Search results

 1. Mwita Maranya

  Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

  Unawez kwenda kuchukua posho yako ya leo kwakuwa umetumiza wajibu uliotumwa hapa JF leo. Gongolamboto watu wana akili zao sio wasaka posho za majungu kama wewe.
 2. Mwita Maranya

  Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

  Bado sijaona mtu wa kumuondoa Waitara Ukonga 2020. Ila kwakuwa ni demokrasia tunatarajia kupata mshindani kutoka ccm ili amsindikize. Kazi za kimaendeleo zilizofanywa na Waitara kwa kipindi cha miaka miwili ni zaidi ya wabunge wote waliomtangulia. Kuanzia kwenye miundombinu ya elimu, afya...
 3. Mwita Maranya

  Wakina Tundu Lissu na TLS yao waonywa Kuhusu Mgomo, wajiandae kujibu Mashitaka

  Kama ni tukio la kuundwa unasubiri nini kupeleka ushahidi polisi ili wawakamate waliojiundia tukio hilo???
 4. Mwita Maranya

  Yaliyojiri: Kesi ya Mh. Lissu ya 'Dikteta Uchwara' - Agosti 28, 2017

  Ushahidi wa kubumba huu hautawasaidia chochote waendesha mashtaka wa serikali mwisho wa siku wataangukia pua na Tundu Lissu ataibuka kidedea.
 5. Mwita Maranya

  Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

  pascal Mayallla habari za siku nyingi sana mkuu. Bila shaka umemaliza maonyesho ya sabasaba na wale mabinti wawili wamekuachia sasa unaweza kurudi JF kujifunza siasa japokuwa upo jukwaani. Kama hiki unachotaka kumshauri Mh. Tundu Lissu unakiamini ulipaswa kuwa wa kwanza kukifanya, vinginevyo...
 6. Mwita Maranya

  Tamko la Vyama vya Siasa kufuatia hali ya kisiasa nchini. Vyaipinga operesheni UKUTA ya CHADEMA

  Kumbe hii ni klabu sawa na vilabu vingine kama vile klabu ya pombe za kienyeji, na Mwenyekiti wake mganga njaa Fahmi Dovutwa.
 7. Mwita Maranya

  Tutafikia Estado Novo bila udikteta...Sehemu ya 1

  Asalam aleikum "wananzengo". Ni siku nyingi sana sijashiriki mijadala hapa JF lakini nimekuwa msomaji zaidi. Kutokana na mihemko ya kisiasa inayoendelea hapa nchini upotoshaji umekuwa ni mkubwa sana na watanzania wengine bila kutafakari wamekuwa wakilipuka na kufuata mizuka ya viongozi bila...
 8. Mwita Maranya

  Maalim Seif tulikuambia achana na Lowassa, hukusikia!

  Ayatolah wa Kigoma chama lako limekufia sasa unajisahaulisha na kuizungumzia CUF?
 9. Mwita Maranya

  Mbowe, Umewatupa wapiga kura wako Hai, jitafakari upya

  Bahati nzuri tangu jana nipo hapa Bomang'ombe na nimekuwa nikiongea na watu wa rika mbslimbali juu ya halmashauri ya wilaya ya Hai. Wengi wanaridhika na kiwango bora cha utumishi toka kwa mbunge wao Mh. Mbowe. Lakini pia wanaridhika na kiwango bora cha utumishi toka kwa baraza lao la halmashauri...
 10. Mwita Maranya

  Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

  Hii ya JPM ni kengele ya hatari kwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani. Wakati sisi tunafikiria kujenga utaifa, kumbe Raisi wa nchi anafikiria kuijenga ccm kwa gharama ya kudhalilisha viongoxi wa upinzani. Kwahakika raisi asiendelee kuhadaa watanzania kuwa ni raisi wa wote...
 11. Mwita Maranya

  Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

  MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa ya Ilala wakinitaka niungane nao leo (jana) kwenye ziara ya Raisi Kinýerezi kuweka jiwe la msingi la...
 12. Mwita Maranya

  Majipu Arusha Technical College

  As far as i know Eng. Dkt. Masika degree yake ya uzamivu sio fake. Suala la kukiharibu chuo kwa kufukuza fukuza academic staff ni la kweli. Pia tuhuma za kutumia gharama kubwa katika miradi ya ujenzi wa majengo siwezi kulikataa. Kwa taarifa tu ni kwamba alipokuwa Mkurugenzi wa Mafunzo DIT...
 13. Mwita Maranya

  Kutegemea Mabadiliko Kupitia CCM, Ni Sawa na kutegemea Kukamua Kuku Maziwa

  Wao wenyewe wanaimba nyinyiem ni ile ile sasa mabadiliko yanawezaje kuletwa na watu kama hao?
 14. Mwita Maranya

  Demokrasia ndani ya CHADEMA inafutika polepole

  Dear Mr. Party leader, mind your own party business. Chadema is ours and we dont need your advise or concern. Hangaika na chama chako cha Mawese.
 15. Mwita Maranya

  Mkutano mkubwa wa hadhara wa kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

  Usije ukadhani ama kumfananisha Dkt. Mashinji ni sawa na Polopesa Kikwete.
 16. Mwita Maranya

  Mkutano mkubwa wa hadhara wa kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

  Ahsante kwa taarifa kamanda mpambanaji wa kweli Molemo. Tuko makini kufuatilia ukituleta mambo mazuri kitoka Mwanza The Rock City. Nitumie fursa hii kumpongeza Dkt. Vicent Mashinji kwa kuaminiwa na Mwenyekiti na kisha kuungwa mkono kwa 100% na wajumbe wa baraza kuu. Tuko pamoja na wewe...
 17. Mwita Maranya

  Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

  Mbona matopeni fc (buku saba lumumba)wamepiga kambi kwenye uzi huu au wanadhani kuwa Chadema inateua Katibu Mkuu jangili mkuu wa Tembo kama wakwao? Kamanda Mbowe ataleta Jina la mtu safi, makini na mahiri.
 18. Mwita Maranya

  Katibu Mtendaji NACTE adaiwa kugushi vyeti vya shahada ya uzamivu

  Ninamfahamu vizuri Ndg. Primus Nkwera kitaaluma ni Civil Engineer. Elimu yake ni Shahada ya Pili (Masters-uzamili) ya uhandisi aliyoipatia nchini Hungary. Kabla ya kujiunga na NACTE alikuwa ni mwajiriwa wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (Dar es salaam Institute of Technology - DIT) kama...
 19. Mwita Maranya

  Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

  Mkuu Kimbunga habari za siku nyingi sana Sheikh. Usiyempenda kaja...Mnyika amepata ridhaa ya wananchi kwa miaka mingine Mitano...this time around I hope hutakuwa unampigia ramli ya kutorudi bungeni. Anyway, tuyaache hayo yameshapita. Molemo sio Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kwahiyo humtendei...
 20. Mwita Maranya

  Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

  Ahsante kwa taarifa mkuu Molemo na watanzania wana shauku ya kujua Chadema inasema nini kuhusiana na hali ya kisiasa nchini. Nami nitajisogeza Ufipa ili nisisimuliwe na mtu.
Top Bottom