Search results

 1. O

  Ulaji Wa Limao Una Madhara?Mimi Nimethibitisha "Limao Ni Sumu!"

  Mi asubuhi lazima nigonge limau tatu ,iliyo changanywa na tangawizi kisha nakorogea asali mbichi kijiko kimoja,inakuwa chungu sana lakini ukiizoea unaiona tamu na mbadala wa chai,inakuwa moto hasa.
 2. O

  Deo Mwanyika ajiuzulu ACACIA Mining

  Take home yake ilikuwa zaidi ya USD 30,000.00 kwa mwezi,hela aliyopata kwa miaka 17 ya kazi inamtosha kuwa kati ya Mabilionea Tanzania,Msigwa jiandae Iringa 2020....
 3. O

  Jina la Magufuli labamba Uingereza: Ukumbi mzima wa Chuo Kikuu cha Coventry wazizima baada ya kusoma jina la muhitimu kutoka Tanzania.

  Huyu Dr Pima atakuwa anafanya publicity ili apate attention na hatimaye kazi baada ya kumaliza chuo.Hata hivyo hongera kwa ku-graduate,hatutegemei GPA ya 32 hapo.
 4. O

  Mwalimu akutwa na mwanafunzi chumbani

  Ushahidi wa Mazingira upo wa kutosha,tena hiyo ni rape kabisa.Wewe hujaoa,huna mke na uko na mtoto wa kike under 18 mmejifungia chumbani kwaKo,unataka ushaidi gani zaidi?NGOJA TICHA AJIBEBE,HAPO NI MINIMUM 30 YRS IMPRISONMENT
 5. O

  Natafuta mavazi ya kuvuna(kurina) asali

  Kwa hayo mavazi unajizuiaje usiende na nyuki nyumbani,unayavuaje na baada ya kulina asali?
 6. O

  Nape: Kuhama vyama kunawaumiza wananchi, inabidi tubadili sheria

  Nakubaliana asilimia 100 na hoja yako,huu ndio ufumbuzi ,kama mtu anaunga mkono,chama chake kiteue mtu wa kushika nafasi hiyo hadi muda wa uchaguzi mwingine utakapofika, ili analopendekeza Nape ni bullshit,mfano mbunge katoka chama X na kwenda chama Y na ubunge wake,then baada ya muda anakuwa...
 7. O

  Mkoa gani unafaa kwa kilimo 100%

  Kagera hakuna ardhi,tayari mkoa umebanana,labda nisijue Wilaya ya Ngara kwani nayo ni Kagera
 8. O

  Apandishwa kizimbani kwa kumkashifu Rais Magufuli. Alisema 'Rais kitu gani bwana!'

  Hiyo ni taasisi haiwezi kutukanwa,hakuna kesi hapo.
 9. O

  Uhamiaji kutoa vibali maalum kwa Warundi waje kulima Tanzania

  Hivyo vibali vitakuwa vinatolewa Burundi au Tanzania?
 10. O

  Nafasi za kazi kwa vijana 10 wa kike wa kiislamu

  Wasije sshitukia wanaenda kufanyishwa u-house girl uarabuni
 11. O

  Watanzania tunadanganyika haraka sana

  Hii story na picha hii iliwahi kuonyeswha na CITIZEN ya Kenya kuwa ni tukio lilitokea Kenya mwaka jana,jinsi tukio lilivyohamishiwa Gongo la Mboto mimi na wewe hatujui sababu ila kama ulivyosema ni muendelezo wa kiroba cha mahindi
 12. O

  Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

  Wamrudie Mungu na kufanya maombi kukemea pepo la ajali linaloizungukia familia.
 13. O

  UPDATE: Abdul Nondo ahamishiwa Iringa kimyakimya, afikishwa Mahakama ya Wilaya. Anyimwa dhamana...

  Hii sio UDSM unayoijua ya enzi za mzee PANCH, hii imejaa vitoto visivyo na maadili
 14. O

  UPDATE: Abdul Nondo ahamishiwa Iringa kimyakimya, afikishwa Mahakama ya Wilaya. Anyimwa dhamana...

  Hii kali,hakuna dhamana kwa ajili ya usalama wake kwani watekaji bado wako mtaani wanamtafuta ! Huyo huyo bado anakushitaki kuwa umetoa taarifa za uongo kuwa umetekwa wakati sio kweli = Sababu za pingamizi ya dhamana ina mu Exonerate mshitakiwa na tuhuma anazoshitakiwa nazo o
 15. O

  UPDATE: Abdul Nondo ahamishiwa Iringa kimyakimya, afikishwa Mahakama ya Wilaya. Anyimwa dhamana...

  Kisheria Mtu uwa anashitakiwa kule alikotendea kosa na sio kule alikokamatiwa,kama alijiteka, ilo kosa lilitendekea Dar au Iringa ? Kuna vitu sivielewielewi
 16. O

  Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

  Vipi Nissan nyeupe?
 17. O

  Huu ni ugonjwa gani??

  Umetumia camera gani?yaonekana camera yako ni bomba sana
Top Bottom