Search results

 1. P

  Bei ya cement (Wazo kiwandani)

  Wakuu heshima mbele, Nauliza hivi kiwandani wazo cement, wanauzaji kwa tani 1, yaani 20 bags, nina kisehemu nauza cement, nadhani nikiwa nanunua direct kiwandan walau ka profit katapanda panda, na pia utaratibu wa kununua huko kiwandani upoje? Tafadhali kwa anaefahamu naomba msaada.
 2. P

  Msaada:SUZUKI CARRY

  Wakuu nilikua naulizia kuhusu durability ya hizi gari ndogo za mizigo SUZUKI CARRY!zipo tofauti tofauti,ni zipi ambazo mashine haisumbui?zipo zenye 4WD,zenye nozzel,zenye injection,jamana mwenye uzoefu nazo hebu atumwagie hapa! Nawasilisha wakuu
 3. P

  mtoto kutafuna meno usiku akiwa amelala

  Wakuu polen na majukumu,mim mwanangu ana miaka 4,usiku huwa akiwa usingzin anatafuna meno,hv hii ni tatizo gani?na tiba yake ni nini?nawasilisha wakuu kwa ushauri.
 4. P

  Biashara ya Oryx Gas

  Wakuu polen na kazi,naulizia b'ness ya Oryx gas inakwendaje?kama kuna mwana Jf anayeifanya anipe maujanja!hivi ukinunua kule depot wanakuletea hadi hapo unapofanyia b'ness au unabeba mwenyewe?na bei ya jumla wanauza kuanzia mitungi mingapi?nawasilisha wakuu.
 5. P

  Life span ya Twiga Cement

  wakuu heshima zenu!nilikua nauliza hivi cement ya Twiga inaweza kukaa mda gani bila kuharibika?ikihifadhiwa sehemu kavu,isiyo na unyevu nyevu!nimenunua kwa ajili ya ujenzi,ila mambo yamekua tight,nataka niuze kwa hasara kama itaharibika:nawasilisha wakuu kwa ushauri
 6. P

  credit kuchotwa kwenye modem yangu ya sasatel

  wakuu ninayo modem ya sasatel,nliweka elfu 10 last month,sikununua bundle yoyote kwan nlikua nasafr,leo nimerud kuchek balance haipo!nahis wamenilamba!from today modem yao naitupia
 7. P

  nahitaji mbao 4x2,na 6x2,treated kwa bei ya jumla

  Wakuu heshima zenu,nataka kufungua duka la ujenzi hivi karibuni,nilikua nataka hizo mbao tajwa hapo juu kwa jumla,kwa yeyote anayefanya hii business ani pm tufanye business!dalal hatakiw manake nafahamu bei ya soko.nawasilisha wakuunipo dar wandugu
 8. P

  Kipindi cha Guiness sports ITV

  Wakuu leo nimesikitika sana,kuna kipindi nimeangalia ITV cha guiness sport,kuna madogo sijui wametoka wap!maswali marahis wamechemsha,walikua wanashindana na wakenya na waganda!mtu hajui hata jkt ruvu inatokea mkoa gan!verry embarassing!nyie mnaoteuwa hawa vijana achen kuwapeleka ndugu...
 9. P

  Msaada:Shule nzuri ya awali mbezi beach

  Wakuu heshima zenu!nilikua naulizia kama kuna mdau yeyote anayefahamu shule nzuri ya awali yenye maadili mazuri iliyopo mbezi beach anijuze!kijana wangu nataka nimuanzishe mwakani! Nawasilisha wakuu.
 10. P

  Natafuta Sales Software

  Wakuu heshima mbele!ee bwana nilikua nina mpango wa kufungua kiduka cha vifaa vya ujenzi na umeme!sasa nilikua nawazia niwe na ka software simple ka ku manage sales,purchases na stock!ili kuweza kudhibiti vijana wanaouza wasipige bao kubwa manake bao halikwepeki! Kwa yeyote anayefahamu software...
 11. P

  Natafuta mbwa Germany Shephered

  Wakuu kwa yeyote anayejua wanakopatikana pupies wa Germany shephered msaada tafadhali!nahitaji asiwe mkubwa awe na umri wa miezi 2-3. Nawasilisha
 12. P

  Padri amkimbia muumini

  Padri amekaa katika chumba cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili wa meza na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama. Akisema "Padri naungama dhambi zangu, leo nimefanya dhambi kubwa sana" Padri "endelea" "Bosi wangu aliniita...
 13. P

  kununua sehemu ya kiwanja chenye hati

  wakuu naombeni ushauri!kuna mtu anataka aniuzie party ya kiwanja chake,kina hati,ila hatia anabaki nayo,mm ananiuzia kisehemu tuu!hv hapa nifanyeje ili isije ikala kwangu siku zijazo?
 14. P

  Bei ya empty container 20 feet

  wakuu polen na majukumu!nilikua nataka kufahamu hivi empty container 20 ft ni kias gani?na yanapatikanwa wapi?nawasilisha!
 15. P

  Kwa wanaofanya mitihani ya board NBMM

  Wandugu kuna habari ambazo s njema kwa waliojiandikisha kufanya mitihan ya board ya ugavi NBMM!ni hivi:mwanafunzi haruhusiw kufanya mitihani zaidi ya minne kwa wakati mmoja!hii ina maana kwamba hata ukiwa una referal a somo moja kwenye course yako huruhusiwi kufanya mengine ya level inayofuata...
 16. P

  Natafuta fremu ya kufungua hardware bagamoyo road

  Wakuu poleni na kazi!natafuta frem ya kufungua biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi(hardware) mitaa ya kuanzia tangi bovu hadi bunju!iwe along the road!nawasilisha.
 17. P

  msaada wa data analysis

  wakuu heshima mbele!mm niliandika dissertation yangu!superviser kanitaka ni analyse data kwa kutumia higher order statistic methods!ni zipi hizo anazotaka?najua Jf ni kiboko yao!ntapata jibu!nawasilisha wakuu kwa msaada wenu
 18. P

  Kujiendeleza baada ya kupata div.3 ya points 17 PCB

  Wakuu polen na majukumu!kuna kijana wangu kapata div3 ya points 17 PCB,ana E ya BIOLOGY na zingine kapata S.sasa kwa hapo anaweza kusoma kitu gani ili baadae ajiendeleze na degree ya udaktari?nawasilisha
 19. P

  Msaada kwa wataalamu wa sage pastel evolution

  Wakuu heshima mbele!mimi ninatumia sage pastel accounting package!ninafanya reconcilliation kati ya Subsidiary account na General ledger Account!sasa GL balance ipo juu than subsidiary!it means that kuna manual posting zimefanyika kwenye GL!Nimejaribu ku trace naona kichwa kinauma bila...
 20. P

  Natafuta mini silent generator

  Wakuu heshima mbele!natafuta generator ndogo kwa matumizi ya nyumbani,manake huu mgao wa umeme ishakua taabu!kwa sisi tuanoishi huku maporini unaweza kumkanyaga nyoka akakugonga bure,gharama zikawa kubwa kujitibia kuliko za kunulia generator. Kwa hiyo yeyote anayeuza naomba anijulishe bei ili...
Top Bottom