Search results

 1. Blaki Womani

  Mkutano mkuu chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kufanyika siku ya Jumamosi ukumbi wa AICC Arusha

  TLS inapenda kuwajulsha kuwa siku ya jumamositarehe 15 Septemba 2018 kuanzia saa mbil asubuhi wanachama wachama hicho watakutana katika mkutano wao mkuu ambapo wanachama watajadili mambo mbalimbali yahusuyo chama hicho. Mgeni rasmi katika mkutano huo atakuwa ni Mr Ali Mfuruki. Mkutano huo...
 2. Blaki Womani

  Msiba wa Kijana Abas

  WanaJF habari za asubuhi napenda kutoa taarifa ya msiba wa kijana wetu Abasi. Kama mtakumbuka kulikuwa na thread iliyorushwa na Afrodenzi kuhusu kijana huyo, alikuwa amelazwa hospitali ya KCMC kwa ugonjwa wa mguu kuvimba alihitaji msaada wa matibabu na chakula. JF members walijitolea michango...
 3. Blaki Womani

  Mwanaume kuwa na Surname

  Habari ya W/end wanaJF naomba kuuliza mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe?
 4. Blaki Womani

  Tatizo kwenye Kitovu

  Habari ya leo JF Ninatatizo la kitovu kutoa maji kwa muda mrefu sasa miaka 25 nimekwenda hospital bila mafanikio nimemwona mtaalamu wa ngozi KCMC kipindi cha nyuma lakini kwa sasa nimekata tamaa. Sio kwamba kinatoa maji muda wote bali pale ninapotumia dawa na kufanyiwa dressing kinapona naweza...
 5. Blaki Womani

  Upendo unaweza kuisha ghafla kiasi hiki?

  Habari ya J3 wana JF Jana jumapili nilikwenda kwa jirani yangu kumsalimia nilipofika nilimkuta yeye na dereva wake wa kazini wote wanalia kuuliza kulikoni jirani yangu akaniambia dereva wake amefiwa na mkewe mie na jirani yangu tukawa tunamfariji huyo dereva kwa msiba alioupata. Ilibidi...
 6. Blaki Womani

  Timu ya Taifa

  Mara nyingi ninapoangalia timu yetu ya Taifa ikicheza nawakumbuka sana wachezaji wa zamani. kama hawa wafuatao:- Idd Pazi, Mohamed Mwameja, Zamoyoni Mogella, Said Mwanga Kizota, Damian kimti, Edward Chumila, Ramadhani Lenny, Hamis Gaga, Madaraka Selemani, George Masatu, Edibli Lunyamila, Ntezi...
 7. Blaki Womani

  We love each other

  Habari wanajf napenda kujua maana ya maneno haya "tunapendana sana ( We love each other)" mtu ana mpenzi wake na wanapendana sana lakini anakwambia kwamba gf/bf wangu nina wasiwasi ana mahusianao nje. sasa najiuliza kwa watu wanaopenda sana inakuwaje unamtilia shaka mwenzako kwamba ana...
 8. Blaki Womani

  WanaJF nimshauri nini rafiki yangu

  Jana usiku amekuja rafiki yangu ameolewa na ana watoto 2 wiki mbili zilizopita mumewe alikuja na mgeni mwanamke nyumbani bila taarifa kwa mkewe akamtambulisha ni mwanafunzi walisoma nae wakati akiwa Uholanzi. Mkewe hakuwa na lakufanya akamkaribisha mgeni na kumwandalia chumba cha kulala. Huyo...
 9. Blaki Womani

  Hodi ndani

  Naomba kuwa mmoja wenu asante
 10. Blaki Womani

  Hodi humu ndani

  WanaJF napenda kusema nimejifunza mengi na nimeweza kujua mengine ambayo nilikuwa siyajui naomba kuwa pamoja nanyi asante
Top Bottom