Search results

 1. S

  Kauli ya Bulembo; CCM yashtuka na Kuvizuia Vyombo vya Habari Kuirudia

  Mh.Bulembo ni mmoja wa watu smart sana kuliko unavyofikiria,pengine kuliko maprofesa wengi unaowajua! Kama amesema alichosema basi atakuwa anaelewa kwanini anasema hayo na ninaamini hasemi kwa kujipendekeza ila ndiyo ukweli anaouamini!
 2. S

  Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

  Nimeguswa sana na Mheshimiwa Rais kutumia kiswahili maana nilikuwa napata shida sana kuona tunang'ang'ania kuongea lugha isiyokuwa yetu na kuiacha lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
 3. S

  Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

  Lazima uelewe sababu za Benki kukucharge service charge na pia uelewe namna VAT inavyopaswa kuchajiwa! Mambo mengine nafikiri ni ya kitaaluma zaidi kuliko siasa. Ni vizuri TRA watoe ushauri wa kitaaluma kwa serikali kuhusiana na suala hili ili kuondoa mkanganyiko usio na tija.Bado nafikiri...
 4. S

  Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

  Sijaelewa haya maelekezo ya TRA! Ninaamini Tanzania Bankers Association (TBA) watakaa chini na serikali ili kuliweka hilo vizuri.Sioni namna gani utazibebesha benki mzigo huo na hivyo kuwapunguzia mapato yao.Naamini Benki siyo NGOs hivyo wanapaswa kupata faida au kurejesha gharama zao za utoaji...
 5. S

  Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

  Pope ni kiongozi wa Dini tena ni Kiongozi wa Dini ya Katoliki lakini Yesu Kristo hakuleta dini.Acha wafu wawazike wafu wao.Mambo ya Mungu siyo opinions bali ni facts ni Amina na Kweli! Kanisa hapa nazungumzia mwili wa Yesu Kristo unapaswa kuihubiri kweli ya Mungu na kuwaelekeza watu kwa Mungu...
 6. S

  Sakata la Gwajima: Maaskofu Pentekoste mlimtuma Mch. Ikongo?

  Katoliki ni dini kumbe okay uko sahihi! Sasa Bishop Ikongo ni makatoliki kwani? Jitahidi utafute kumjua Yesu kama wewe ni Mkristu/Mkristo maana hautaenda mbinguni kwasababu wewe ni mkatoliki bali kwasababu ni mfuasi wa Kristo kwa maneno na matendo yako! Warumi 10:9
 7. S

  Askofu Gwajima aidanganya mahakama

  Hakuna mwanadamu anayefufua watu bali Yesu Kristo ndiye afanyaye hayo kupitia wewe na mimi kama tukimkiri kuwa Bwana na Mwokozi wetu.
 8. S

  Atheists have no reason to fear death or punishment

  Wakati mwingine ninaamini kwamba wapo watu waliokuwa destined kuangamia kama ilivyokuwa kwa Yuda, maana wapo wachache miongoni mwao wanaoweza kupata neema ya kumjua na kumkiri Kristo lakini wengine hakuna namna wataepuka the Wrath of God na hapo ndipo watakapojua shetani alikuwa anacheza na...
 9. S

  Mchungaji Lusekelo anawaponda Mitume na Manabii feki Channel 10

  Kwenye kazi ya Mungu kuna ngano na magugu na Yesu mwenyewe alisema acheni vyote viote pamoja lakini utaweza kutofautisha ngano na magugu wakati wa kuvuna.Shetani ameingia sana katika kuvuruga kazi ya injili ionekane kama utapeli kwa kupandikiza magugu katika shamba la ngano na hiyo inakufanya...
 10. S

  Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

  Utabiri huu unaonekana na tip kutoka ndani ya polisi wenyewe
 11. S

  Mtume Dunstan Maboya,kwanini hapendi Promo za TV?

  Manabii hawafanani labda ni muhimu kuelewa Nabii ni nani? Lakini huyu wanayemwita Nabii si Nabii bali ni Mtume na neno la Mungu/Yesu Kristo wa Nazareth anasema kuna huduma tano ambazo ni Manabii,Mitume,Wachungaji,Walimu na Wainjilisti na hizi ni huduma ambazo zipo kwaajili ya kuujenga mwili wa...
 12. S

  Pengo: Nimesamehe

  Hujui unalolisema na hii inatokana na kutolijua Neno la Mungu bali unaenda kwa mazoea na mambo yenu ya dini! soma Biblia uijue vizuri ili siku nyingine usije ukaona watumishi wa Mungu ni wa mtaani ila wakatoliki ndiyo wa Mungu!
 13. S

  CHADEMA yaitesa CCM Kyela

  Kaka tutafutane kwa PM please najua tunajuana vizuri,tulikuwa wote kwa mwalimu filipo na mahinya!
 14. S

  CHADEMA yaitesa CCM Kyela

  Malafyale uko Kyela wewe kwasasa? Uchaguzi wa mwaka 2015 utakuwa kipimo kizuri sana Kyela kuona kama wameamka au bado wamelala. Kila nikitazama barabara na jinsi maendeleo yanavyorudi nyuma badala ya kwenda mbele Unamkumbuka Mzee wetu Lumuli Alipipi Kasyupa,heri zama zile kuliko ilivyo sasa...
 15. S

  Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

  Nina mashaka kama huo mwaka tayari tumeshaufikia! Wapinzani wa Nyerere kwa maana ya TANU walikuwa watu kama Zuberi Mtemvu akina John Lifa Chipaka na wengine na sidhani kama akina Sykes walikuwa wapinzani wake bali washirika wake ndani ya TANU
 16. S

  Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

  Sitaki kuamini kama nilichoandika kilistahili maneno ya kashfa na matusi ya namna hii! Naamini kwenye hoja na si matusi,ni kweli inawezekana katika maelezo yangu hakukuwa na hoja yenye mashiko lakini unafikiri kashfa,kebehi na matusi itasaidia kunifanya nikuelewe na kukubaliana na hoja murua...
 17. S

  Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

  Hujui ubaya wa kura ya wazi kwasababu hujui kwanini CCM wanaitaka! au kama unajua basi mapenzi yako kwa chama yamezidi kuliko mapenzi na uzalendo wako kwa taifa hili ambalo Mungu alikupa previlege ya kuwa sehemu yake. Kiufupi kura ya wazi imewekwa ili kuwadhibiti wanaCCM...
 18. S

  Mpasuko Mkubwa CCM: Muungano wa TANU na ASP uliozaa CCM nao Hatarini Kuvunjika?

  Umesema sahihi sana wala hawahitaji kufundishwa na Askofu maandiko yametafsiriwa vizuri kwa lugha wanayoielewa vizuri ya Kiswahili wachukue Biblia zao kama wanazo na wasome wenyewe hayo maandiko!
Top Bottom