Search results

  1. A

    JK anamuenzi vipi Mwalimu?

    Karibu viongozi wote walitoa maoni kwa jinsi viongozi na watz wanavyomuenzi Mwalimu, lakini sijasikia kauli yeyote kwa mkuu wa nchi kuhusu Mwalimu......kunani?
  2. A

    Gazeti la tanzania daima halipatikani kwenye mtandao AU NI HUJUMA?

    Kwa muda mrefu sana gazeti la tanzania daima halipatikani kwenye mtadao kunani?. Naamini gazeti hilo habari zake ni za ukweli na zilzochambuliwa na waandishi waliobobea. Tafadhali kama wamebadilisha address naombeni jf mnijulishe.
Top Bottom