicle Current Location: Igombe Mwanza Import Duty is paid: Yes First registered: 17/04/2010 Number of previous Owners: 1 A...
 8. K

  Scania with hiab 175

  Vehicle Type: Scania 93m Price: TZS 30,000,000/= Negotiable: Yes Fuel: Diesel Vehicle Current Location: Igombe -Mwanza Import Duty is Paid: Yes First Registered: 17-06-2011 Number of previous Owners: 1 Imported from: Great Britain Colour: Multicolor Body type: Truck The truck is in good...
 9. K

  Mzumbe university

  Jamani hivi mzumbe wanaona sisi huku Arusha hatuwezi soma hivyo vyuo vyao...tunahitaji masters za evening hapa Arusha jamani tunateseka na project management...kwa nini hawafungui tawi bwana
 10. K

  JamiiForums imenipatia kazi

  Nichukue fursa hii kuwashukuru wanajamii wote kwa kunipa moyo na ushauri katika hali ngumu niliyokuwa napitia na pia naomba msamaha kwa wale wote niliowaudhi kwa namna yoyote ile, tukumbuke mimi pia ni binadamu na nina fikra postive na negative kama wanadamu wengine. Pili nichukue nafasi hii...
 11. K

  Nissan caravan qd32 imported january 2014 inauzwa

  Ninauza nissan caravan used japan, imported to tanzania january 06 2014. Spesificatins: Make: Nissan model:caravan model number: Vwe24 body type: Van body colour: White year man. 1997 eng. No: Qd32003179 fuel: Diesel trans: At odometer: 168,109. Reg. No: T...cst minimum price 15.5m, gari...
 12. K

  Natamani kuachana na wife

  Wakuu habari zenu... Kwa mara nyingine tena naomba tushirikishane kimawazo maana kichwa changu kwa sasa kimeishia hapo kwenye heading. Mnakumbuka thread yangu ya kitambo niliyoweka kwa headibg ya " kuoa ni lazima" na matatizo niliyopitia ya kuondokewa na watoto wawili kila mmoja akifariki kwa...
 13. K

  Mkopo wa gari

  Habari wana jamvi... Jamani naomba mwenye kujua wapi naweza pata kimkopo cha 1.5m nimepungukiwa kumalizia mchakato wa kuweka hiace barabarani...
 14. K

  Kibomu

  Hivi ni sahihi kwa mwqnamume kumpiga kibomu mpenzi wake?
 15. K

  Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

  Ni kweli ameshinda pingamizi lake mahakamani leo
 16. K

  Anataka kujiua

  Habari za asubuhi great thinkers, nisaidieni kwa ushauri wenu kwa huyu rafiki yangu maana naona anaelekea shimoni na jini mauti anamsumbua. Alikuwa anafanya kazi shirika moja hapa mjini na kwa kweli kwa background yake amepambana sana kuwasaidia wazazi wake na yeye pia, na wanamtegemea 100%...
 17. K

  Hivi kuna haja ya kuzaa?

  Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi...
 18. K

  Msaada wa kisheria

  habari wana sheria..naomba msaada wenu juu ya jambo hili. mimi ni mfanyakazi katika kampuni ya utalii huku mikumi na katika kufanya kazi kuna staff watatu walichukua loan na kuwa quaranteed na kampuni..sasa wawili wameondoka kazini bila taarifa tangu mwezi july na hawakurudi tena. nimepigiwa...
 19. K

  Idadi na aina ya kazi kwa wageni nchini..

  Habari wana sheria, Kumekuwa na wimbi kubwa kwa makampuni mengi ya nchini kuajiri wafanyakazi wasio wananchi wa Tz..mara nyingi ni wakenya..hasa katika fani zifuatazo. .Engineering .Accountancy and Finance .Pilots .hotels management .Human resource naomba kujua idadi kwenye kampuni moja...
 20. K

  Nahitaji gari

  wajameni nina 4m ntapata wapi gari nzuri?
Top Bottom