Search results

 1. Pota

  Msaada namna ya ku hard reset LG ce0168

  kama nilivoeleza hapo juu. kifupi hiyo cm lg keyboard imestack so nashindwa kuweka password ili niingie. lakini ukipiga emergence keybody inafanya kazi bila shida. nimejaribu hard reset inawaka badala ya kuinesha menu ya reseting. kwenye kureset nimejaribu hivi kwa kuongozwa na google bila...
 2. Pota

  Changamsha ubongo hapa

  Una Sh 50000 matumizi 20000 15000 9000 6000 jumla 50000 baki 30000 15000 6000 0 jumla 51000 je hiyo 1000 inayozidi imetoka wapi?
 3. Pota

  Airtel yatosha wezi wakubwa

  Wanajamvi naandika huu uzi nikiwa muhanga wa vifurushi vya airtel. kuan wanajf wataanza kusema nimetumwa na mitandao mingine...la hasha mi bado natumia airtel but lazima niseme kwani nimekanyagwa. Mara nyingi nikitumia bando kwenye modem huwa naweka line kwenye simu ili nnitumie airtime, naomba...
 4. Pota

  mtangazaji wa tbc pendael omary yuko wapi?

  wadau uyu chalii alikuwa anatangaza kipindi cha michezo tbc1,nilikuwa napenda sana presentation yake,
 5. Pota

  msaada wa kodi kwa tra tafadhali

  ndg wanajf, kwa yeyote anayejua namna awa jamaa wanavyokokotoa kodi hasa ya gratuity naomba anijuze kwani katika taasisi yetu kuna utata wa namna awa jamaa wanavyokokotoa hii kodi. kwani kuna visa viwili ambapo kuna wenzetu wawili walikatwa zaidi ya laki tano na mwingine kakatwa zaidi ya laki...
 6. Pota

  jambazi sugu?

  naomba kuuliza kwa wadau. hivi ili mtu aitwe jambazi sugu inabidi awe na sifa gani? au afanye mambo gani?. je hizi ni hatua za kufikia ujambazi sugu? mdokozi-kibaka-mwizi-mwizi sugu-jambazi-jambazi sugu?
 7. Pota

  Noti mpya vipi?

  ndugu leo nilienda atm kuchukua salio, cha ajabu zikatoka noti za zamani mpyaaaa.... na namba zake kwa mpangilio. yaani mimi ndo nimezianzishia mzunguko.... nilishangaa kupata noti hizo. mi mawazo yangu yalikuwa ni kupata noti mpya ambazo ni current. Hivi hii serikali inampango kweli wa...
 8. Pota

  hivi ni kweli baba huwakatia utepe wanae?

  kuna siku moja nilikuwa nasikiliza kipindi cha ukimwi na jamii katika radio tanzania enzi hizo, basi kuna raia mmoja akapiga simu na kusema kuwa kwa huko ukerewe kijana akitaka kuoa lazima baba yake amwonje yule binti ili amruhusu mwanae kumwoa, otherwise baba hawezi kutoa mahali na kumpa go...
 9. Pota

  former germany pres HORST KOHLER:it is improper for a country like TZ to pay huge sums of allowances

  The debate on allowances paid to civil servants took a new turn yesterday when former German president Horst Kohler warned the government that its image was at stake. Prof. Kohler said tht donors were closely monitoring hte debate,adding tht it might end up tarnishing the government's image...
 10. Pota

  hili tangazo vipi?

  kuna tangazo moja la cm za mikononi, utasikia "simu unayopiga haitumiki kwa sasa, mteja amehamia eyatel,hamia sasa......" kumbe wateja wakihamia huko wanakuwa hawaatumii tena simu au....?wanatumia nini sasa? halafu watu wenu wahame mara ngapi? mara celtel, zain, airtl. mtahama marangapi? kwani...
 11. Pota

  naomba tafsiri tafadhali

  tanzania tanzania, nakupenda kwa moyo wote nchi yangu tanzania, jina lako ni tamu sana nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weeeee.... tanzania tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
 12. Pota

  nifanyeje ili niwe banned?

  napenda sana kuwa banned, naomba msaada kwa wanaojua
 13. Pota

  ukiona mtu anasema sikusikii......

  ni kawaida kwa watu kupigiana cmu then wakaanza maongezi kwa salamu nk kamailivyo jadi yetu. cha kushangaza ni kwamba kama mmojawapo anadaiwa mathalani hela, utashangaa kusikia akisema; umesema... ehee....sikusikii.... unakatikakatika.....ongeza sauti.......hapa pana kelele ........network iko...
 14. Pota

  mafuta ya taa yanatuumiza

  mie kama mtanzania naumia sana mafuta ya taa kuuzwa 1800/litre ilihali hii nishati kwa sasa ni mahitaji ya msingi kwa mtanzania wa kijijini, kerosene imekuwa kama petrol pricewise 2100? is this life? wot should we do? naona bado hatujapata uhuru kabisaa, wakoloni wamejibadilisha rangi kutoka...
 15. Pota

  puzzle

  Jumanne bought a book $ 70 and sold it at $ 80, he bought it back again at $ 90 and sold it at $100. Did he make a profit or loss? of how much then?
 16. Pota

  mmmmmmh maanko wengine? balaa 2pu

  kuna jamaa alimtembelea dada yake ambaye alikuwa amejifungua mtoto wa kike.alipofika akapewa mpwa ili amsalimu kama desturi zetu. dada m2 mara akaenda bafuni kuoga.mara mtoto akaanza kulia ing'eeee, ing'eeee, ing'eee .....jamaa kajitahidi kumbembeleza bila mafanikio. mara akatoa ulimi wake...
 17. Pota

  kwa nini tunafanya hivi?

  ni jadi yetu mgeni akikutembelea nyumbani ukamwandalia chochote, mfano chai,soda, maji ya kunywa nk. but kwanini ukimwandalia soda unaifungua mbele yake? ama bia pia unafungua mbele yake? je ni kutojiamini au mgeni wako anakosa imani na wewe? na kama ndiyo basi kwa nini chakula, juice nk...
 18. Pota

  nimewazaa kumi na mbili

  kuna jamaa mmoja alibahatika kwenda kusoma majuu kwa miaka miwili. aliporudi tz, basi mwendo wake ukawa wa kudunda dunda na kuinamia upande mmoja (kushoto) basi cku moja baba yake akamuuliza, kwa nini unatembea ukiwa umebend upande mmoja? we mlemavu? jamaa akamjibu baba unajua nnilipokuwa majuu...
Top Bottom