Search results

 1. M

  Wema amfungulia mashitaka Diamond

  Wema Sepetu amemfungulia mashitaka ya madai ya pesa shilingi mil 10 za VICOBA alizomkopea Diamond na kushindwa kuzilipa kwa wakati. === MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ‘Wema', amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa...
 2. M

  Stars yatoka sare Swaziland

  Mwenye taarifa za mchezo tunaomba watujuze tujue chama letu limefanya nn leo
 3. M

  Dan Alves wa Barca awajibu wabaguzi wa rangi kwa kula ndizi waliomrushia uwanjani

  Katika mechi ya Villarreal na Barca,mashabik wa Villarreal walionesha kitendo cha kibaguzi kwa kumtupia ndizi beki wa Barca, Dan Alves. Ujasiri alioufanya alichukua ile ndizi akaimenya na kuila akapiga kona bahati nzuri ikamgusa beki wa Villarreal na kuwa goli. Nimefurah maana kitendo hicho...
 4. M

  Tafakari nani mshindi Yanga yaandaa mil 100 while Al ahly yaandaa bil 1.3

  Kwa mujibu wa vyombo vya habar vya leo mwanasport limeandika Yanga imeandaa milioni 100 kuiuwa al ahly while wapinzani hap wameandaa bilion 1.3 kwa ajil ya mechi hiyo hii ni kwa mujibu wa Bingwa na Mtanzani.Tafakal na toa maon yako kuelekea hiyo game.
 5. M

  Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

  Juma nature katika song lake jipya aliomshirikisha Lady Jaydee amemdiss Diamond kwa kumuita dada mond. Juma Nature amesema hayo katika wimbo mpya aliouachia unaitwa kama jana.
 6. M

  Simba na ura

  Wadau mliopo uwanjani mtujuze matokeo ya mechi ya kirafiki kati ya simba na ura
 7. M

  Ludovick Utouh aula UN

  Ludovic achaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya fedha wa UN Chanzo cha habari ni radio free africa
 8. M

  simba na oljoro

  simba 2-0,okwi na mafisango mpira unaendelea
 9. M

  Mahakimu kutupa kapuni kesi zote zinazowahusu wabunge wa upinzani!

  Wakuu hili mnalionaje waheshimiwa mahakimu kutupilia mbali kesi zote zilizofunguliwa zidi ya wabunge wa upinzani cos jana waliona jinsi gani wabunge wa ccm walivyopambana kukataa maslai yanayowahusu waheshimiwa mahakimu,na wameona kwa kiac gani wapinzani walivyojitahidi bila mafanikio...
Top Bottom