Search results

 1. Mwakalinga Bujo

  Soko Kuu la Masasi linaungua moto

  Soko la Masasi, Mkoa wa Mtwara linateketea kwa Moto mida hii na hakuna juhudi zozoe za kuuzima mto huo. =======Muendelezo====== Chanzo cha ajali hadi sasa hakijajulikana.Gari la zima moto ndio limeingia saa hii.
 2. Mwakalinga Bujo

  Hii ndio siri ya utitiri-wasaka urais CCM

  Katika kile ambacho hakukutarajiwa na wengi,safari hii kumekuwepo na wagombea wengi wanaosaka Uraisi kupitia ccm ukilinganisha na miaka ya nyuma. Moja ya mambo ambayo yamenisukuma kuandika uzi hiu ni pale nilipoona hata wale waliosemekana ni wafuasi wa kambi fulani nao wemechuka fomu. CCM ni...
 3. Mwakalinga Bujo

  Nimrod Mkono ndiye kinara wa kulipua uchafu Tegeta escow account

  Mara chache sana hoja nzito za kuitikisa serikali zinapoibuliwa bungeni inakuwa si rahisi kumjua Kinara wa mchezo mzima. Kama mnakumbuka walikuwa vinara wachache sana wenye nguvu za kusimamia hoja zao mmojawapo alikuwa Mzindakaya aliyenyanyuka na mawaziri kadhaa enzi zile akiwemo IDD...
 4. Mwakalinga Bujo

  Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

  Wakili msomi Albert Msando ametoa yaliyo moyoni. Kupitia ukarasa wake wa Fb haya ndio aliyoandika. By; Albert Msando Kwa marafiki zangu, Hatujashinda kesi dhidi ya chama. Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA. Natambua kwamba kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA mojawapo ya madhumuni ya...
 5. Mwakalinga Bujo

  Salamu za wiki kwa ZITTO NA LEMA

  Moja ya mambo yaliyonisukuma nianike jambo hili ni mwanzo wa story hii ya miamba hawa wawili . Story ilianzia FB kwa mkuu Zitto kuweweka bandiko hili: Kama ulivyoona hapo juu alitajwa ndugu yetu Albert Msando, sasa leo kamanda Albert Msando amevunja ukimya na kuweka haya kwenywe wall yake ya...
 6. Mwakalinga Bujo

  TRA Kutaka kukata kodi kwenye vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo (SACCOS) ni sawa?

  Kuna swala ambalo limenipa shida wanajamvi wenzangu hususani hili la kodi . Ikumbukwe kwamba nchi yetu imekumbwa na janga hususani ubunifu mdogo vyamzo vya mapato,hili limepelekea kuwepo na malalamiko kila kona kwa wananchi kwamba wanaobanwa kulipa kodi ni wananchi wa hali ya chini huku...
 7. Mwakalinga Bujo

  Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

  Wale wakongwe wenzangu watakubaliana nami kuwa Hip Hop ya Bongo haikuwa nyuma katika mistari makini ,majigambo na style za kutisha. Kwa sasa wapo vijana wanaoweza kuuendeleza Music huu hapa Bongo ila kuna vionjo vinakosekana haswa matambo ya kipindi kile. Hebu tujikumbushe tambo za enzi zile...
 8. Mwakalinga Bujo

  Uso kwa uso na Mamushka

  Leo ni jioni njema kwani nimekutana uso kwa uso na binti mrembo kutoka Arusha anaitwa Mamushka Kweli jf connecting people cc Preta
 9. Mwakalinga Bujo

  Uso kwa uso na @Mamushka

  Leo ni jioni njema kwani nimekutana na binti mrembo wa Arusha aitwaye Mamushka. Kweli Jf connecting people... hongera mamaa Mamushka cc Preta
 10. Mwakalinga Bujo

  TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia

  Wakili Maarufu jijini Arusha, Nyaga Mawalla wa Mawalla Advocates amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. R.I.P Nyaga Paul Mawalla UPDATES:
 11. Mwakalinga Bujo

  Bingwa wa kutokutoa/kugonga kitufe cha like humu JF huyu hapa ...

  Leo nimestaajabu sana ikabidi nicheke mwenyewe ,kuna rafiki yangu humu JF anafahamika kama Shardcole .Huyu bwana ameshawahi kugonga like 1 tu kati ya like zaidi ya 800 alizozipata kutoka kwa wana JF. Hebu leo tuwataje wengine wasiogonga like ila wanapokea like kutoka kwa wadau .... Shardcole...
 12. Mwakalinga Bujo

  Dr. Slaa avunja ukimya suala la Gesi Mtwara na vurugu nyingine zinazoendelea kwingineko nchini

  Moja ya mambo yaliyoshika kasi kwenye vyombo vya habari takribbani wiki mbili sasa ni suala la GAS Mkoani Mtwara. Licha ya wanaharakati mbalimbali kuonekana kama vile wamemwagiwa maji na kutetemeka kwa baridi ,kiashiria kwamba wanaogopa kutamka waziwazi kinachofanywa na JK sio jambo jema .Dr...
 13. Mwakalinga Bujo

  Mvua zaleta maafa Mtwara

  Mvua zilizonyesha mfululizo siku mbili usiku wa kuamkia tarehe 3 na 4/1/2013 zimeleta maafa Mtwara mjini eneo la KIYANGU
 14. Mwakalinga Bujo

  Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

  Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015 Zitto Kabwe ¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala...
 15. Mwakalinga Bujo

  Msaada kwenye Ubuntu 12.04LTS

  Tafadhali naomba maelekezo jinsi ya ku-Install microsoft office 2007 kwenye UBUNTU
 16. Mwakalinga Bujo

  Kwa nini Mahakama za Tanzania zinaandika hukumu kwa Lugha ya Kigeni(Kingereza)?

  Inasikitisha kuwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru moja ya muhimili wa dola Mahakama inatumia lugha ya wakoloni (kingereza) kama lugha ya mawasiliano(kuandika hukumu) .Inashangaza kuona hukumu zinaandikwa kwa kingereza kwa kigezo kuwa lugha ya kisheria ni ya kitaalamu mno hivyo kuitafsiri kiswahili ni...
 17. Mwakalinga Bujo

  Jua status ya vyuo tanzania kuanzia july 2012

  Tanzania, United Republic of ranking World Rank University Det. Ranking Presence* Ranking Impact* Ranking Openness* Ranking Excellence* ranking World Rank University Det. Ranking Presence* Ranking Impact* Ranking Openness* Ranking Excellence* 1 1977 University of Dar Es Salaam 2519 2983...
 18. Mwakalinga Bujo

  Msaada kwenye Galaxy Tab

  Natumia Sumsung Galaxy Tab 2 10.1 ,ila nasindwa ku comment vyema nikiingia humu JF ,nikitaka ku comment nikiandika mfano neno " Habari hii " zinatokea hefufi mfano " k h" Naomba msaada pleaz.
 19. Mwakalinga Bujo

  Dr. Joyce Ndelichako (NECTA) alichemka kwa kitendo cha Kumshambulia kijana Julius

  Leo asubuhi nimefanikiwa kusikiliza Interview ya kijana Julius aliyeandika Verses/Rhymes ama mistari ya hip hop -bongofleva kwenye karatasi ya majibu mtihani wa Form 4- NECTA uliofanywa 2011.Kitendo cha Joyce Ndelichako (PhD) kwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kusoma kilichoandikwa,kwa...
 20. Mwakalinga Bujo

  Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo

  This page gives an overview of some of the founding crews that have played their part from the early 90's up to 1999. Elsewhere on this site we have more recent info and there are several special pages on artists from Tanzania (see the Tanzania main menu). Tanzanian crews - an overview A-Z...
Top Bottom