Search results

 1. A

  Mchumia Juani Upo?

  Duh long taym hapa yuko wapi huyu?
 2. A

  Wee....Rudisha Nyara za Serikali!

  Raia wa Kongo anaswa Dar na nyara za Serikali 2008-01-25 18:33:26 Na Emmanueli Lengwa, Temeke Mtu mmoja mwenye asili ya Kikongo, aliyetajwa kwa jina la Andason Kasongo, 46, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na nyara mbalimbali za Serikali...
 3. A

  First East African International Agreement!

  According to EU Ambassador Vincent De Visscher "The agreement will establish a strategic trade and development partnership with the objective of promoting regional integration, growth and good governance within EAC. The agreement also stipulates that EAC states will gradually open their markets...
 4. A

  Mtanzania kutoka Trilioni mfukoni!

  Tanzania Revenue Authority inakusudia kukusanya trilioni za pesa mwaka huu...Chanzo cha habari hakijasema Trilioni hizo zinatoka katika sekta ipi au wapi? Je ni kiasi gani kitatoka mfukoni kwa mwananchi wa kawaida? Kodi za madini zimohumu? Bofya hapo juu!
 5. A

  Tanzania bila ya kuwepo kwa multi party system forum kama hii ingekuwepo?

  Bado mimi ni mgeni hapa JF na najaribu kuafaindi mai weyi araund-Nilijikuta natuma thread mara ya kwanza badala ya ku reply kwenye post. Eneywey nimeona jinsi gani forum hii inavyo pangua changamoto Tanzania, na jinsi gani inavyochangia na inavyoweza kuchangia katika maendeleo ya Jamii na Nchi...
Top Bottom