Search results

 1. S

  Je? serikali kuja na stimulus package nyingine?

  Wana JF, Nimekuwa nikiwaza sana namna wenye viwanda na wafanyabiashara mbalimbali nchini walivyo/wanavyoathirika na mgao unaondelea wa umeme.Mambo yafuatayo ni matokeo ya mgao huu kwa wenye viwanda na wafanyabiashara; 1.Ongezeko la gharama za uzalishaji kutokana na matumizi ya mara kwa mara...
 2. S

  Hivi CCM wanasoma alama za nyakati?

  Nimeshitushwa na tamko la CCM kuhusiana na ''walkout'' ya wabunge wetu kupitia chama cha chadema.Ninachelea kusema CCM haina watu makini na wanakurupuka kutoa tamko bila kuliangalia suala hili kwa kina na kuangalia athari au madhara ya hatua yoyote ya kukurupuka kufanya maamuzi kwa taifa hili...
 3. S

  Elections 2010 CCM washinda Ukonga na Segerea

  Nimesikia Clouds fm sasahivi kwamba Mahanga na Mwakiposa wa CCM wameshinda katika majimbo ya Segerea na Ukonga respectively,mliokuwa Arnatouglo tupeni data kamili!
 4. S

  Wosia wa Ballali kuwaumbua wengi!

  Dk. Ballali kuumbua vigogo Wosia wake wataja walioshinikiza EPA Wanasiasa, wanasheria wauhifadhi Mwandishi Wetu Mei 21, 2008 KIFO cha aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) Dk. Daudi Timoth Said Ballali (65) kinazidi kuibua mambo mengi, sasa waliokuwa karibu naye wanataka undani wa...
 5. S

  Kikwete ukimya huu kuteua mbadala wa vijisenti

  nashindwa kufahamu nini kimemsibu JK mbona hatoi jina la mbadala wa Andrea Chenge'vijisenti',au anaandaa major reshuffle miezi miwili tu baada ya kufanya mabadiliko yale yaliwaondoa baadhi ya mafisadi kama Kingunge,Mungai na Ngasongwa.Kuna mwana JF yoyote mwenye kufahamu kulikoni jikoni huko kwa...
Top Bottom